Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

Kazi ya biashara zipi anafanya sio lazima wew ujue, wanajua TRA tu inatosha,
Na hakuna sheria nchi hii inayomtaka mtu aseme anafanya wapi biashara, au aseme ametoa wapi pesa kama hayupo serikalini
Akili kisodawew
 
Be positive sio lazima Mtu afanye kazi Moja ana Kitenge tv , ana maulidkitenge .com nenda kaangalie makampuni yalio sponse Kitenge tv hayo ni baadhi tu ya yanayo fahamika ,je kama ana mashamba kijijini kwao huko analima tutajuaje
Mbona kama vile unazidi kumkandamiza Kitenge, kwa mali ulizozitaja inabidi TAKUKURU wachunguze aliwezaje kufikia hapo huku akilipa kodi halali, ungesema safari ya DPW labda usingemkandamiza.
 
Gright
Siyo 300 ZX bali ni 200 ZX.

Gari ya ndoto yangu hiyo. Ninaamini nitaiendesha one day.
 
Mbona kama vile unazidi kumkandamiza Kitenge, kwa mali ulizozitaja inabidi TAKUKURU wachunguze aliwezaje kufikia hapo huku akilipa kodi halali, ungesema safari ya DPW labda usingemkandamiza.
Kwani hii nchi watangazaji ni yeye tu?? mbona hawamiliki hata prado tuu la kuzugaaa.. mshahara wa diamond ndo umfanye anunue vieteee?? watu mapoyoyooo sana humu ndanii...
 
Hoja yako haiendani na hoja yangu, nilikuwa ninamjibu mwingine si wewe.
 
Pole sana, nafsi yako imejaa makovu mengi na vidonda vingi vya umasikini, chuki, husuda, fitina, wivu na makorokoro kibao ya hovyo. Hakika unahitaji msaada wa kiroho uweze kuondokana na mawazo na fikra ulizokuwa nazo.
Big NO! Big NO! Nchi yeyote inayoachia raia kuishi maisha ya juu huku kipato chao hakijulikani inakaribisha uharamia. Ni jukumu la kila mmoja wetu kuhoji umuliki wa mali wenye mashaka.
 
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Edit hiyo picha uliyoambatanisha! Picha uliyotuma ni lc 200
Land cruiser 300 series hakuna v8.
Nakubaluana na wewe waandishi WA Habari kwa Sasa wanishi extravagant lifestyle
nafikiri ni kutokana na uchawa.
 
Mbona kama vile unazidi kumkandamiza Kitenge, kwa mali ulizozitaja inabidi TAKUKURU wachunguze aliwezaje kufikia hapo huku akilipa kodi halali, ungesema safari ya DPW labda usingemkandamiza.
Aiseee una akili kubwa mno natka watu wanao ona ukweli na siyo kuongea upuuzi eti Nina roho mbaya
 
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Mchawi wa kwanza alianza kama hivyo then wakasambaa kote duniani kuroga wengine pasipo sababu!
 
Edit hiyo picha uliyoambatanisha! Picha uliyotuma ni lc 200
Land cruiser 300 series hakuna v8.
Nakubaluana na wewe waandishi WA Habari kwa Sasa wanishi extravagant lifestyle u
nafikiri ni kutokana na uchawa.
Asante Sana mkuu kwa kunielewa hoja yangu

Na kuhusu gar Ni Kweli Ni lc 200 series siyo lc 300na Ni baada ya kuwasiliana rfk zangu wa Toyota na kunipa vielelezo kuwa gari Ni v8 lc 200 series

Maisha hayaendani kbsa na Kaz anazo fanya Kuna namna huyu bwan ananufaika kwa namna fln
 
Back
Top Bottom