Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

Wee Ni mjing Sana inaonesha hyo milion tano kwa professor associated anakunja ndani ya weeki moj kwa paper moja tu ya research achalia mbali consultant
Unaona ulivyo bungo hapo usichokielewa ni nini ? Nimetumia tu hiyo milion tano kama mfano...nilichokataka kukueleza ni kuwa hao wamesomea nadharia tu ila akija kwenye vitendo ni weupe tu au umeshasahau kisa cha dr rajabu rutengwe ambae alikuwa analia kuwa ataishije mtaani mara baada ya kutumbuliwa? Sasa watu kama sisi hata tukipoteza kila kitu ndani ya miaka miwili tunarudi kwenye ramani kwasababu nina akili nyingi kwenye ujasiriamali kuliko hao wazee wa kukariri
 
Unaona ulivyo bungo hapo usichokielewa ni nini ? Nimetumia tu hiyo milion tano kama mfano...nilichokataka kukueleza ni kuwa hao wamesomea nadharia tu ila akija kwenye vitendo ni weupe tu au umeshasahau kisa cha dr rajabu rutengwe ambae alikuwa analia kuwa ataishije mtaani mara baada ya kutumbuliwa? Sasa watu kama sisi hata tukipoteza kila kitu ndani ya miaka miwili tunarudi kwenye ramani kwasababu nina akili nyingi kwenye ujasiriamali kuliko hao wazee wa kukariri
Haya tupe elimu yako ya ujasiramali toa nipe aina tano za biashta za haraka zinazo weza kupata faida haraka bila usimbufu mwingi
 
Rekebisha hilo neno Dhamani lisomeke Thamani. Hatuna neno Dhamani katika lugha ya kiswahili.
 
Halafu mbona hii sio Gari ya 2023. Ya 2023 ipo tofauti na hii na imeumbwa vizuri ukilinganisha na hii. Hii ni aidha kaifanyia upgrade na face lifting.
 
Mama hapendi hizo nimemnunulia Porsche Cayenne na range velar na Evoque 2023 za kutosha. Isitoshe nimemnunulia nyumba masaki na kumjengea ghorofa mbweni. Pia nimemnunulia nyumba ya usd million 8 palm island Dubei. Pia nimemnunulia apartments Monaco, Zurich, ibiza, malibu, Aspen, bahamas, st bars, Beverley hills na montecito jirani na Harry na Meggan.

Nimewaajiri housegirl 10 kwa ajili yake na wajukuu zake.

Swali jingine nyau ww
Ukisikia mtu anamwita binadamu mwenzake nyau unamfikiria ni mtu wa aina gani then anasema kamjengea mama yake hiki na kile
 
Chuki.
Elimu yako haina uhusiano na harakati za kusaka pesa.
Watu wanapambana sana kusaka pesa, tupunguze chuki.
 
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Wewe ni Dr wa mifugo, Dr wa binadamu au Dr Manyaunyau?
 
Matangazo ya kibiashara anayofanya ya makampuni kama asas na mengine huyaoni? Af jamaa ana wake wawili huyo wote wanaishi na kufanya kazi ulaya na marikani. Huoni safari zake?
 
Mjini michongo mingi babu.

Hivi huyu jamaa ushamba wa kuvaa earphones haumuishagi tu? Kila picha kila sehemu...avae suti,nguo za michezo, t-shirt na jeans ila haviachi hivo vidude maskioni. Bora aanze tu kuvaa hereni.
Shule.
 
Back
Top Bottom