Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Ukisikia uchawi ndio huu sasa
Pili pili haiko shambani kwako inakuwashia nini wewe?
Inaonekana unatokea familia ya kimasikini sana
Sio kila mtu ni mwizi watu wengine kwao wana ukwasi ila wanaamua kuajiriwa.
Mimi mwenyewe amini usiamini nina miliki Hammer ila nimelipata kupitia familia yetu ila nimeajiriwa sehemu na kazini kwangu kuna sheria ya kutangaza mali ulizo nazo ili kusiwepo na kitu inaitwa conflict of interest yaani mgongano wa kimaslahi.
Kumbuka hata Mo Dewji watoto wake na ndugu zake nao wameajiriwa.
Watoto wa Dangote nao wameajiriwa
Niliipokuwa primary 1975 kuna dada mmoja aliitwa Betty Olotu alikuwa anakuja na gari shuleni ambapo ndio akaja kuwa rubani wa kwanza mtanzania wa kike.
Angekuwa mfanya kazi wa kawaida watu si wangesema ni mwizi
 
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Mgao wa DP WORLD
 
Muache awawakilishe.. kwani Millard sio mtangazaji?.. usikariri maisha

Hiyo Ni Roho ya umasikini mkuu..
 
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Nyerere alijenga taifa la watu wajinga mno eti unaandika wasomi wa udsm tu hawana maisha...mimi sijafika huko udsm nimeishia darasa la saba tu ila niletee profesa yeyote aliesomea mambo ya biashara halafu wote tupewe mitaji sawa kila mmoja milion 5 halafu urudi baada ya miaka miwili uone kati yangu mimi nayeye nani atazalisha faida kubwa
 
Hivi ni kwanini watu mna wivu namna hiyo??
Roho mbaya kishenzi, mafanikio ya mtu mnayaonea kijicho hatari.
Kaanza hiyo kazi lini??
Analipwa kiasi gani?
Ana kipato nje ya hiyo kazi?
Matangazo anayofanya analipwa kiasi gani?
Anategemea uandishi wa habari pekee??

Wivu wivu wivu, unapoona walimu wanapondwa kua wana maisha magumu basi roho yako inasuuzila kishenzi, ukiona mwalimu katoboa utaanza hizi chuki zako.

Jau sana we mchizi.
 
Siyo lazima uwe msomi wa udsm ndo umiliki hiyo chuma, hizo zinamilikiwa na wafanya biashara ambao wanaelimu ndogo tu wengine waliacha shule, Arusha kuna masai na rubega yake anaendesha V8 LC300 VXR ya mwaka 2022 anakuja nayo mashineni kubebea magunia ya pumba sijui huwa anafuga kuku ile chuma imesimama mahali yake siyo mchezo
 
Yule Masai ankha mitaa gani mm pia nafahamu arushakuna madon wa maana Sasa Ni Masai yupi na anakah nae mita gani
 
Mama hapendi hizo nimemnunulia Porsche Cayenne na range velar na Evoque 2023 za kutosha. Isitoshe nimemnunulia nyumba masaki na kumjengea ghorofa mbweni. Pia nimemnunulia nyumba ya usd million 8 palm island Dubei. Pia nimemnunulia apartments Monaco, Zurich, ibiza, malibu, Aspen, bahamas, st bars, Beverley hills na montecito jirani na Harry na Meggan.

Nimewaajiri housegirl 10 kwa ajili yake na wajukuu zake.

Swali jingine nyau ww
Swali lingine...unafundisha kiswahili na civics au english...!?
 
Shule nikafanye nini wewe mjinga? Hauwezi kunifananisha na profesa yeyote wa biashara na uchumi hapa bongo kwasababu nimejiajiri na nina uwezo wa kuizingusha milion 5 ndani ya mwaka mmoja ikazaa milion 5 nyingine na zaidi
Wee Ni mjing Sana inaonesha hyo milion tano kwa professor associated anakunja ndani ya weeki moj kwa paper moja tu ya research achalia mbali consultant
 
Back
Top Bottom