Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

Kwahyo mtoa mada kwavile me nimeishia darasa la 4 tena niliferi sitakiwi kuwa na pesa kumzidi Injinia na mtu aliemaliza UDSM nani kakudanganya huo utoporo kuwa elimu ndy pesa? Kwa roho hiyo hutokuja kumiliki pesa milele coz una akili mgando
 
Mbna Sasa namiliki mkuu Nina pesa Nina viwanja
 
Kwahyo mtoa mada kwavile me nimeishia darasa la 4 tena niliferi sitakiwi kuwa na pesa kumzidi Injinia na mtu aliemaliza UDSM nani kakudanganya huo utoporo kuwa elimu ndy pesa? Kwa roho hiyo hutokuja kumiliki pesa milele coz una akili mgando
Four failure unamilikije pesa ndefu Kama siyo uchawi Ni nin[emoji23][emoji23]
 
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Acha urofa wewe' mtu akiwa maskini hamuwaombi hao TRA wakawakague umaskini wao ispokuwa wakiwa matajiri.

Hao TRA anawakagua nani? Mbona wenyewe ndani ya mwaka tu w ajira wana utajiri wa kutisha?

Pambana na umaskini wako...

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Una akili kiduchi inakutosha wee pekee hata mkee hatlshi
 
Siajsema ameiba Bali Kaz yake inafahamika na Kama Ana bishara Ni zipi iko wapi nimesema pengine Ni muhujumu uchumi kwa maana mkwepa Kodi maarufu
Kazi ya biashara zipi anafanya sio lazima wew ujue, wanajua TRA tu inatosha,
Na hakuna sheria nchi hii inayomtaka mtu aseme anafanya wapi biashara, au aseme ametoa wapi pesa kama hayupo serikalini
 
Kama ukielewa mtangazaji ni rahisi sana kuwa TISS wa kipenyoo bhasi utakuwa umeelewa kila kituu.
 
Back
Top Bottom