Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

Mnunulie mama ako basi
Mama hapendi hizo nimemnunulia Porsche Cayenne na range velar na Evoque 2023 za kutosha. Isitoshe nimemnunulia nyumba masaki na kumjengea ghorofa mbweni. Pia nimemnunulia nyumba ya usd million 8 palm island Dubei. Pia nimemnunulia apartments Monaco, Zurich, ibiza, malibu, Aspen, bahamas, st bars, Beverley hills na montecito jirani na Harry na Meggan.

Nimewaajiri housegirl 10 kwa ajili yake na wajukuu zake.

Swali jingine nyau ww
 
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
We ni mjinga na mpumbavu kwahiyo wasomi ndiyo wana haki ya kuwa matajiri? Na waliofeli shule hawastahili? Acha chuki za kipumbavu
 
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Acha kuwaza negative,
Usikute ana biashara zake na zipo very clean, analipa kodi stahiki zote,

Mentality ya ukimuona mtu anahela jua kaiba ndio imetuleta hapa kama taifa
 
Siajsema ameiba Bali Kaz yake inafahamika na Kama Ana bishara Ni zipi iko wapi nimesema pengine Ni muhujumu uchumi kwa maana mkwepa Kodi maarufu
 
Hizo gari mbona kuna wasukuma huko kahama na geita wanazo,wewe una shangaa kumuona huyo tu,mbona safari zake za inje ya inchi kila wakati hushangai unajua miradi yake yote,tafta hela mkuu uache makasiriko kwa wenzako.
 
Kwa waukuma Hakuna tatizo Kwanza Ni wapambanaji na pia Kaz na kilimo na madini na inawalipa siwezi kuwashngaa kbsaa wasukumaaa
 
Back
Top Bottom