dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,778
- Thread starter
- #41
Wafia dini mmekutana kusapotiana ujinga mtupu shenzi wahedDua zako njema kwao zitafanyika, hakika na kwako pia mema hayo hayatapungua kwa kadiri uombavyo kwa wenzako.
Wafia dini mmekutana kusapotiana ujinga mtupu shenzi wahedDua zako njema kwao zitafanyika, hakika na kwako pia mema hayo hayatapungua kwa kadiri uombavyo kwa wenzako.
Nina mkuyenge na pumbu mbili zote inakadiriwa kuwa kilo 3Jinsia yako mkuu??
Hio sio LC300 Wala sio gari ya mwaka 2023 Wala sio dola hizoMtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000
Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no
Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi
Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM
Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote
I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Heri ushezi wenye utulivu wa nafsi na afya ya akili kuliko werevu wenye makasiriko na msongo wa mawazo.Wafia dini mmekutana kusapotiana ujinga mtupu shenzi wahed
Unategemea kweli huyo Mshamba, Juha na Masikini dr namugari akuelewe?Be positive sio lazima Mtu afanye kazi Moja ana Kitenge tv , ana maulidkitenge .com nenda kaangalie makampuni yalio sponse Kitenge tv hayo ni baadhi tu ya yanayo fahamika ,je kama ana mashamba kijijini kwao huko analima tutajuaje
Taja Bei yako sasaHio sio LC300 Wala sio gari ya mwaka 2023 Wala sio dola hizo
Moja kati ya wake zake yupo U.N kitambo sanaBe positive sio lazima Mtu afanye kazi Moja ana Kitenge tv , ana maulidkitenge .com nenda kaangalie makampuni yalio sponse Kitenge tv hayo ni baadhi tu ya yanayo fahamika ,je kama ana mashamba kijijini kwao huko analima tutajuaje
Watu kama hawa ndo wako wengi sana huku mtaani tunawaita wachawi na masnich wao kazi yao kuangalia maisha ya watu ukitoboa wanaanza bifu ukiishiwa ndo wanacheka na kufurahi ogopa sana hawa watu.Hizo gari mbona kuna wasukuma huko kahama na geita wanazo,wewe una shangaa kumuona huyo tu,mbona safari zake za inje ya inchi kila wakati hushangai unajua miradi yake yote,tafta hela mkuu uache makasiriko kwa wenzako.
Ndio amemuhonga hyo lc 200 series siyoMoja kati ya wake zake yupo U.N kitambo sana
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23] tuko wengi sna Africa hahahahahahWatu kama hawa ndo wako wengi sana huku mtaani tunawaita wachawi na masnich wao kazi yao kuangalia maisha ya watu ukitoboa wanaanza bifu ukiishiwa ndo wanacheka na kufurahi ogopa sana hawa watu.
Na wew ukawe mke wake [emoji23][emoji1787][emoji1787]Moja kati ya wake zake yupo U.N kitambo sana
Natafuta Ila siachi kukemea ufisadi na wahujumu uchumi wa nchiTafuta pesa wajuu na wanao wasije kukutukana..
Alafu hiyo picha hapo tu inakuuma
Sijui embu tueleze nin maana yake au na wee Ni mkwepa Kodi nikuripoti kwenye mamlakaunajua maana ya mision town wewe?...unajua maana ya mtoto wa mjini?
Apost gutaa kbsaaaaUlitaka apost raum au
Wee kwanj ujapewaaaa gari had Sasa wakt wee Ni mshirikaGari kapewa na DP World.
Swali jingine
Hahahaah mavi Kweli wewe umefungiwa I'd umeibuka na hi mavi yako shenzi wahedUnategemea kweli huyo Mshamba, Juha na Masikini dr namugari akuelewe?