Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

Ukiifatilia vizuri hii kesi unagundua kuwa huyo kijana kama alikuwa anasoma kweli nje ya nchi.Basi iko chuo au shule sio ya kupeleka mtoto wako kabsa maana anasikiliza zaidi maneno ya kuambiwa kulko kuangalia uhalisia wa tukio.Mama yako amekiri kamuua shangazi yako unawachukiaje upande wa baba yako wakati wamepoteza wapendwa wao wawili.Huyo dogo akituliza kichwa ana nafas kubwa ya kumaliza hyo kesi maana kiumri anauwezo wa kusimamia mali za baba yake.Kwa upande wangu naona FAMILIA YA BABA iko sawa zaidi japo wanaweza kuwa na mapungufu kama binadamu,Kuliko upande wa mama yake.Wamshaur kijana atulize akili yake ili asimamie mali zao na amlee mama yake huko gerezani alipo.Akae karibu na familia zote mbili upande wa Baba na Mama maana wote wanamuhusu.
very good point
 
Kumbe unaijua hiyo familia vizuri,mbazi mbele ya safari atapewa kesi ya uwizi mana anaiba sana kwavile toto nalo ni kilaza
huyu dogo pimbi kweli,mama ake kamuua shangazi yake lenyewe linaona sawa tu,hizo mali zisimamiewe na wakina msuya, huyo mjomba zinamuhusu nini?? vipi wauaji wamekamatwa??
 
Tupo pamoja ndugu na msimamizi wa milathi anatoka upande wababa.sijui ktk sheria zakimila na serikali iko vipi
Kimsingi upande wa baba ndiyo ndugu halisi na chimbuko la watoto.
kwa vile erasto alishawaandikia upande wa Baba wachukue 40% sasa wanfuata nini? wanataka wazoe zote mbinu yao chafu
Nukuu toka P. Mayala
Mtu anapokufa bila kuacha wosia, mali zake zinatakiwa kurithiwa na warithi halali chini ya msimamizi wa mirathi.
Wafuatao ndio warithi halali
  1. Mke, wake halali wa marehemu.
  2. Watoto halali wa marehemu
  3. Watoto wanaotambuliwa kifamilia
  4. Wazazi wa marehemu
  5. Ndugu wa kuzaliwa tumbo moja kwa baba mmoja
Wafuatao sio warithi halali
  1. Babu na Bibi
  2. Wajomba na mashangazi
  3. Vimada
  4. Watoto wa nje wasio julikana
  5. Watoto wa mama mmoja baba tofauti
  6. Watoto wa kufikia
  7. Ndugu wengine wowote ni ndugu tuu na sio warithi halali.
Marehemu anaweza kuacha wosio mtu mwingine yoyote kuwa mrithi wake, ila marehemu anapoacha wasio wa kutowarithisha warithi halali, then mrithi halali yoyote anaweza kufungua shauri mahakamani kupinga wosia wa marehemu.

Kwa bahati nzuri sana, mabilioneo hao wote wawili uliowataja, waliacha wosia.
Migogoro mikubwa ya urithi huanzia kwa nani awe msimamizi wa mirathi!.

Pascal Mayala
 
Hii kesi mama atahukumiwa kwa kupanga mauaji,hata aliemuua erasto alihukumiwa kwa kupanga mauaji yani kudhamini watu waue na kuwalipa
kumbe !!! inawezekana, Je na Chusa aliyekuwa Hospitalini mbona walimtema kina Manumba DPP, yeye alipanga yapi?
 
Kwa wale wanaume tutaobahatika kupata mijiela hapa duniani tuweke mazingira mapema kabla hatujatangulia mbele za haki na pia ni vema tujifunze mwanamke sio wakuwachukulia poa pale unapozaa nae tu maslahi anayoyaweka mbele hapa duniani ni wanae sio sisi tujifunze kupitia hili janga LA msuya
 
Hivi kwa ile kashkash wa kesi ya erasto hakuna ambae angehusika akaachwa,yani hata angekua ni kuku angekamatwa,chusa alikua magereza kwahiyo kwenye kesi hakuhusika
kumbe !!! inawezekana, Je na Chusa aliyekuwa Hospitalini mbona walimtema kina Manumba DPP, yeye alipanga yapi?
 
Hivi kwa ile kashkash wa kesi ya erasto hakuna ambae angehusika akaachwa,yani hata angekua ni kuku angekamatwa,chusa alikua magereza kwahiyo kwenye kesi hakuhusika
Una uhakika Chusa hakuhusika, chanzo unakifahamu kweli?
km Chusa alikuwa Magereza na Hospital ni kwa muda gani hakufika eneo la tukio na unasema Miriam Mrita amehusika kupanga na yupo Direct pasina shaka kuwa muuaji (mbona chusa alikuwa wodini)
Bado Kesi iliyobaki ni kizungumkuti na nasema km sio pesa km kipindi kile cha dci basi tusubirie ushahidi tosha
QUOTE= post: 7133238, member: 80151"
Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci /QUOTE
 
Ukwaju hizo ni story sharifu angehonga hata 1bn kujiondoa kwenye kesi,fununu ni kua tarehe aliyosema sharifu alienda mrara hosp haikua kweli,hiyo issue ingekula mpka mkuu wa gereza
 
diwani yupi huyo?
kuna jamaa alifungwa Gereza la Isanga alipelekwa na escort kali akamaliza kifungo, wanasema alikuwa na Mlima wake hapo Mbuguni na akawa Diwani wa chama tawala majina kati ya Justin Nyari au Titus kuna kipindi alikuwa anamwaga hela ghorofa fulani jirani na soko kuu, eti ALIAGA DUNIA ni yupi na km una kisa kilichomuondoa au ni magonjwa
 
Mkuu acha ushabiki wa kishamba, Ni dhahiri kabisa upo upande wa wazazi wa Marehemu Erasto, unaongea kama vile wewe ndio msemaji wa familia... Maelezo yote ya pande mbili yapo wazi na kila mtu analijua hilo, Earsto alichuma mali zake mwenyewe ukisikiliza kwa makini kuhusu mgawanyo wa mali wazazi wa Marehem waligawana milion kama 500 hv, wazazi bado wanamiliki mgodi na viwanja vyote, inasikitiha sana bibi na babu wanataka kumdhulumu mali mjukuu wao
 
kweli kabisa Mirathi hahitaji eti mrithi akasome degree ndio apewe mirathi
Malkia Elizabeth alipewa Umalkia wa UK akiwa kinda kabisa
Huyu Kijana wa Erasto apewe kila kitu bila kujali umri, wakipenda wampe na mshauri amsimamie kwani keshavuka 18
 
Back
Top Bottom