• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

heaven sent

 1. M

  Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

  Umofia kwenuuu wanabodi!! Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa DC wa namna ya kushighulika na sakata hili! Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana...
 2. LadyRed

  Lets tak about SINGLE FATHERS...

  Wazima wote?... Naona mada ama 'stigma' ya hali ya juu kuhusu Single Mothers.... Leo labda tujadili upande wa pili wa shilingi Mwanamke/Wanawake unawachukuliaje Single Fathers?Ni wakosefu wa adabu/maadili kuzaa kabla ya ndoa au wana roho njema kutunza watoto? Unaweza kataa mwanaume kwa sababu...
 3. kabon14

  Nini maana ya ndoto hii?

  Habar wakuu.. Naomba wenye uelewa na haya mambo wanijuze. Ni zaidi ya maramoja imenitokea hii hali. Mara ya mwisho ambayo ni jana ilikuwa hivi.! Nilishtuka kutoka usingizini mida ninayo amka kila siku, lakin kutokana na kuwa jana ilikuwa siku yang ya kupumzika sikuona ulazima wa kuiacha shuka...
Top