IWAMBI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 730
- 624
Uwe wewe
Uwe wewe
Jiandae kupimwa mikojo. Malaika hawahojiwi.Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Tayari vigololi vimeshawashuka.Mlitaka awe nani au kuwa mpwa wake ni dhambi si ni mtanzania kama walivyo wengine?
Anzeni na mbowe kuwa signatory wa ruzuku ya chadema..hivi mlishamaliza kumlipa deni lake la billion 700 alilowakopesha?Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Mungu wabariki walimu wa shule za msingi maana bila wao wengi tusingefika hapa.umeandika kizembe sana ! wewe ni mwalimu wa shule ya msingi ?
Wacheni ulisu. Mtu ana haki zake kama raia wa tz. Haki hizo hazipotei eti kwa kua ni mpwa wa rais. Huyo kichaa lissu ni mwanasheria gani kazi yake kushutumu bila ushahidi. Kama ameona jinai si akafungue kesi dhidi ya rais na mpwa wake. Kinachooneka ni chuki tu. Hawa maliberali wamezibiwa mianya ya kuiba hela ya umma kila kona ndio maana wanahorojoka kama wendawazimuWadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Sheria za utumishi wa umma zinasemaje...??Mlitaka awe nani au kuwa mpwa wake ni dhambi si ni mtanzania kama walivyo wengine?
Sasa hapa ukabila umekujaje...??mramba alipo kuwa waziri wa fedha kisa tu kazaa na mama mkapa hukupiga kelele kisa ni mchaga mwenzako.wacha wala wali wale waliwao
Umeandika kitaalamu sansSio sahihi familia moja kukaa kwenye nafasi za kula Kodi ya nchi kwa kiwango cha mishahara ya juu kabisa.
Utajiri wa nchi unahamia kwenye familia moja.
Huo ni ufisadi mbaya kuliko ule wa kupiga dili za kushirikisha watu wa maeneo tofauti. Hata mshiko ukitoka unakua umewagusa watanzania wengi.
Ndio maana enzi za wamu Fulani kule Kongo Watu wa familia mbali mbali waliibuka hata kama hawakua na ukoo na Mkwere.
Waliibuka mpaka akina Loo goomy ambao hawakua na hata ukoo na mkuu wa enzi hizo na wala hawakua wasomi ila ni kwa sababu suala la fedha lilishirikisha jamii pana.
Sasa pato la nchi kukaa mfukoni kwa mtu na familia yake ni jambo la kifisadi kwa nchi za kule Bangladeshi na Mongolia.
Sijui nani aliyeamua kuwa ile nchi kubwa kama Ujeruman iwe ni Mali ya familia na marafiki huku wengine wote kuonekana kama wezi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaitwa Myopic kind of thinking......Hawajiongezi kabisa...siku wanakuja kushughulikiwa itakuwa ni kilio na kusaga menoIla kuna watu wataumia sana. Mbaya zaidi watakapoanza kushughulikiwa itaonekana kama watu wa kanda ya ziwa hasahasa wasukuma wanaonewa na Serikali: Ila sijui kwanini watu huwa hawaangaliagi mbali.
Jadili issue sio kukandia Uafrika wako ili ujihisi wewe labda ni tofauti.Muse7 hko mtoto wke ndy mshauri wake mkuu?this is africa mzee baba ?
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo kumbe sasa hivi ni zamu ya Wasukuma...??subiri muda wa kabila lako ukifika atahutubia kikwenu Kama kisukuma kinakuuzi
Umeambiwa ki maadili ni sawa ?!Mlitaka awe nani au kuwa mpwa wake ni dhambi si ni mtanzania kama walivyo wengine?
Hii ni kashfa !!mramba alipo kuwa waziri wa fedha kisa tu kazaa na mama mkapa hukupiga kelele kisa ni mchaga mwenzako.wacha wala wali wale waliwao
I due respect your idea!!! Naomba uwe too academic!! Kwenye utumishi wa umma ama kivyovyote vile kwanini unahisi siyo sawa??? Naomba usiseme tu siyo sawa njoo na supportive evidence!!!! Jiondoe kwenye lile kundi la fallacy of generalization!!! Ukitoa evidence kwamba hafai kwa mujibu aidha wa sharia zetu ama maadili ya utumishi wa umma wengi tutajifunza ila ukijibu kwa kushabikia hakuna cha kujifunzaKwa ujumla siyo sahihi
Kwa staili ya uendeshaji wa nchi wa huyu Bwana, ni kuamrisha tu zitoke pesa hazina...
Huwezi ukastajabu kusikia CAG amefilichua "upotevu" wa pesa za 1.5 trillion shillings!
Matokeo yake ndiyo hayo ya kuweka mtoto wa Dada kwenye Hazina ya Taifa.......
If you are an academic better you act academically!!! Your proof is under the principle of fallacy of generalization !!Sio sahihi familia moja kukaa kwenye nafasi za kula Kodi ya nchi kwa kiwango cha mishahara ya juu kabisa.
Utajiri wa nchi unahamia kwenye familia moja.
Huo ni ufisadi mbaya kuliko ule wa kupiga dili za kushirikisha watu wa maeneo tofauti. Hata mshiko ukitoka unakua umewagusa watanzania wengi.
Ndio maana enzi za wamu Fulani kule Kongo Watu wa familia mbali mbali waliibuka hata kama hawakua na ukoo na Mkwere.
Waliibuka mpaka akina Loo goomy ambao hawakua na hata ukoo na mkuu wa enzi hizo na wala hawakua wasomi ila ni kwa sababu suala la fedha lilishirikisha jamii pana.
Sasa pato la nchi kukaa mfukoni kwa mtu na familia yake ni jambo la kifisadi kwa nchi za kule Bangladeshi na Mongolia.
Sijui nani aliyeamua kuwa ile nchi kubwa kama Ujeruman iwe ni Mali ya familia na marafiki huku wengine wote kuonekana kama wezi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania tunatatzo kwenye kufikiriHahah mkuu imebidi nicheke hapo uliposema 'itaonekana kama watu wa kanda ya ziwa hasahasa wasukuma wanaonewa',maana huo ndio ukweli halisi muda wao ukifika hali itakua ni tete.
Labda watajitahidi kuacha mrithi ambae watamchagua wao ili awalinde ingawa kiukweli CCM na madhaifu yao yote inapokuja suala la M/kiti kuwachagulia mgombea wa urais hua inakua ni ngumu si ajabu mzee mwenyewe akashindwa kuacha anayemtaka na ndipo hapo 'wakina Dotto' wataelewa somo vzr.
Umenikumbusha ya kongo.Sio sahihi familia moja kukaa kwenye nafasi za kula Kodi ya nchi kwa kiwango cha mishahara ya juu kabisa.