Je, ni sahihi mpwa kuwa paymaster general wa Serikali?

Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Kumbe alikuwa Naibu Katibu Mkuu kabla hajawa Katibu Mkuu..!!! mchakato kama Dotto Bitheko tu kuanzia Naibu Waziri wa Madini mpaka Waziri kamili wa Madini
ikulu.jpg
 
Kwaiyo wale watt wa vigogo benki kuu wameonewa na mzee baba au umesaau nadhani umesaau


Sent from my iPhone using JamiiForums
Swali zuri sana hilo Mkuu maana kule BOT kulikua na watoto wa Mwinyi,Lowassa,Kigoda,Sumaye etc yaani kila kigogo aliweka mtoto wake na Mostly hao watoto wamepiga elimu kweli vyuo vya ukweli huko nje kasoro huyo wa kigoda ndo alikua kanjanja.

Lkn bado mzee baba alivyoingia alilalamika watoto wa wakubwa kujazwa BOT.,je kwa kua walikua na elimu zao na ni waTanzania mzee baba hakutakiwa kulalamikia hilo?
 
Tz ya sasa vijana ambao ndio wengi zaidi kwa idadi, % kubwa ni mamluki. Hawana maamuzi huru; wamekuwa mashabiki badala ya kuwa wapembuzi yakinifu. Hivi mnadhani hao vidole viwili wakiingia madarakani ndio kutakuwa na tofauti?
Tena mambo yao serikalini ndio yatakuwa the worst of all, coz they have a lot kujilipa kwanza na kujiimarisha wasitoke madarakani.
Fuatilieni uongozi wa ...dema ndio mtajua ni kiasi gani watawekana madarakani pindi wakipata nafasi. Acheni ukuda, ninyi wenyewe mngepata hayo mamlaka, mngeweka watu wenu. Vp Trump na familia yake ktk uongozi wa marekani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom