Je, ni sahihi mpwa kuwa paymaster general wa Serikali?

Rais wa South Korea aliyeondolewa mamlakani Park Geun-hye ameshtakiwa rasmi kuhusiana na kashfa ya rushwa iliyopelekea kung'atuliwa kwake uongozini.
Tanzania siyo South Korea. Katiba yetu inamlinda rais na mashtaka ya baadaye yatakayotokana na maamuzi anayofanya akitekeleza majukumu yake kama rais.
 
Umesoma Naye ukaona hakidhi,Nani Sasa anakidhi vigezo ,mbowe au Tundu Lissu ,tutajieni ambao wanakidhi ,Rais kamuona huyo ,wa kwenu Ni yupi?
Kanuni za utumishi wa umma zinaelekeza kwamba ili mtu ateuliwe kwenye nafasi ya kiuongozi au kimadaraka serikalini pamoja na utendaji bora na tabia njema ni lazima mtu huyo awe ameshafanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 12 na ni lazima awe na cheo cha afisa Mkuu yaani principal officer kwenye cheo chake cha utendaji kabla ya kuteuliwa kwenye cheo hicho cha kimadaraka.
Sasa kwenye ishu ya huyo doto james hakidhi vigezo vyote tajwa hapo juu.
Hii ni nepotism at its highest level

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichokijua Jared&Ivanka hawalipwi hata senti 1 na serikali/white house kwa kazi hio ya kumshauri Trump.

Je hapa kwetu huyo bwana anayeongelewa hapa halipwi mshahara,marurupu,posho na serikali?
Mkuu issue ni kulipwa au infulence yao kwenye maamuzi? Usichokijua uhusika wa Krushner kwenye siasa zao za nje plus biashara zimemfanya Trump kupata kigugumizi kwenye mauaji ya Khashoggi.
 
Hakuna cha maadili Dotto ni mtanzania kama walivyo watanzania wengine hebu nipe sababu ya kusema labda kuna sehemu pamekiukwa kimaadili

Kwaiyo wale watt wa vigogo benki kuu wameonewa na mzee baba au umesaau nadhani umesaau


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umesoma Naye ukaona hakidhi,Nani Sasa anakidhi vigezo ,mbowe au Tundu Lissu ,tutajieni ambao wanakidhi ,Rais kamuona huyo ,wa kwenu Ni yupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa namjua hana sifa hizo.
Halafu usifikirie kila mleta hoja ya maana kupingana na upumbavu unaofanywa ni wapinzani.
Wizara ya fedha kunawatu kibao walistahili kuteuliwa kuna masenior officers kibao wengine ni macommissioners ndio walistahili kuteuliwa kuwa kwenye hiyo nafasi.
Sio kuteuateua kisenge kama nchi imekuwa mali au kampuni yake binafsi.
Kwa ukuma kama huu hii nchi haiwezi kuendelea
 
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Hiyo kisheria hairuhusiwi kwa kuwa ni vigumu kuzuia mgongano wa kimaslahi. Kama kuna utawala bora hiyo siyo nzuri.
 
If you are an academic better you act academically!!! Your proof is under the principle of fallacy of generalization !!

Naomba kama kweli tunania ya kuelimisha toa sababu kwa mujibu wa sheria zetu ama maadili ya utumishi wa umma au kivyovyote vile juu ya kwann siyo sahihi?????

Ukisema siyo sahihi halafu unaanza kurefer mifano isiyooana na mjadala uliopo mezani unakuwa kama mropokaji!!!!

Ishu ya muhimu hapa ni kwann siyo sahihi???? Toa majibu ya kuridhisha ukirefer katiba au kivyovyote vile then tunaanzia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app

Nchi nyingi sana zina sheria nyingi sana zisizo za haki na usawa na kila siku zinabadilishwa ili ziwape watawala uhalali wa kutenda wanatotaka wao bila kuangalia haki.

Nitakupa mfano kuna nchi Sifa mojawapo ya kuwa Dereva wa gari ya serikali ni kuwa na elimu ya Kidato cha nne ambayo mshahara wake ni mdogo sana. Wakati huo huo sifa ya kuwa Mbunge ni kujua kusoma na kuandika yaani Darasa la saba na mshahara wake na marupupu yake ni Mara 20 + ya mshahara wa Dereva.
Hapa bado tu hujagundua kuwa sheria na kanuni nyingi zilizowekwa na watawala zimelenga kuwanufaisha wao na kuihadaa jamii kuwa wanaranya watakavyo bila kutokana na sheria na sifa zilizowekwa.

Sheria zimetungwa na watu ndio maana zinapingwa au kukosolewa ili zisimimamie misingi ya haki na usawa bila kuweka fursa ya upendeleo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Sio jambo la ajabu,hata USA,Trump alimteua Mkwe wake,mume wa mtoto wake,Jared Kushner kuwa mshauri wake,na ana asili ya Israel,anaingia Whitehouse kama Nyumbani.
Hata wakati wa raisi JF Kennedy,Mwanasheria mkuu wa serikali alikuwa mdogo wake.Robert Kennedy,
Hakuna shida,la msingi ni weledi na uwezo wa mteuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio jambo la ajabu,hata USA,Trump alimteua Mkwe wake,mume wa mtoto wake,Jared Kushner kuwa mshauri wake,na ana asili ya Israel,anaingia Whitehouse kama Nyumbani.
Hata wakati wa raisi JF Kennedy,Mwanasheria mkuu wa serikali alikuwa mdogo wake.Robert Kennedy,
Hakuna shida,la msingi ni weledi na uwezo wa mteuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshasema mshauri wake na sio paymaster wa serikali. Kuna kitu kiuongozi na kimaadili ikiwemo nidhamu ya Kazi lazima izingatiwe. Huyo jamaa namwonea huru yaani sisi huku serikalini tunamwangalia tu siku mjomba akianguka puuu ndio atatujua sisi washabiki tulivyonasura mbili
Labda akamfanye msajili wa vyama ambae amekuwa wa pili kutoka raisi mwenye Kinga ya kutoshtakiwa. Otherwise wa Tanzania ni wanafiki sana watamgeuka na kumpeleka lupango. Time will tell
 
Back
Top Bottom