Je, ni sahihi mpwa kuwa paymaster general wa Serikali?

share

share

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2008
Messages
3,394
Likes
4,318
Points
280
share

share

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2008
3,394 4,318 280
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
 
1000 digits

1000 digits

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Messages
3,730
Likes
2,725
Points
280
1000 digits

1000 digits

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2012
3,730 2,725 280
Sio sahihi familia moja kukaa kwenye nafasi za kula Kodi ya nchi kwa kiwango cha mishahara ya juu kabisa.

Utajiri wa nchi unahamia kwenye familia moja.
Huo ni ufisadi mbaya kuliko ule wa kupiga dili za kushirikisha watu wa maeneo tofauti. Hata mshiko ukitoka unakua umewagusa watanzania wengi.

Ndio maana enzi za wamu Fulani kule Kongo Watu wa familia mbali mbali waliibuka hata kama hawakua na ukoo na Mkwere.
Waliibuka mpaka akina Loo goomy ambao hawakua na hata ukoo na mkuu wa enzi hizo na wala hawakua wasomi ila ni kwa sababu suala la fedha lilishirikisha jamii pana.
Sasa pato la nchi kukaa mfukoni kwa mtu na familia yake ni jambo la kifisadi kwa nchi za kule Bangladeshi na Mongolia.

Sijui nani aliyeamua kuwa ile nchi kubwa kama Ujeruman iwe ni Mali ya familia na marafiki huku wengine wote kuonekana kama wezi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MoseKing

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Messages
782
Likes
945
Points
180
MoseKing

MoseKing

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2017
782 945 180
mramba alipo kuwa waziri wa fedha kisa tu kazaa na mama mkapa hukupiga kelele kisa ni mchaga mwenzako.wacha wala wali wale waliwao
Akili yako imegota, huoni wala husikii kwa kuwa JIWE huwa anahutubia kisukuma majukwaani.
 
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
12,820
Likes
34,893
Points
280
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
12,820 34,893 280
Wasiwasi wangu ni siku Magu akitoka Madarakani tu,isije kua ni zamu ya bwn Dotto kuanza kusumbuliwa na makesi ya kutosha.
Ila kuna watu wataumia sana. Mbaya zaidi watakapoanza kushughulikiwa itaonekana kama watu wa kanda ya ziwa hasahasa wasukuma wanaonewa na Serikali: Ila sijui kwanini watu huwa hawaangaliagi mbali.
 
USSR

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Messages
1,859
Likes
1,958
Points
280
Age
28
USSR

USSR

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2015
1,859 1,958 280
Akili yako imegota, huoni wala husikii kwa kuwa JIWE huwa anahutubia kisukuma majukwaani.
ulitaka ahutubie kabila lako,mwambie babako agombee choko ww
 
Kingsharon92

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
6,354
Likes
7,038
Points
280
Kingsharon92

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
6,354 7,038 280
Utetezi wa kindezi, hapa tunaongelea maadili na conflict of interest

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha maadili Dotto ni mtanzania kama walivyo watanzania wengine hebu nipe sababu ya kusema labda kuna sehemu pamekiukwa kimaadili
 
Kingsharon92

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
6,354
Likes
7,038
Points
280
Kingsharon92

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
6,354 7,038 280
ulitaka ahutubie kabila lako,mwambie babako agombee choko ww
Mwambie anakera sana kwanza rais mwenyewe huwa anahutubia ki lugha akiwa kanda ya ziwa ambayo 80% ni wasukuma
 
I

ILLUMINATI RUMI

Member
Joined
Aug 21, 2018
Messages
46
Likes
33
Points
25
I

ILLUMINATI RUMI

Member
Joined Aug 21, 2018
46 33 25
Akili yako imegota, huoni wala husikii kwa kuwa JIWE huwa anahutubia kisukuma majukwaani.
Mwambie baba yako agombee awe Ana hutubia kikabila chako Kama inakuuma,rubbish ,ulitaka ahutubie kikwenu ,subiri muda wa kabila lako ukifika atahutubia kikwenu Kama kisukuma kinakuuzi,2020 utapata rais wa kabila lako usiumie Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
12,890
Likes
12,905
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
12,890 12,905 280
Ila kuna watu wataumia sana. Mbaya zaidi watakapoanza kushughulikiwa itaonekana kama watu wa kanda ya ziwa hasahasa wasukuma wanaonewa na Serikali: Ila sijui kwanini watu huwa hawaangaliagi mbali.
Hahah mkuu imebidi nicheke hapo uliposema 'itaonekana kama watu wa kanda ya ziwa hasahasa wasukuma wanaonewa',maana huo ndio ukweli halisi muda wao ukifika hali itakua ni tete.

Labda watajitahidi kuacha mrithi ambae watamchagua wao ili awalinde ingawa kiukweli CCM na madhaifu yao yote inapokuja suala la M/kiti kuwachagulia mgombea wa urais hua inakua ni ngumu si ajabu mzee mwenyewe akashindwa kuacha anayemtaka na ndipo hapo 'wakina Dotto' wataelewa somo vzr.
 
MoseKing

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Messages
782
Likes
945
Points
180
MoseKing

MoseKing

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2017
782 945 180
ulitaka ahutubie kabila lako,mwambie babako agombee choko ww
Magu siyo msukuma.

Hakuna msukuma anayetumia nguvu nyiiingi watu wamwamini yeye ni msukuma.
 
kimswilia

kimswilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
356
Likes
326
Points
80
kimswilia

kimswilia

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
356 326 80
Rais wa South Korea aliyeondolewa mamlakani Park Geun-hye ameshtakiwa rasmi kuhusiana na kashfa ya rushwa iliyopelekea kung'atuliwa kwake uongozini.
 
MoseKing

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Messages
782
Likes
945
Points
180
MoseKing

MoseKing

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2017
782 945 180
Ila kuna watu wataumia sana. Mbaya zaidi watakapoanza kushughulikiwa itaonekana kama watu wa kanda ya ziwa hasahasa wasukuma wanaonewa na Serikali: Ila sijui kwanini watu huwa hawaangaliagi mbali.
Walivyo akili ndogo wengine kama Bashite washatibua mpaka wazungu, sijui watakimbilia wapi ?
 
MoseKing

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Messages
782
Likes
945
Points
180
MoseKing

MoseKing

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2017
782 945 180
Mwambie baba yako agombee awe Ana hutubia kikabila chako Kama inakuuma,rubbish ,ulitaka ahutubie kikwenu ,subiri muda wa kabila lako ukifika atahutubia kikwenu Kama kisukuma kinakuuzi,2020 utapata rais wa kabila lako usiumie Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee.

Mtu mweusi ni mtu mweusi tu.
 
kimswilia

kimswilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
356
Likes
326
Points
80
kimswilia

kimswilia

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
356 326 80
Gambia's Justice Minister, Abubacarr Tambadou, has revealed that the country's ex-president Yaya Jameh stole $50 million dollars before leaving office.

He says Jameh stole the money via the country's telecoms company.

Jameh fled for exile in Equatorial Guinea in January after 22 years in power.

The court has frozen all Jameh's assets that are still left in the Gambia.
 
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,437
Likes
2,275
Points
280
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,437 2,275 280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
56,777
Likes
51,816
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
56,777 51,816 280
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Hii hoja imezunguka mno lakini hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kuitolea ufafanuzi humu jf wala Habari maelezo , wala mkubwa mwenyewe hajawahi hata kukohoa kuhusu hili , ni ngumu kumeza
 
Forum statistics

Threads 1,262,497
Members 485,587
Posts 30,123,850