Kiukweli mimi ntatest , maana kile kiapo ni hadi kifo kitakapotutenganisha, sasa huna dudu hadi kifo wee si kutafutiana kesi huko😂
Ila hapo kutest zaidi ya mmoja ndiyo siyo vizuri kweli
tukitext ni hadi ndoa nikimic unanipa tena
Kuna kiulizo hapo mwisho? Au ndiyo imeisha hivo?tukitext ni hadi ndoa nikimic unanipa tena
Haya mambo yana utamu wake ila yanakuwa machungu pale mwanamke anapokuwa na ujauzitoKatika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili.
Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia.
Vijana wengi wamekuwa wakitumia kauli za dhihaka kama (Usiniuzie mbuzi kwenye gunia)
Mara nyingi majaribio kama haya yamekuwa yakifanyika na wakati mwingine ndoa nyingi zimekuwa zikifungwa huku wanandoa walishapata watoto hapo awali.
Wakati mwingine ndoa inawekewa vikwazo kwasababu za kujificha lakini ukweli ni kuwa wanandoa walishashindwana kwenye majaribio.
Je wewe una maoni gani kuhusu tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?
View attachment 2035190
Kuna kiulizo hapo mwisho? Au ndiyo imeisha hivo?
imeisha iyoo,
Karibu utest kwangu.....Kiukweli mimi ntatest , maana kile kiapo ni hadi kifo kitakapotutenganisha, sasa huna dudu hadi kifo wee si kutafutiana kesi huko
Ila hapo kutest zaidi ya mmoja ndiyo siyo vizuri kweli
Si ni hadi uwe mpenzi na tuwe na mpango wa ndoa, hatutest kila mtuKaribu utest kwangu.....
Kipi kinaanza, kutest kabla ya mpango au mpango kwanza?Si ni hadi uwe mpenzi na tuwe na mpango wa ndoa, hatutest kila mtu
Kwa bahati mbaya ndio wanafanya sasa. Wanaokuwa kwenye wakati mgumu zaidi ni wale waliojipa kiapo nafsini mwao cha kutofanya hadi ndoa na wakati huo huo ndoa wanazitaka na wanaotaka kuingia nao ndoani hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Wengine wanakagua kizazi,wengine wanakagua ukubwa wa maumbile nyeti,yaani full fujo.Ni uzinzi tu umewajaa vijana! Watu wangekuwa hawafanyi mapenzi kabla ya ndoa dunia wala isingefika hapa na hata mapenzi ya jinsia moja yasingeenea kwa kiasi hiki!
Maana ushoga kwa asilimia kubwa hufanyika kwenye mazingira ya uzinzi! Haiwezekani wanaume wawili mabikira wafunge ndoa eti wakashikishane ukuta hiyo experience wamepata wapi?
Yanaanza mahusiano then uelekeo utadetermine kama kuna ndoa inanukia ama tunapotezeana muda tu, then test zitaendelaKipi kinaanza, kutest kabla ya mpango au mpango kwanza?
Sawa tuanze au vipiYanaanza mahusiano then uelekeo utadetermine kama kuna ndoa inanukia ama tunapotezeana muda tu, then test zitaendela
Tuanze kipi kati ya nilivovisema? Unataka kugundua nini?Sawa tuanze au vipi
Papuchi kama kisosa? Aisee😂😂😂😂Sasa wewe umekutana na mdada, unasubiri hadi muoane kumbe mwenzio anafanya mapenzi na Mirinda huku. Anakusubiri, siku mnaoana unakuta K imetawanyika kama kisosa cha kupakulia wali me yangu tupeane tu raha mpka siku ya ndoa,, kuepusha mengine
Tuanze na testing, Kuna Ile feeling ya "I like you" itafuataTuanze kipi kati ya nilivovisema? Unataka kugundua nini?
Hahaaa, sitakiTuanze na testing, Kuna Ile feeling ya "I like you" itafuata
Microphone yenyewe inajaribiwa kabla ya kutumikaKatika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili.
Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia.
Vijana wengi wamekuwa wakitumia kauli za dhihaka kama (Usiniuzie mbuzi kwenye gunia)
Mara nyingi majaribio kama haya yamekuwa yakifanyika na wakati mwingine ndoa nyingi zimekuwa zikifungwa huku wanandoa walishapata watoto hapo awali.
Wakati mwingine ndoa inawekewa vikwazo kwasababu za kujificha lakini ukweli ni kuwa wanandoa walishashindwana kwenye majaribio.
Je wewe una maoni gani kuhusu tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?
View attachment 2035190
Liking itatokana na your sweetness, structure, relativity, handling/mnyumbuliko, unavyoongea, unavyotembea, unavyo handle mazungumzo na ki recover kutokana na maudhi, reaction after the fact nakadhalika. Hebu tujaribuHahaaa, sitaki
But testing haitakiwi kuwa ya kwanza, ni baada ya kupenda hivyo vyote ulivovisema hapo👆 tests ni mwishowe baada ya kupendanaLiking itatokana na your sweetness, structure, relativity, handling/mnyumbuliko, unavyoongea, unavyotembea, unavyo handle mazungumzo na ki recover kutokana na maudhi, reaction after the fact nakadhalika. Hebu tujaribu