Je ni mchafu, mvivu au kibri

Je ni mchafu, mvivu au kibri

Huyo ni mchafu na mvivu kuamka saa tatu sio sababu.
Mi mwenyewe ni mpenzi wa tv sana nakesha usiku na naamka saa nne asubui but huwezi kukuta nyumba yangu chafu hata siku moja na jiko langu utalitamani.
 
Si ajabu hajamchoka, inawezekana mwanamke ana mengi ya moyoni ila hiyo inaweza kuwa ndiyo njia ya kutafuta pa kuanzia kufikisha ujumbe wake. Walipoanza mapenzi alikuwa hivyo??

Amejaribu kumuuliza kwa upendo na taratibu kwa nini yuko hivyo? amejaribu kumtoa outing? amempa japo zawadi? kuna siku yeye amefika home akamuita mpenzi wake njoo tufanye hiki (kuosha vyombo labda) aone ata-respond vipi??

Au yeye akifika ni kufoka tuu bila kutafuta njia ya kumpa mwenzie nafasi atoe yaliyomo moyoni??

cc: @cj21125

mmmh kumbe siku hizi kuosha vyomao hadi utolewe outing!
 
hebu jaribu kum-restart kwanza!

au muwekee external hard disk, yawezekana Ame-stuck kwenye system fulani!

jamii forum naipenda sana kwakweli kila siku na kituko kipya, am re stat imekuwa compyuta
 
hapo kuna tatizo zaidi ya hili ulilolileta hapa...
 
Huyu mwanamke anaangalia TV mpaka saa 9 usiku. Anaamka saa 3 asubuhi. Anaondoka bila kuosha vyombo vilivyotumika kulia chakula jana usiku. Vinakaa hadi siku 3. Nilishapiga kelele sana lakini bado. Ushauri please.

Mpe talaka wakamfanyie kitchen Party upya!
 
Asante mkuu. Usiwaone barabarani wamepaka wanja na lipstik wengine huko nyumbani full majanga uchafu, uchafu......

tena wale wanaokomaa sana uchafu wa ndani nyumbani mwao ni wachafu sana. hata kufanya usafi binafsi kwao huwa ni shida sana--wananuka vikwapa na papuchi usiombe ukakabiliana nao--ni majanga!!
 
BRO hapo naona tv ndo mzozo, hivyo basi uza tv utakuwa umemkomesha.
 
Huyu mwanamke anaangalia TV mpaka saa 9 usiku. Anaamka saa 3 asubuhi. Anaondoka bila kuosha vyombo vilivyotumika kulia chakula jana usiku. Vinakaa hadi siku 3. Nilishapiga kelele sana lakini bado. Ushauri please.

fukuza hiyo kitu
 
Na kupika huwa anapika kweli? Au ndo kusema unapika ili yeye aoshe vyombo? Pole sana mkuu, wanawake ni wazuri kwa mavazi yao tu ila kwa ubongo wao kila mmoja ana matatizo yake.
 
  • Hizo ni hila za mtu mvivu:anapenda kuchelewa kulala,matokeo yake anachelewa kuamka
  • Vyombo siku tatu havioshwi huo ni uchafu ulokithiri-hampiki au mna makabati kadhaa ya vyombo?na asipoviosha unachukua hatua gani?unaviosha wewe ama?Ingelikuwa ni mimi ningerudisha hivo vyombo vyote kabatini akija kutaka kutumia anakutana na vichafu kwahio lazima aosheee...
  • Mrudishe kwao akafundwe huyo mkeo au msemee kwa watu wazima mfano mamaake/shangazi wamseme...hajui kama nyumbani ni sehemu ya mwanamke na ni fremu yake!Ni kama mwanamke ajirembe amependezaaa lakini nyumba chafu,hatoonekana hata huo urembo wake!!

Habibty tufunge huu mjadala....umenenaaaaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Na kupika huwa anapika kweli? Au ndo kusema unapika ili yeye aoshe vyombo? Pole sana mkuu, wanawake ni wazuri kwa mavazi yao tu ila kwa ubongo wao kila mmoja ana matatizo yake.

Na wanaume ni wazuri kiunoni tu ila akili ni kama watoto lazima wafanyiwe kila kitu.
Kama mtu ni mchafu ni mchafu na kma akufunzwa kwao ni ngumu kumrekebisha ukubwani.
 
Na wanaume ni wazuri kiunoni tu ila akili ni kama watoto lazima wafanyiwe kila kitu.
Kama mtu ni mchafu ni mchafu na kma akufunzwa kwao ni ngumu kumrekebisha ukubwani.

ama kweli mbwa mzee hafundishwi sheria, usiku mwema shem
 
Back
Top Bottom