Je ni mchafu, mvivu au kibri

Je ni mchafu, mvivu au kibri

Hilo swala la zawadi muulize yeye sio mimi.

Ni wapi nilipo dhani ebu nioneshe???

Kumpiga mwanamke na kanga labda kama mnacheza lakini sio kwa lengo la kutoa kipigo.

Ndiyo maana nikasema 'yeye' na sio wewe, nikimlenga yeye jamaa anayelalamika.

Wewe si umesema '.....piga huyo atakuelewa' hiyo tayari ni dhana yako uliyoona kuwa ndiyo njia sahihi ya kutatua tatizo hili.
 
Hapana kupiga, mwanamke akikukosea tupia kanga, kitenge au wax atakuelewa! Swali: Yeye amempa zawadi ngapi ili kumrekebisha kiupendo alipokosea? Au ndiyo mnadhani kila kitu kinatatuliwa kwa mabavu??
Mkuu nimempa zawadi kibao pamoja na kumlipia ada chuo kikuu hadi kamaliza degree.
 
hebu jaribu kum-restart kwanza!

au muwekee external hard disk, yawezekana Ame-stuck kwenye system fulani!
 
We kwann usimsaidie jamani kwani we hutumii hivyo vyombo? Tatzo wanaume huwa mnatuona kama ma housegrl ndani ya nyumba, yani wote tutoke kazn jion mwenzangu ufikie kweny tv me ndo nianze sijui kuosha vyombo, kupika, Usafi we umekaa tu, wekeni msichana wa kaz basi loh hata nisingeyaweza
 
uza tv, problem solved.

ama eka tv kitchen aitazame akiziosha vyombo.
 
Mlipoanza mahusiano yenu alikuwa hivyo??

Hv mtu unapokuwa kweny mahusiano nae ya mapenz mpaka uchumba utajuaje tabia yake kwenye maswala ya uvivu? Manake hicho kipind sio cha kumfanyia mwanaume kazi nashangaaga watu wanapoulizaga hilo swali kwamba kabla hujamuoa alikuaje
 
Ndiyo maana nikasema 'yeye' na sio wewe, nikimlenga yeye jamaa anayelalamika.

Wewe si umesema '.....piga huyo atakuelewa' hiyo tayari ni dhana yako uliyoona kuwa ndiyo njia sahihi ya kutatua tatizo hili.

Kwa uandishi wako ni wazi swali umelielekeza kwangu sio kwake..

Na wewe ulipo sema kwamba apigwe kwa kanga ndio uliona njia sahihi ya kumaliza tatizo???????????

Kama jibu ni ndio kwa nini uone njia yangu haifai wakati zote zinalenga kutoa adhabu ya kipigo.???
 
Vyombo siku 3?! me nilinyo na kinyaa jamani... nahisi ningezimia. Ila huo ni uvivu mbaya sana unaopelekea kuwa mchafu.
Mkuu kumbuka kuna watu wana asili ya uchafu.
 
1+1 siyo lazima iwe =2,inategemea unakokotoa kwenye base ngapi....inawezekana huendani nae huyo mwanamke,ushauri ni kuwa hiyo siyo base yako tafuta utayefanana nae...
 
ama zaa naye ili upate mtoi ya kuwasha vyombo.

na househelp hamna? tafuta mmoja umlipe nusu kwa nusu ili iwe sawa kaa ana shida eti it's not fair.

lakini kuwasha vyombo vile mi mme enyewe siezi.

wasichana wa siku hizi i swear...ata madada zangu walikuwa hivyo.

if you don't teach them young, they won't ever learn. from experience.

it might be an unfixable problem.

utakataka tu nkt.
 
Hv mtu unapokuwa kweny mahusiano nae ya mapenz mpaka uchumba utajuaje tabia yake kwenye maswala ya uvivu? Manake hicho kipind sio cha kumfanyia mwanaume kazi nashangaaga watu wanapoulizaga hilo swali kwamba kabla hujamuoa alikuaje

Huyu hajaeleza kama ni mke au ni hawara, mara nyingi utaijua tabia ya mtu miaka miwili au kadhaa ya awali ya mahusiano seraious (kama wanandoa ni punde tu baada ya ndoa na kama ni hawara basi punde baada ya kuanza kuishi pamoja) anaweza kulalamika jambo kumbe tangu aoe ndiyo yuko hivyo!!

Au mkewe sasa ana mtoto na ile kuwa close na mtoto kunamfanya mengine ashindwe kuyatimiza then ndipo malalamiko yanapozaliwa!! Kifupi kuna mengi kwenye swali hilo, ila likijibiwa kiufasaha ni nusu ya kupata ufumbuzi wa tatizo.
 
Kama ni hawara wala asilalamike manake si wajibu wake kumtumikia
 
Kwa uandishi wako ni wazi swali umelielekeza kwangu sio kwake..

Na wewe ulipo sema kwamba apigwe kwa kanga ndio uliona njia sahihi ya kumaliza tatizo???????????

Kama jibu ni ndio kwa nini uone njia yangu haifai wakati zote zinalenga kutoa adhabu ya kipigo.???

wewe huelewi nn au unapenda mabishano hivi kumpiga mwanamke na kitenge na kumpiga mikonde wewe unaona sawa? tujaribu kuwa watu wazima
 
TV mpaka saa tisa usiku? Muda huo mume yupo wapi?Hapo kuna matatizo mengi tu sio uchafu peke yake.
 
Back
Top Bottom