Je ni mchafu, mvivu au kibri

Je ni mchafu, mvivu au kibri

Si ajabu hajamchoka, inawezekana mwanamke ana mengi ya moyoni ila hiyo inaweza kuwa ndiyo njia ya kutafuta pa kuanzia kufikisha ujumbe wake. Walipoanza mapenzi alikuwa hivyo??

Amejaribu kumuuliza kwa upendo na taratibu kwa nini yuko hivyo? amejaribu kumtoa outing? amempa japo zawadi? kuna siku yeye amefika home akamuita mpenzi wake njoo tufanye hiki (kuosha vyombo labda) aone ata-respond vipi??

Au yeye akifika ni kufoka tuu bila kutafuta njia ya kumpa mwenzie nafasi atoe yaliyomo moyoni??

cc: @cj21125
Hata kama kuna mengi likni kuwa kuacha kuosha vyombo ndo suluhisho? wageni wakiingia ndani unafikiri nan ataonekana mchafu,muda mwingine inahitaji kuonyesha ukali kidogo ndo huwa wanakaa sawa habar ya kila siku hajaosha vyombo alivyotumia mwenyewe et unamtoa out au unaanza kumbemeleza ili iweje? huyo inaonyesha hata kwao alikuwa hivyo hivyo mwanamke msafi hayuko hivyo hata ukimkosea nguo zako anakufulia anakupikia anafanya usaf wa nyumba yake ila kuna sehemu anakubana mpaka unakubali na kumuomba msamaha
 
Anaangalia tv mpaka saa tisa usiku halafu aamke saa tatu? kazini aende saa ngapi? hata kama kajiajiri mwenyewe,wanawake wengine huwa mnawatoa wapi aisee kwamba hajui hata wajibu wa mwanamke hata kidogo jamani,hata kama umemkwaza labda ndo aache vyombo vichafu? huyo mrudishe kwao ndo atajua uko siriasi ujue anakuchukulia poa anakuona nyuki wa mashineni hebu muonyeshe kama unaweza kufanya maamuzi magumu
 
Kama vile naona jinsi buibui walivyopamba nyumba yenu! Mende wanavyoruka kila kona! Vumbi kwenye madirisha usiseme! Shuka anafua kweli? Pole sana!
 
Kama kweli nimemtowa kwao kwa sheria ya kuwa mke na mme mimi sijali kwani najuwa mwanamke ni pambo la ndani namwambia kazi iliokulet hapa mama si kuosha viombo wala kupika. Ni 1 tu nayo ni pumbu kwenda mbele. Nitaosha kufagia usafi hote wanyumbani yeye jajuwe wajibu wa mume kitu gani nipo singo na ninafanya usafi bila kuwa na mke nyumba yangu ipo fresh gaden nje ipo safi kabisa je mke hakija kwa nn apate usumbufu bana
 
Mkiwa wawili ndani ya nyumba msaidiane

Vyombo vinakaa siku tatu wewe huna mikono?

Halafu anaangalia tv mpaka saa tisa, mnajiggyjiggy saa ngapi?
 
^^
Ajiri mfanyakazi wa ndani, pengine alificha makucha yake wakati wa uchumba, na sasa,kumepambazuka! Usimuache ni dosari ndogo ila tu sahihisha kwa namna hiyo kuepuka kurudia jambo lile lile kila uchao
^^

Mi naona si jambo dogo hususani kuangalia tv mpaka 9 usiku jamaa akitaka papuchi inasubiria mpaka muda huo
 
Anapoangalia TV mpaka saa tisa wewe unakuwa wapi?
Huyo uvivu na uchafu ni hulka yake,tungesema hajafundwa sawa ila hata kwenye kitchen party za wenzie hahudhurii? Maana swala la usafi huwa linazungumzwa hadharani. Ni vyombo tu au kufua na usafi wa chumbani pia ni tatizo? Kama ni vyombo tu wekeni msaidizi ila kama ni vyote kazi unayo!!
Namhurumia bint yenu,atakuwa hajigusi!!!
 
Pole mkuu toto la kishua ilo.Wazazi jamani hata kama mna pesa kiasi gani jitahidini kuwalea watoto wenu katika mazingira ya kupenda kazi.Mkuu cha kufanya muite muoshe wote pamoja after long run training atazoea
 
Mizigo yote ing'oke:-Kinana....
Wewe mwenzangu unasubiri ninii? duh kina JK wavumilivu mpo wengi!
 
Anapoangalia TV mpaka saa tisa wewe unakuwa wapi?
Huyo uvivu na uchafu ni hulka yake,tungesema hajafundwa sawa ila hata kwenye kitchen party za wenzie hahudhurii? Maana swala la usafi huwa linazungumzwa hadharani. Ni vyombo tu au kufua na usafi wa chumbani pia ni tatizo? Kama ni vyombo tu wekeni msaidizi ila kama ni vyote kazi unayo!!
Namhurumia bint yenu,atakuwa hajigusi!!!

Masaki boyz ndo walivyo...
Hata kuoga wanayaka housegirl awaogeshe...
 
Atakuwa mnene huyo wanawake wanene ni wavivu sana....

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Duh. Huyo kazidi. Hata mwanaume akiwa peke yake hafanyi hivyo. Hii yote inatokana na malezi.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Ndio mkome kuoa Sura badala ya mke!!! WAnawake wengi "wazuri" ni wachafu, ni mara chche sana kufanya usafi hata wa miili yao
 
Huyu mwanamke anaangalia TV mpaka saa 9 usiku. Anaamka saa 3 asubuhi. Anaondoka bila kuosha vyombo vilivyotumika kulia chakula jana usiku. Vinakaa hadi siku 3. Nilishapiga kelele sana lakini bado. Ushauri please.

Nyamaza Kisha jifanye huoni atajirudi tu.kibri dawa yake jeuri,usimpige tu.
 
Huyo ni mchafu na mvivu kuamka saa tatu sio sababu.
Mi mwenyewe ni mpenzi wa tv sana nakesha usiku na naamka saa nne asubui but huwezi kukuta nyumba yangu chafu hata siku moja na jiko langu utalitamani.

Shughuli za kujitafutia riziki unafanya saa ngapi?
 
Mi naona si jambo dogo hususani kuangalia tv mpaka 9 usiku jamaa akitaka papuchi inasubiria mpaka muda huo

^^
Ni dogo Mkuu, kuna ndoa zina matatizo, watu wakianza kusimulia hapa utakubali nyumba zinaficha mengi.
^^
 
Pengine anahitaji antivirus si unajua kustuck huenda ni worms au virus.

hilo nalo neno!

afu pia inawezekana ametumia window8 wakati RAM ni 300mb! lazima asumbuliwe tuu....!

system itakuwa ni mbovu aisee!!
 
Back
Top Bottom