Shughuli za kujitafutia riziki unafanya saa ngapi?
Huyu mwanamke anaangalia TV mpaka saa 9 usiku. Anaamka saa 3 asubuhi. Anaondoka bila kuosha vyombo vilivyotumika kulia chakula jana usiku. Vinakaa hadi siku 3. Nilishapiga kelele sana lakini bado. Ushauri please.
Ni tabia isiyovumilika aisee. Ila na wewe umewahi osha vyombo mara ngapi? Maana wanaume wenyewe huwa wanajitoa kabisa kwenye uoshaji wa vyombo. Mimi ukija kwangu, ukishakula unaenda na chombo chako moja kwa moja kwenye sink kuosha.
ushauri uvioshe wewe, wewe mwenyewe unaonekana kitu USAFI kwako ni msamiati ndio maana hivyo vyombo vinakaa hata siku 3, wewe mwenyewe ingekuwa msafi ungeviosha ili umfundishe huyo la azizi wako kwa mfano na vitendo sio kupiga makele. Unakimbilia huko kumtangaza mwenzio ni mchafu, nyinyi wote wawili ni wachafu, kaeni chini pamoja mjifunze usafi. Mimi baba yetu alikuwa mtu wa kusafiri sana siku akirudi ghafla akute nyumba chafu anachofanya anafuta daily worker aje kusafisha,baada ya hapo sasa mkirudi kutoka shule hizo adhabu mtakazo PATA ni balaa.Huyu mwanamke anaangalia TV mpaka saa 9 usiku. Anaamka saa 3 asubuhi. Anaondoka bila kuosha vyombo vilivyotumika kulia chakula jana usiku. Vinakaa hadi siku 3. Nilishapiga kelele sana lakini bado. Ushauri please.
usimfundishe mwenzio vibaya, ampige kwani huyo mwanamke imekuwa ngoma
Hata kama kuna mengi likni kuwa kuacha kuosha vyombo ndo suluhisho? wageni wakiingia ndani unafikiri nan ataonekana mchafu,muda mwingine inahitaji kuonyesha ukali kidogo ndo huwa wanakaa sawa habar ya kila siku hajaosha vyombo alivyotumia mwenyewe et unamtoa out au unaanza kumbemeleza ili iweje? huyo inaonyesha hata kwao alikuwa hivyo hivyo mwanamke msafi hayuko hivyo hata ukimkosea nguo zako anakufulia anakupikia anafanya usaf wa nyumba yake ila kuna sehemu anakubana mpaka unakubali na kumuomba msamaha
Mkiwa wawili ndani ya nyumba msaidiane
Vyombo vinakaa siku tatu wewe huna mikono?
Halafu anaangalia tv mpaka saa tisa, mnajiggyjiggy saa ngapi?
Si ajabu hajamchoka, inawezekana mwanamke ana mengi ya moyoni ila hiyo inaweza kuwa ndiyo njia ya kutafuta pa kuanzia kufikisha ujumbe wake. Walipoanza mapenzi alikuwa hivyo??
Amejaribu kumuuliza kwa upendo na taratibu kwa nini yuko hivyo? amejaribu kumtoa outing? amempa japo zawadi? kuna siku yeye amefika home akamuita mpenzi wake njoo tufanye hiki (kuosha vyombo labda) aone ata-respond vipi??
Au yeye akifika ni kufoka tuu bila kutafuta njia ya kumpa mwenzie nafasi atoe yaliyomo moyoni??
cc: @cj21125
'Wamestaafu siasa' ili kukwepa kujibu tuhuma nzito dhidi yao, lakini inapokuja kwenye kuhudhuria mazingaombwe ya CCM yaliyomalizika hivi karibuni huko Dodoma bado 'wamo kwenye siasa.'
Naomba namba yake tafadhali
Huyu mwanamke anaangalia TV mpaka saa 9 usiku. Anaamka saa 3 asubuhi. Anaondoka bila kuosha vyombo vilivyotumika kulia chakula jana usiku. Vinakaa hadi siku 3. Nilishapiga kelele sana lakini bado. Ushauri please.
Wakisha kula wanataka hg aondoe vyombo. Hapo kazi ipo aisee , akifanya mchezo mama ataenda vacation kwa Obama sasa avumilie tu wanasemaga mvumilivu hula mbivu. akiangalia kideo inabidi na baba nae akaungane na wife sasa atafanyaje. Wakishakula amwambie waoshe vyombo visilale.Masaki boyz ndo walivyo...
Hata kuoga wanayaka housegirl awaogeshe...
Kwa hiyo dada anahitaji kubembelezwa na outing ili aoshe vyombo na kufanya usafi! Hebu tuache maigizo tuwe serious jamani huo ni
ungese ss
Ulikosea kuchagua,sina kawaida ya kubembeleza mwanamkeHuyu mwanamke anaangalia TV mpaka saa 9 usiku. Anaamka saa 3 asubuhi. Anaondoka bila kuosha vyombo vilivyotumika kulia chakula jana usiku. Vinakaa hadi siku 3. Nilishapiga kelele sana lakini bado. Ushauri please.