Je ni mapenzi ya kweli au tamaa ya mali mamiss na vizee!

Je ni mapenzi ya kweli au tamaa ya mali mamiss na vizee!

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
Eeeeh Mungu tusaidie.
JAMANI IVI HII IMEKAAJE/UNAKUTA MTU NI MSICHANA MDOGO TU AMBAYE ANGEKUTANA NA KIJANA MWENZAKE NA KUJENGA MAISHA YA PAMOJA ANAWAKATAA VIJANA WENZAKE UNAMKUTA NA MZEE KAMA BABU YAKE NA ANAZAA NAYE WATOTO AU MTOTO KUMBUKA HUYO MZEE ANA MKE SEMA TU WAMETENGANA!JE HII NI NINI HASA?
TUJADILI BILA KUTAJA MAJINA ILI MOD ASITUPIGE BAN.MIFANO IPO HAI HAPA TZ
 
Fedha, fedha, fedha!. Laiti kama ile noti ingejua uwepo wake ni kama tuko mafunzo ya JKT ingetuonea huruma. Fedha ilainisha kunyanzi la babu kaonekana kijana ati. Fedha jamani, acheni tu.
 
Japokuwa mapenzi hayaangalii umri ila jamani haipendezi hata kidogo.................. Unakuta mtu amezaa na libaba lika la babu yake,,,,,,, kaah!!! Sindio mwanzo wa kuwa single parent huo!?

Hivi vijisenti vya hao vibabu visitudanganye, hapo hakuna mapenzi hata kidogo then unawanyima watoto haki yao ya msingi yakuwa na baba anayestahili kuitwa baba sio baba anayeitwa babu, mwishoe aje ataniwe na watoto wenzie ''mtoto wa babu'' lol..!
 
As long as mwenye mbabu yuko happy..we fanya yako tu!!!! unajiumiza bure hata kama hufurahishwi!!!!!
 
Sio watu wote wanaokimbilia pesa kwenye mapenzi. Japo nikiri kuwa kwenye kila economic strata kuna wanaokimbilia pesa ama faida kwenye mapenzi (hata wamama wa uswazi wanacheat na mwenye kuuza bucha; not even the owner, ili apewe nusu kg kila siku)

Ila simlaumu mtu. Kwa jinsi vijana wanavyosumbua kwenye mapenzi, bora ukipata kibabu chako ujikalie kimyaaa bila stress. Hofu ya ukimwi inakuhama na mnakaa kubembelezana na kujaliana tu. Hamna maugomvi na kugombana kuhusu investments na kujenga. Wengine stress za maisha basi ugomvi na kununa hakuishi! Mara chaos za mama mkwe sijui na mawifi!

Kama ni issue za sex, unaweza kuolewa na kijana shababi na akizidiwa na cheatings zake ukaishia kupata sex once kwa miezi miwili tena ya kuparazwa (msibishe, wanawake siku hizi we share a lot na stories kama wanaume tu)

So hata kama sio miss, as long as wewe sio kisababishi cha ndoa yao kuvunjika na una staha zako; mie naona sawa tu.
 
Unamsema former miss tz????

Ila mapenzi hayana formula.....
Hao vijana wanaweza kukupa headache hadi ukakata tamaa....
Kwa hiyo popote mtu anapopata tulizo panamfaa....
Afterall si mnasema mapenzi hayaangalii umri, rangi wala kabila? V
 
swala la mahusiano ni gumu sana kwa tulio wengi. sisemi kwamba wala sidhani kama ni vyema kusema kwamba wanaoolewana na watu wazima basi sababu ni hela hapana.

kuna wanaoolewa kisa hizo hela kweli wapo na utawajua tu.

kuna wanaoolewa kwasababu ndiye mtu anayemfaa aliyemwona na moyo ukampenda na hawa nao utawaona na kuwajua.

kuna wanaoolewa ksababu ya bahati mbaya tu ya maisha ila haikuwa plan yao but kwakua maisha yamemsubject hivyo basi anaolewana anaishi vzr na mzee wake.

Jambo moja la muhmu la kujua ni hili je huyu mzee unaye mwona wewe amemuoa ama ni hawara yake tu?? na kama ni mke hilo halina mjadala ila kama ni hawara hapo lazima mtu mzima utasema binti amekimbia stress za wakaka shababi kaamua kutafuta liwazo la moyo wake, na hapa utakuta pia mkwaja unahusika zaid.

kikubwa na cha muhimu ni wanaume vijana kujifunza kuwa na nidhamu ya maisha ili wenzi wao waone kwamba kuna umuhimu wa wao kuheshimu na kuthamin mahusiano yao.
 
Lakini sasa hivi mabinti wengi wakitanzania(sio wote)...wanaogopa maisha sana sijui ni malezi au nini yale mambo ya kujipanga na mtu hawataki...wanataka ready made.. sijui ni malezi au ni nini ?...na inakuaje msichana binti mdogo mbichi unagegedwa na mzee na manyama na makunyanzi kuna raha yoyoye mnapata kweli..?!!!!
 
Siku hizi mahusiano ni biashara inayokua kwa kasi ingawa bado haijawa rasmi. Wenyewe wanasema pesa kwanza mapenzi baadae.
 
Yaani unaogopa kuwataja Mengi na Ntuyabaliwe?
Sasa upigwe BAN ya nini wakati ndio ukweli wenyewe na ndio habari ya mjini...
Always remember, JF ina hii slogan ya "Where we dare to talk openly"...hivyo speak your mind buddy, with claried examples if possible.
 
Yaani unaogopa kuwataja Mengi na Ntuyabaliwe?
Sasa ubigwe BAN ya nini wakati ndio ukweli wenyewe na ndio habari ya mjini...
Always remember, JF ina hii slogan ya "Where we dare to talk openly"...hivyo speak your mind buddy, with claried examples if possible.

Wote tukiwa kama wewe na mimi nadhani Tanzania itatoka point A kwenda point B. Huyo mzee Mengi maadili yamempitia kando na sasa anajisafisha na Vi TWEET vilivyomfurahisha anatoa zawadi, kwani watoto wa mitaani hawaoni barabarani?

"Mficha maradhi kilio huumbuua" JK Nyerere.
 
www.jamiiforums.com/celebrities-forum/215608-mengi-with-ntuyabaliwe.html

Labda ndugu mleta mada asome hiyo thread na aone kuwa kwenye kukanyana JF huwa haimpigi mtu BAN maadamu amezingatia sheria za jukwaa...
Hiyo thread nayo inachambua mahusiano ya Mengi na Ntuyabaliwe...

Wote tukiwa kama wewe na mimi nadhani Tanzania itatoka point A kwenda point B. Huyo mzee Mengi maadili yamempitia kando na sasa anajisafisha na Vi TWEET vilivyomfurahisha anatoa zawadi, kwani watoto wa mitaani hawaoni barabarani?

"Mficha maradhi kilio huumbuua" JK Nyerere.
 
Lakini sasa hivi mabinti wengi wakitanzania(sio wote)...wanaogopa maisha sana sijui ni malezi au nini yale mambo ya kujipanga na mtu hawataki...wanataka ready made.. sijui ni malezi au ni nini ?...na inakuaje msichana binti mdogo mbichi unagegedwa na mzee na manyama na makunyanzi kuna raha yoyoye mnapata kweli..?!!!!
Tunapenda sana kutengeneza maisha na vijana wenzetu ila tatizo linakuja pale mnapopata mafanikio,utajuta kuzaliwa jinsi mwanaume anavyobadilika .Atabadilisha wanawanawake kama nguo kisa eti amepata mafanikio.loh! kutafuta mtafute wote kula wale wenginine?
 
Hofu ya Mungu imewekwa kando na vijana wengi ambao wanajiita vijana wa kisasa,tena wengine wanadiriki kusema wana akili kubwa ya kujiongoza bila kujua ni pepo anawaongoza.
 
Eeeeh Mungu tusaidie.
JAMANI IVI HII IMEKAAJE/UNAKUTA MTU NI MSICHANA MDOGO TU AMBAYE ANGEKUTANA NA KIJANA MWENZAKE NA KUJENGA MAISHA YA PAMOJA ANAWAKATAA VIJANA WENZAKE UNAMKUTA NA MZEE KAMA BABU YAKE NA ANAZAA NAYE WATOTO AU MTOTO KUMBUKA HUYO MZEE ANA MKE SEMA TU WAMETENGANA!JE HII NI NINI HASA?
TUJADILI BILA KUTAJA MAJINA ILI MOD ASITUPIGE BAN.MIFANO IPO HAI HAPA TZ
Mwanamke kuolewa na mwanaume aliyemzidi sana umri hakuna tatizo so imekaa poa. Cha msingi wapendane tu.
 
Tunapenda sana kutengeneza maisha na vijana wenzetu ila tatizo linakuja pale mnapopata mafanikio,utajuta kuzaliwa jinsi mwanaume anavyobadilika .Atabadilisha wanawanawake kama nguo kisa eti amepata mafanikio.loh! kutafuta mtafute wote kula wale wenginine?

Ni kweli mameto hiyo hutokea...yule uliyetafuta nae anaonekana amechoka(mara nyingi anachoka kwa ajili ya kujitolea familia isimame)....inategemea na misingi ya mapenzi yenu lakin kweli kwenye hilo swala wanaume inabidi tupabadilishe...na mwanamke kukimbilia wababu sio suluhisho lakikini...
 
kula maisha binti najua kuna marioo watakuwa wanakumendea uwagawie.hata me wamenichosha hawa bora kusubiri hukumu ya mwisho
 
we kama unaona wivu si uende kutoka na hivyo vizee..,inakuhusu nn hasahasa???
 
Back
Top Bottom