Je, ni kweli Rostam Ameuza Share zake Vodacom?

Je, ni kweli Rostam Ameuza Share zake Vodacom?

Le Baharia FMES vipi lile dili la kurusha watu USA kwa usd 300 bado lipo? Kama lipo nami nataka niruke huko New Jersey nikatafute maisha kama vp you know tujipange ha ha ha ha le big show nakusikilizia nipe jibu nitume usd 300 kwa western union.
 
Si mpaka ingekuwepo siku hizo hiyo capital gain tax? hii si imeanza juzi tu.

Bishosti punguza kutema povu,mbona mambo malaini hapa..mnajipanga kuiba pesa za kampeni mapeemaaaa...kudadadadek,mtatosha
 
Mfanyabiashara yoyote makini lazima auze share zake kwa hali inavyoenda pale Vodacom.TCRA wanaleta mtambo kuhakiki calls na vitu vingine.Chance ya kukwepa kodi na kuibia clients itapungua na hata faida itakuwa chini.na uhakika kama mambo yataenda sawa ndani ya miaka mitano tutakuwa na makapuni yasiyozidi mawili hapa TZ.
 
Le Baharia FMES vipi lile dili la kurusha watu USA kwa usd 300 bado lipo? Kama lipo nami nataka niruke huko New Jersey nikatafute maisha kama vp you know tujipange ha ha ha ha le big show nakusikilizia nipe jibu nitume usd 300 kwa western union.

- Hii thread haihusu halafu huyo Le Big Show Le baharia ndio nani mbona una-Speculate ID ya members wengine si hairuhusiwi humu au siku hizi inaruhusiwa?

Es
 
Mfanyabiashara yoyote makini lazima auze share zake kwa hali inavyoenda pale Vodacom.TCRA wanaleta mtambo kuhakiki calls na vitu vingine.Chance ya kukwepa kodi na kuibia clients itapungua na hata faida itakuwa chini.na uhakika kama mambo yataenda sawa ndani ya miaka mitano tutakuwa na makapuni yasiyozidi mawili hapa TZ.

- Kaka VODACOM hata walete nini itaendelea tu kuakamata pesa kubwa kuliko wote Tanzania, nenda utafute historia ni nani amewahi kuuza share zake ndani ya kampuni hiyo toka ishike bongo!1

ES
 
- Bado unazidi kujivua nguo kwamba hiki kitendawili ni kikubwa sana kwako kuelewa, pole sana sasa unataja majina mengi ya watu wasiohusika ili iwe nini mkuu? Unafikiri kuna kunguru hapa wewe vipi wewe, nasema hivi hiki kitendawili hukiwezi tuliza bli tu!!

- Halafu hapa JF si kuna sheria ya kuhusu ku-speculate ID za wasiotaka majina yao yatajwe wazi sasa vipi huyu mbona hajashugulikiwa wakuu sana?

- Halafu unanifurahisha unajua ni rahisi sana kujua nani humu JF anatumwa na nani maana hii ndio njia pekee ya kuwajua mnaojificha ficha, tulianza na Pasco na sasa na wewe inajisema wazi kwamba upo humu kwa niaba ya nani, pole pole tutawajua wote!!

Es

Wewe kila memba humu anaweza kutajwa kwani nilikwambia kuwa wewe ni id zako hizo? mbona una munkar?

Hii post yako vipi ulijisahau? uka saini kama Baharia wa kutoka Dodoma, uchapie mwenyewe halafu ujidai tuna speculate? hivi wewe ziko sawa kweli?

- Pumba ni zako swali langu ni je Rostam ameuza share zake kweli au za wengine? Jibu ninalo wewe huna pole sana!! zingekuw azake asingeziuza na hasira, tuliza boli tulipoanza hapa hukuwepo this is my world of dataz wewe hizi huna so tulia!!

Le Mutuz
 
Wewe kila memba humu anaweza kutajwa kwani nilikwambia kuwa wewe ni id zako hizo? mbona una munkar?

Hii post yako vipi ulijisahau? uka saini kama Baharia wa kutoka Dodoma, uchapie mwenyewe halafu ujidai tu speculate? hivi wewe ziko sawa kweli?

hapo sasa maccm ful kujiweka uch
 
Mkuu ES, kwanza karibu tena!, long time we missed you.
Hili la biashara kwa vile na wewe sio ndio maana pia huwezi kulifahamu!. Mfanyabiashara makini sio tuu anaangalia faida, bali pia anaangalia investments opportunities za kuwekeza kwenye faida zaidi na zaidi.

Yusuph Manji alikopa bilioni 30 toka penshions funds na kujenga ile Millenium Bussiness Park, kwa kutumia title deed ya eneo as collateral. Jengo lilipokamilika, linazalisha faida 100% profit, lakini kaamua kuliuza kwa hao hao penshen funds kwa shilingi bilioni 80!, katoa deni lao la bilioni 30 na kupocket faida yake ya bilioni 50 aka re ivest kwenye Quality Plaza!, nayo pia sasa kauza anaendelea kusonga mbele!.

Original Mmiliki wa Vodacom Tanzania ni Jaquline na Peter Noni kupitia Planetel, aliyekuwa akimiliki 35% ndipo akamuuzia Rostam kupitia Kampuni yake ya Caspian 19% Plenetel aka retain 16% huku ikiwa inatengeneza faida kubwa!. Rostam akaunda kampuni tanzu ya Mirambo iliyonunua shares zote za Caspian na shares zote za Planetel, hivyo kumiliki 35% yeye mwenyewe ingawa super deals wengine kama, Tanil Somaiya kupitia Shivacom, muzee wetu kupitia Alphatel, MO Dewji kupitia Zefona wanakamkono ndani yake.

Kwa mujibu wa TCRA, kampuni zote za mawasiliano lazima ziwe na not less than 35% local ownership, hivyo kama ni kweli kuna hii sale, ni kinyume cha sheria zetu!.

Hili la biashara kutengeneza faida na shares kuuzwa liko duniani kote naomba lisikushangaze, usikute mwenzako keshaona deal jingine kubwa, more profitable, kauza shares na kuja kuwekeza!. Sometimes unakuwa wala hujapanga kuuza, bali unafuatwa na offer you can't resist!, you just let it go!.

Bill Gates alianzisha Microsoft with 100% ownership na kampuni haijawahi kupata hasara, find out sasa anamili shares ngapi?!. Sio kila uuzwaji shares lengo lake ni kutengeneza faida, sometimes unauza shares ili kufanya divesture na hiki ndicho kitu Watanzania tunatakiwa tukipiganie, vikampuni vidogo vifanye divesification kuuza shares zake kwa wengine ili zipate mtaji mkubwa zipanuke!. Soko la Hisa la Dar es Salaam, limefungua dirisha dogo la Enterprise Growth Market, EGM ili small and medium enterprises SME's zifanye listing na kuuza shares zake!.
Pasco

mkuu Pasco,iyo quality plaza kauziwa nani?
na uyo mwenye alphatel ni nani? au ndio yule ataefadhili kipindi chetu kinachokuja cha kumpigia kampeni na kuchafuwa wengine? ombeeni asioteshwe.
 
Wewe ni mnafiki aw kiwango cha peke yako
 
Acha kutumia ma------ kufikiria ww,rostam ni mtanzania?
Kampuni yenyewe kafungulia visiwa vya vijisent..unapenda sana kutetea ujinga

Wewe punguani, Rostam ni Mtanzania kuliko wewe.

Mwakichi, si jina la Kizambia hilo.

Nyinyi Wazambiani na Wanyasa wa Malawi ndiyo mnaotuletea ukabila hapa kwa sababu tu, mjomba'ko alihamia Tanzania kama manamba akakuleta hapa ukajuwa Kiswahili sasa leo una ubavu wa kuuliza "rostam ni mtanzania?". Hata kuandika vizuri hujuwi halafu unataka kuuliza Utaifa wa watu?

Rostam angekuwa si Mtanzania ungemuona bungeni kama mbunge wa Igunga? au rangi yake inakutisha? kama ni rangi tu, kwanini huulizi Utanzania Josefina, umemuona alivyo mweupe? kuliko Rostam. Au kwa nini huulizi Utanzania wa Anna Kilango Malechela? mbona ni mweupe kama au kuliko Rostam?

Punguani wahed.
 
- Hivi karibuni kulikuwa na habari za kibiashara kwamba Rostam Aziz ameuza share zake alizokuwa nazo VODACOM, sio siri kwamba amekuwa akimiliki share 35% ya kampuni hiyo kubwa sana hapa nchini, Rostam aliuza Share 17% kwa Shillingi za Tanzania Billioni 387.

- Swali la the dataz ni je ni kweli hizi alizouza zilikuwa ni share zake? Kama sio zake ni za nani? Na kwa nini zimeuzwa now kuelekea uchaguzi wa Rais 2015 na sio huko nyuma? Ninaamini majibu ya hili swali yana habari nzito sana na mustakabali wa Taifa letu was just thinking aloud!!

FMES - Wazee wa Sauti ya Umeme!!
Mwenye kumiliki mali yoyote anayo haki ya kuiuza wakati wowote atakao kutokana na sababu zake. Sasa mkuu ina maana ukiuza nyumba yako wakati huu unataka watu tuseme umeuza kwaajili ya uchaguzi ujao?
Kuwa tajiri si dhambi
 
Wewe kila memba humu anaweza kutajwa kwani nilikwambia kuwa wewe ni id zako hizo? mbona una munkar?

Hii post yako vipi ulijisahau? uka saini kama Baharia wa kutoka Dodoma, uchapie mwenyewe halafu ujidai tuna speculate? hivi wewe ziko sawa kweli?
Taratibu dada,si wote nyie magamba?BTW upo kundi gani?
 
- Hivi karibuni kulikuwa na habari za kibiashara kwamba Rostam Aziz ameuza share zake alizokuwa nazo VODACOM, sio siri kwamba amekuwa akimiliki share 35% ya kampuni hiyo kubwa sana hapa nchini, Rostam aliuza Share 17% kwa Shillingi za Tanzania Billioni 387.

- Swali la the dataz ni je ni kweli hizi alizouza zilikuwa ni share zake? Kama sio zake ni za nani? Na kwa nini zimeuzwa now kuelekea uchaguzi wa Rais 2015 na sio huko nyuma? Ninaamini majibu ya hili swali yana habari nzito sana na mustakabali wa Taifa letu was just thinking aloud!!

FMES - Wazee wa Sauti ya Umeme!!

Meuliza na umejibu mwenyewe,
 
Wewe punguani, Rostam ni Mtanzania kuliko wewe.

Mwakichi, si jina la Kizambia hilo.

Nyinyi Wazambiani na Wanyasa wa Malawi ndiyo mnaotuletea ukabila hapa kwa sababu tu, mjomba'ko alihamia Tanzania kama manamba akakuleta hapa ukajuwa Kiswahili sasa leo una ubavu wa kuuliza "rostam ni mtanzania?". Hata kuandika vizuri hujuwi halafu unataka kuuliza Utaifa wa watu?

Rostam angekuwa si Mtanzania ungemuona bungeni kama mbunge wa Igunga? au rangi yake inakutisha? kama ni rangi tu, kwanini huulizi Utanzania Josefina, umemuona alivyo mweupe? kuliko Rostam. Au kwa nini huulizi Utanzania wa Anna Kilango Malechela? mbona ni mweupe kama au kuliko Rostam?

Punguani wahed.

ficha upumbavu onyesha busara, ww unachojua ni ktoa povu tuuu...hivi unajua rostam ana uraia wa nchi 2?

tanzania hatuna dual citozenship sasa huyu ni mtanzania kwel?

kua mbunge ni udhaifu wa ccm, mbona kinana na rage ni wasomali....duuuuh, ngachoka:israel:
 
Taratibu dada,si wote nyie magamba?BTW upo kundi gani?

Unanchekesha kwani magamba ndio malaika na hawafanyi makosa? hata Slaa alifanya makosa ndiyo maana akachujwa kuiwakilisha CCM na gamba bovu likahamia chadema, Si unajionea alivyo? eti mchungaji aliyeasi kanisa, aliyeasi wanawe, aanezini na mke wa mtu. Huyaoni?
 
ficha upumbavu onyesha busara, ww unachojua ni ktoa povu tuuu...hivi unajua rostam ana uraia wa nchi 2?

tanzania hatuna dual citozenship sasa huyu ni mtanzania kwel?

kua mbunge ni udhaifu wa ccm, mbona kinana na rage ni wasomali....duuuuh, ngachoka:israel:

Hata useme ana uraia wa nchi 10, zinabaki kuwa porojo zako tu. Weka ushahidi halafu upeleke uhamiaji. Kama hauna ushahidi kaa kimya na uwache porojo za mitaani.

Unajuwa kuwa Pengo ana uraia wa nchi mbili? tena wa wazi kabisa? Nikisema leo Pengo si Mtanzania kwa kuwa ana Uraia wa Vatikano pia, si ntaonekana punguani kama wewe.
 
Back
Top Bottom