kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
Kufanya nini na kufanikiwa? Kama unauliza bishara? mimi si mfanya biashara, mimi ni "semi retired" kwa hiyo ni "part time" mshauri wa biashara (Business Consultant).
Kazi yangu kwa zaidi ya miaka 10 sasa ni kukusanya kodi za majumba niliyorithi na kuyaendeleza na kulima kwetu Mkuranga.
Ndiyo maana unaniona muda mrefu nnaweza kuingia JF bila waswas.
AlhamduliLlah, nnashkuru nimefanikiwa kwa yote hayo.
sikufahamu na ukongwe wako wote hapa jf kuna time unajichanganya namna hii.jibu ulilonijibu sio la swali nilillo kuuliza.hata hivyo nashukuru kwa tangazo lako.kuji-brag imo na sio dhambi.