Je, ni kweli Rostam Ameuza Share zake Vodacom?

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Apr 27, 2006
12,669
0
- Hivi karibuni kulikuwa na habari za kibiashara kwamba Rostam Aziz ameuza share zake alizokuwa nazo VODACOM, sio siri kwamba amekuwa akimiliki share 35% ya kampuni hiyo kubwa sana hapa nchini, Rostam aliuza Share 17% kwa Shillingi za Tanzania Billioni 387.

- Swali la the dataz ni je ni kweli hizi alizouza zilikuwa ni share zake? Kama sio zake ni za nani? Na kwa nini zimeuzwa now kuelekea uchaguzi wa Rais 2015 na sio huko nyuma? Ninaamini majibu ya hili swali yana habari nzito sana na mustakabali wa Taifa letu was just thinking aloud!!

FMES - Wazee wa Sauti ya Umeme!!
Tanzania's Richest Man To Sell Stake in Vodacom.

Tanzania's richest man,-Rostam Azizi, has agreed to sell off- a significant chunk of his stake in mobile telecoms outfit Vodacom Tanzania to Vodacom Group Ltd, the African subsidiary of British telecoms giant Vodafone Group PLC, according to a statement from Vodacom.

Azizi, 49, is the controlling shareholder of Cavalry Holdings, a Jersey island-registered private investment company through which he owned a 35% stake in Vodacom Tanzania. He will be selling a 17.2% stake for $242 million, while retaining a 17.8% stake in the company.

The Johannesburg Stock Exchange-listed-Vodacom Group currently owns 65% of Vodacom Tanzania, the country's largest mobile telecoms network, with over 9.5 million active subscribers. If the deal is approved by South Africa's Reserve Bank, Vodacom Group will own 82.2% of the company.

"The transaction allows Vodacom to increase its exposure to one of Vodacom's key investments in sub-Saharan Africa," the company said in a press statement. "Vodacom Tanzania has been Vodacom's most successful investment outside of South Africa to date."

Vodacom said it will acquire the 17.2% interest in Vodacom Tanzania Limited through the subscription for new shares in Cavalry Holdings, consequently diluting Cavalry's existing shareholders' interest in Cavalry from 100% to 51%.

This year, Rostam Azizi, a fifth generation Tanzanian of Persian origin, debuted on FORBES annual rankings of Africa's Richest People with a net worth estimated at $1 billion. Azizi has over the years built a reputation as one of East Africa's shrewdest investors.

Apart from his Vodacom stake, he owns Caspian Mining, a contract mining company that provides mining services to BHP Billiton and Barrick Gold, and a minority stake-in a container terminal in Tanzania. He also owns extensive real estate in Tanzania, Dubai, Oman and Lebanon. Azizi did not respond to a request for comment about the Vodacom Tanzania sale.
 
omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,162
2,000
ni vizuri kuamshana usingizini kama hivi (creating awareness). Naamini watapiata wajuzi wa mambo hapa na huenda wakatupa mwanga zaidi.
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,886
2,000
Kuna siri nzito sana hapo!shares zilikuwa Planetel na RA!wakati wa .....akazinunua zile 17 za Planetel na zikawa 35%!!

Ameuza hizo 17% ambazo hatujui kama ndio zake au zile wanazosimamia tu!

Mchezo uliopo wameuza kampuni moja iko Jersey Island (Wakumbuka vijisenti)...na hiyo kampuni faster zaidi radi wameuza kwa Vodacom SA Group!! Naona kama kuna michezo michezo hapo!ukisoma unaona kuna walakini hapa!Vodacom SA wana 82% shares kwa Vodacom TZ!

Sheria yetu imekaa kimya kuwa local share holders wanatakiwa ku maintain shares Zao baada ya kampuni kuanza kazi au wanaruhisiwa kuziuza kwa mtu wa ndani au mtu yeyote hata wa Nje?......

Wanatuchezea!sheria ile maana yake nini kama shares zote unaeza uza zote kwa watu nje?

.!!!!
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,279
2,000
- Hivi karibuni kulikuwa na habari za kibiashara kwamba Rostam Aziz ameuza share zake alizokuwa nazo VODACOM, sio siri kwamba amekuwa akimiliki share 35% ya kampuni hiyo kubwa sana hapa nchini, Rostam aliuza Share 17% kwa Shillingi za Tanzania Billioni 387.

- Swali la the dataz ni je ni kweli hizi alizouza zilikuwa ni share zake? Kama sio zake ni za nani? Na kwa nini zimeuzwa now kuelekea uchaguzi wa Rais 2015 na sio huko nyuma? Ninaamini majibu ya hili swali yana habari nzito sana na mustakabali wa Taifa letu was just thinking aloud!!

FMES - Wazee wa Sauti ya Umeme!!

Mara useme Rostam ameuza share zake, mara uulize ni zake au si zake.

Jipange upya hueleweki.

Kama unataka kujuwa kama share ni za Rostam au si Rostam? unaweza kutembelea BRELA, unalipia 6,000 unafanya official search unapata kujuwa yote uyatakayo, au una lingine zaidi?

Pitia hapa kwa maelezo zaidi: BRELA
 
ilboru1995

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,329
0
Rostam ni Mfanyabiashara, na lengo la mfanyabiasha yeyote ni kutengeneza faida kubwa iwezekanavyo! Hakuna tatizo kwa yeye kuuza share zake...Swali la msingi hapa ni je? Amelipa kodi ya ongezeko la thamani (capital gain) kwa mujibu wa sharia?...TRA wanatakiwa waje na majibu sahihi hapa...
 
- Really? bwa! ha! ha!

Es
 
- Kaka kama haupo fani ya biashara sio rahisi kuamini mfanya biashara wa status ya Rostam anaweza kuuza share zake 17% kutoka kampuni yenye faida ya ajabu kama VODACOM kaka mimi mfanya biashara sijafikiam level ya Rostam lakini najua kwamba haiwezekani na haijawahi kutokea Duniani unless ni Russia ambako Serikali inakulazimisha kuziuza,

- Wailuze wanaojua biashara kaka haipo hakuna mafanya bisahara mwenye akili timamu anayeweza kuuza share zote hizo kutoka VODACOM hasa kwa wakati huu impossible!1

ES
 
Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,663
2,000
- Hivi karibuni kulikuwa na habari za kibiashara kwamba Rostam Aziz ameuza share zake alizokuwa nazo VODACOM, sio siri kwamba amekuwa akimiliki share 35% ya kampuni hiyo kubwa sana hapa nchini, Rostam aliuza Share 17% kwa Shillingi za Tanzania Billioni 387.

- Swali la the dataz ni je ni kweli hizi alizouza zilikuwa ni share zake? Kama sio zake ni za nani? Na kwa nini zimeuzwa now kuelekea uchaguzi wa Rais 2015 na sio huko nyuma? Ninaamini majibu ya hili swali yana habari nzito sana na mustakabali wa Taifa letu was just thinking aloud!

FMES - Wazee wa Sauti ya Umeme!!
Kama hazijauzwa, tunaomba Serikali yetu kwa niaba ya watanzania wazinunue.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,279
2,000
Rostam ni Mfanyabiashara, na lengo la mfanyabiasha yeyote ni kutengeneza faida kubwa iwezekanavyo! Hakuna tatizo kwa yeye kuuza share zake...Swali la msingi hapa ni je? Amelipa kodi ya ongezeko la thamani (capital gain) kwa mujibu wa sharia?...TRA wanatakiwa waje na majibu sahihi hapa...

Jee, kama kuna capital loss, analipwa yeye?
 
babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,671
2,000
Kuna kipindi nilijaribu kuanzisha thread ambayo "copy and paste" iliyokuwa inahusu Cavalry Holdings kuuza hisa zake,ikagoma.
Nikajaribu kutafuta jibu kwa nini imegoma sikupata?
 
babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,671
2,000
Tanzania's Richest Man To Sell Stake in Vodacom.

Tanzania's richest man,-Rostam Azizi, has agreed to sell off- a significant chunk of his stake in mobile telecoms outfit Vodacom Tanzania to Vodacom Group Ltd, the African subsidiary of British telecoms giant Vodafone Group PLC, according to a statement from Vodacom.

Azizi, 49, is the controlling shareholder of Cavalry Holdings, a Jersey island-registered private investment company through which he owned a 35% stake in Vodacom Tanzania. He will be selling a 17.2% stake for $242 million, while retaining a 17.8% stake in the company.

The Johannesburg Stock Exchange-listed-Vodacom Group currently owns 65% of Vodacom Tanzania, the country's largest mobile telecoms network, with over 9.5 million active subscribers. If the deal is approved by South Africa's Reserve Bank, Vodacom Group will own 82.2% of the company.

"The transaction allows Vodacom to increase its exposure to one of Vodacom's key investments in sub-Saharan Africa," the company said in a press statement. "Vodacom Tanzania has been Vodacom's most successful investment outside of South Africa to date."

Vodacom said it will acquire the 17.2% interest in Vodacom Tanzania Limited through the subscription for new shares in Cavalry Holdings, consequently diluting Cavalry's existing shareholders' interest in Cavalry from 100% to 51%.

This year, Rostam Azizi, a fifth generation Tanzanian of Persian origin, debuted on FORBES annual rankings of Africa's Richest People with a net worth estimated at $1 billion. Azizi has over the years built a reputation as one of East Africa's shrewdest investors.

Apart from his Vodacom stake, he owns Caspian Mining, a contract mining company that provides mining services to BHP Billiton and Barrick Gold, and a minority stake-in a container terminal in Tanzania. He also owns extensive real estate in Tanzania, Dubai, Oman and Lebanon. Azizi did not respond to a request for comment about the Vodacom Tanzania sale.
 
ilboru1995

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,329
0
- Kaka kama haupo fani ya biashara sio rahisi kuamini mfanya biashara wa status ya Rostam anaweza kuuza share zake 17% kutoka kampuni yenye faida ya ajabu kama VODACOM kaka mimi mfanya biashara sijafikiam level ya Rostam lakini najua kwamba haiwezekani na haijawahi kutokea Duniani unless ni Russia ambako Serikali inakulazimisha kuziuza,

- Wailuze wanaojua biashara kaka haipo hakuna mafanya bisahara mwenye akili timamu anayeweza kuuza share zote hizo kutoka VODACOM hasa kwa wakati huu impossible!1

ES
Jambo moja la msingi mkuu ambalo utakubaliana nami ni kuwa Rostam kamwe hawezi kufanya biashara ya hasara hata siku moja...btw unafikiri uchaguzi mkuu ukifanyika na CCM kushinda ama kushindwa itakuwa na impact kubwa kwa biashara zake? Caspian pale Mwadui wamepewa kazi ya drilling and blasting, wanafanyakazi ya kuchekecha almasi ambayo wamekadiria uhai wa mgodi ni miaka 40 plus ijayo! Kutokana na mktaba walioingia serikali itaanza kulipwa mrabaha kuanzia 2017!... kama almasi inalipa zaidi, kwanini asitumie fedha hizo kuongeza production?...Siyo kwamba namtetea Rostam, la hasha...Tatizo letu ni mifumo mibovu na TRA hawajaweza kukusanya kodi ya kutosha kwenye maeneo mengi ya uwekezaji...Ndiyo maana wanasema nchi yetu nikama Shamba la bibi ambapo kila mpita njia anajivunia na kuambaa zake ...
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,279
2,000
Kama hazijauzwa, tunaomba Serikali yetu kwa niaba ya watanzania wazinunue.

Wakati Serikali inajitoa katika kufanya biashara wewe unataka kutuingiza mkenge? Serikali si inayo TTCL, badala ya kununuwa shares za Rostam si waiboreshe TTCL.

Na ikitokea Serikali kununuwa shares za Vodacom basi watu watakwambia ni dili hilo, ufisadi.

Humu kuna watu wana roho mbaya za hasad hakuna zaidi. Kama Rostam kachukuwa mkwanja wa kutosha tunamuombea mafanikio zaidi, na afunguwe mabiashara mengine mengi, Tanzania na duniani kote, yatakayompatia faida zaidi.

Tunahitaji sana Watanzania wafanya biashara kama Rostam Aziz baada ya kutoka kwenye siasa na uchumi wa kijinga wa ujamaa na kujitegemea ulioshindwa kabisa kutekelezeka, ukaiwacha nchi na wananchi wake masikini hohe-hahe.
 
kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,502
2,000
Mara useme Rostam ameuza share zake, mara uulize ni zake au si zake.

Jipange upya hueleweki.

Kama unataka kujuwa kama share ni za Rostam au si Rostam? unaweza kutembelea BRELA, unalipia 6,000 unafanya official search unapata kujuwa yote uyatakayo, au una lingine zaidi?

Pitia hapa kwa maelezo zaidi: BRELA

kwa urasimu uliopo nchi hii hasa unapo fatilia interest za wakubwa,unadhani ni rahisi hivyo?wewe ulishawahi kufanya na ukafanikiwa?!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom