kaka wewe ni mtu wa tatu waniambia hivyo, asante
haijatoka bikira ni oil seal tu zitakuwa zimelegea ..we bikira itoke huyo unadhani ataweza hata kushika blackberry kutuma meseji!!!
kakuzuga huyo.ili aonekane wewe ndio uliomtoa,wakati kuna mwengine kabla ya hapo alietoa.kwa nini mtu usiwe mkweli.kama mtu anakupenda bikira sio big deal
kuna bikra za aina 2,
internal and external virginity!
so hiyo yake ilikuwa external,hivyo umemtoa!congtrs and hap neu ea
Kwa namna hii ya kufikiri, nadhani linahitajika somo kabisa kwa wanaume kujua bkr nini nini na inakuaje, wengine wandhani ni seal iko kote, hahaa, ni kautando kanaokua juu pembeni (ndani) ya uke na unakuwa na damu ndani yake. Mengineyo kwa sababu hayajawahi kuingiliwa ndio mtu anaumia kutokana na elesticity.
Maana ya Bikira ni hivi:- Hakuna agano ambalo limewahi kufanyika pasipo kuwa na umwagaji wa damu kwa principal za Kimungu, so ile damu kumwagika ni agano la mtu mume na mke kutotengana daima. Kama umetoa wasichana kumi bikira, una agano na hao kumi. kama ni laana/mikosi yakwao itaambatana nawe hadi utakapopata deliverance/ kujitenga na hao. au kama mtu umewahi lala na wakaka kumi au wadada kumi, utakuwa na connection nao za kiroho hadi utapowakana au kufanyiwa deliverance ndio hata ukioa utakuwa hufungamani na agano /patano lingine lolote na utakua salama zaidi.
mwenye ufahamu na afahamu.
Mwenye uelewa mpana zaidi naomba atusaidie zaidi.
haijatoka bikira ni oil seal tu zitakuwa zimelegea ..we bikira itoke huyo unadhani ataweza hata kushika blackberry kutuma meseji!!!
khaaa! jaman yaani wewe kaka uko innocent sana ila sasa MODS please naomba nifunguke tu ili kumuokolea huyu kijana jahazi naumia kama vile ni mwanangu.
Pindima kwanza kabisa kitendo ulichofanya siyo kweli kwamba kimemtoa huyo dada bikra. pili wewe kuingiza kidole kwenye utupu wake na kugoma kuingia kina tafsiri hii, uke wa mwanamke hata kama utalainishwa kiasi gani kwa lubricant hauwez kuruhusu kitu kupenya kirahisi huwa kadiri mtu anavyokuwa stimulated ndivyo contraction of muscles za uke zinakuwa kubwa na hii ndio hufanya unapokuwa ndani ya uke kuskia mmbano ambao huleta mfyonzo. sijui kama umenielewa hapa. hivyo swala la wewe kushndwa kupitisha kidole laweza kuchangiwa na hali ya misuli ya uke kubana tu.
mfano mzuri mwanamke anapojisafisha akiingiza kidole mara ya kwanza, akija kujaribu kupitisha mara ya pili eneo lile hujifunga kabisa na hivyo kuzuia kidole kupita. sasa jaribu kumfanyia jaribio hilo utaona ukweli.
tuje kwenye kuumwa tumbo na kutoka damu, damu hiyo ina asilika wapi?? damu ya ubikra iki dumu sana sana ni masaa4 machache na damu hii haitoki nyingi sana ni kidogo kias kwamba hata akivaa pedi haitaj kubadilisha,. inapotokea damu kuwa nyingi kiasi cha kubadili pedi basi damu hiyo huwa imekutana na period ambayo imekuwa ama ilishafika muda wake ama imekuwa initiated na kitendo chenyewe hasa kwa mtu ambaye ni mwoga wa kile kitendo ama ni mgeni kabisa.
sasa nimalizie kwa kusema huyo bidada yawezekana kabisa akawa hajui bikira inatokaje na wewe pia huji ni kitu gani ama la kama dada ni mjanja sana inawezekana ikawa kinyume chake.
Habari za weekend wana jamii? Nna tatizo naomba mnisaidie kwa mawazo, jana nilikua na mpenzi wangu ambaye bado ni bikra na nna uhakika kuwa bado bikra,sasa kilichotokea ni kwamba tulipokua pamoja jana tulifanya romance za kawaida mpaka tukafikia kuvua nguo zote, hatukufanya mapenzi ila nilipiga brash kwenye k yake kwa kutumia umbo** wangu, tatizo lililojitokeza ni kwamba alipofika kwao akaanza kulalamika maumivu na damu zinamtoka na anasema kuwa nimemtoa bikra yake,sasa wanajamii naomba mnisaidie ni kweli bikra yaweza toka kwa dizaini hiyo?msaada tafadhalini,
Likizo ya Pasaka inaisha lini watoto waende shule?