Je ni kweli nilimtoa bikra?

Je ni kweli nilimtoa bikra?

hawatoshi bana...au unataka nipigwe talaka?? watoto ni zawadi so tunazifurahia....
Hapana hao wa4 wametosha vinginevyo utaharibu sana baadhi ya maeneo kwenye mwili wangu si unajua tena mamii??!!!!!
 
gfsonwin uko wapi wangu umesepa au muzee mutu munene amekubananisha??!!
 
ndiyo mie napenda watoto sana....

Mhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!! haya Bana mi yangu macho lakini najua ipo siku utakuja tu humu ndani na kuanza kulalama kwa jamaa anakutwisha mamizigo tu kila mara,lakini wa ushauri wangu atakulegeza mapema fika sehemu useme hapana.halafu naomba nikuulize sijui kama utaniruhusu,au twende PM?!
 
najua unalotaka uliza...niPM tu..lol
Mhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!! haya Bana mi yangu macho lakini najua ipo siku utakuja tu humu ndani na kuanza kulalama kwa jamaa anakutwisha mamizigo tu kila mara,lakini wa ushauri wangu atakulegeza mapema fika sehemu useme hapana.halafu naomba nikuulize sijui kama utaniruhusu,au twende PM?!
 
Habari za weekend wana
jamii? Nna tatizo naomba mnisaidie kwa mawazo, jana nilikua na mpenzi
wangu ambaye bado ni bikra na nna uhakika kuwa bado bikra,sasa
kilichotokea ni kwamba tulipokua pamoja jana tulifanya romance za
kawaida mpaka tukafikia kuvua nguo zote, hatukufanya mapenzi ila
nilipiga brash kwenye k yake kwa kutumia umbo** wangu, tatizo
lililojitokeza ni kwamba alipofika kwao akaanza kulalamika maumivu na
damu zinamtoka na anasema kuwa nimemtoa bikra yake,sasa wanajamii naomba
mnisaidie ni kweli bikra yaweza toka kwa dizaini hiyo?msaada
tafadhalini,

Kwi kwi kwi,madem wa mjini bwana,kakuona we ni ZUZU mpenda bikra akudanganye kiivyo ukolee,kumbe kitu used kitaaambo.
 
Habari za weekend wana jamii? Nna tatizo naomba mnisaidie kwa mawazo, jana nilikua na mpenzi wangu ambaye bado ni bikra na nna uhakika kuwa bado bikra,sasa kilichotokea ni kwamba tulipokua pamoja jana tulifanya romance za kawaida mpaka tukafikia kuvua nguo zote, hatukufanya mapenzi ila nilipiga brash kwenye k yake kwa kutumia umbo** wangu, tatizo lililojitokeza ni kwamba alipofika kwao akaanza kulalamika maumivu na damu zinamtoka na anasema kuwa nimemtoa bikra yake,sasa wanajamii naomba mnisaidie ni kweli bikra yaweza toka kwa dizaini hiyo?msaada tafadhalini,

Unaibiwa wewe amka!
 
hayukumtoa

Kwa namna hii ya kufikiri, nadhani linahitajika somo kabisa kwa wanaume kujua bkr nini nini na inakuaje, wengine wandhani ni seal iko kote, hahaa, ni kautando kanaokua juu pembeni (ndani) ya uke na unakuwa na damu ndani yake. Mengineyo kwa sababu hayajawahi kuingiliwa ndio mtu anaumia kutokana na elesticity.

Maana ya Bikira ni hivi:- Hakuna agano ambalo limewahi kufanyika pasipo kuwa na umwagaji wa damu kwa principal za Kimungu, so ile damu kumwagika ni agano la mtu mume na mke kutotengana daima. Kama umetoa wasichana kumi bikira, una agano na hao kumi. kama ni laana/mikosi yakwao itaambatana nawe hadi utakapopata deliverance/ kujitenga na hao. au kama mtu umewahi lala na wakaka kumi au wadada kumi, utakuwa na connection nao za kiroho hadi utapowakana au kufanyiwa deliverance ndio hata ukioa utakuwa hufungamani na agano /patano lingine lolote na utakua salama zaidi.

mwenye ufahamu na afahamu.

Mwenye uelewa mpana zaidi naomba atusaidie zaidi.

Mkuu swala la agano ulilosema apo nilifundishwa nikiwa fellowship form 5 mwaka 2004
Kwa uyu mtu mleta mada ku digest ivyo ni vigumu so ina bidi uende na levo yake
Mwenzio kapiga katelelo hajui ata bk imetoka au lah! So inabid umjengee juniour picture of the situation before going further deep
 
Asante mkuu, Mimi nilitaka kabla ya yeye kuhakiki ushindi wake ajue maana ya anachokifanya kwanza Mkuu.

Point taken Bro. thanks

Mkuu swala la agano ulilosema apo nilifundishwa nikiwa fellowship form 5 mwaka 2004
Kwa uyu mtu mleta mada ku digest ivyo ni vigumu so ina bidi uende na levo yake
Mwenzio kapiga katelelo hajui ata bk imetoka au lah! So inabid umjengee juniour picture of the situation before going further deep
 
Kwa namna hii ya kufikiri, nadhani linahitajika somo kabisa kwa wanaume kujua bkr nini nini na inakuaje, wengine wandhani ni seal iko kote, hahaa, ni kautando kanaokua juu pembeni (ndani) ya uke na unakuwa na damu ndani yake. Mengineyo kwa sababu hayajawahi kuingiliwa ndio mtu anaumia kutokana na elesticity.

Maana ya Bikira ni hivi:- Hakuna agano ambalo limewahi kufanyika pasipo kuwa na umwagaji wa damu kwa principal za Kimungu, so ile damu kumwagika ni agano la mtu mume na mke kutotengana daima. Kama umetoa wasichana kumi bikira, una agano na hao kumi. kama ni laana/mikosi yakwao itaambatana nawe hadi utakapopata deliverance/ kujitenga na hao. au kama mtu umewahi lala na wakaka kumi au wadada kumi, utakuwa na connection nao za kiroho hadi utapowakana au kufanyiwa deliverance ndio hata ukioa utakuwa hufungamani na agano /patano lingine lolote na utakua salama zaidi.

mwenye ufahamu na afahamu.

Mwenye uelewa mpana zaidi naomba atusaidie zaidi.

Deep sana hii kitu
 
Mkuu swala la agano ulilosema apo nilifundishwa nikiwa fellowship form 5 mwaka 2004
Kwa uyu mtu mleta mada ku digest ivyo ni vigumu so ina bidi uende na levo yake
Mwenzio kapiga katelelo hajui ata bk imetoka au lah! So inabid umjengee juniour picture of the situation before going further deep

wewe umenielewa sana
 
huyo demu wako nadhani ana bikira ya kichina kwa hiyo kakuambia kuwa umemtoa ili uamini kweli alikuwa na bikira.
 
Back
Top Bottom