rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
Sasa ndio ukachomoaaaa?,kwani mimi ni mnyonya damu? au naumiza?wala sina kuumiza wala kuuma,yaani ni MAURODA kwa kwenda mbele plus mapesa pwaaaa.
Aisee

Sasa ndo unaniambiaje au unaniachaje sasa? ujue itabidi nikupigie chaputa hata viwili huku nikiangalia avatar yako mamishuu.Aisee