Je ni kweli nilimtoa bikra?

Je ni kweli nilimtoa bikra?

Mkuu husijidanganye bure,hii haikuwa mada ya watoto,ata mimi yameshanikuta bidada-25 age akanambia bikira siku naenda kwao,mama yake anamuuliza: "wewe ulikuwa wapi kila siku kutwa na njia na huyo bwana yako hawa watoto wako umezaa nani akulelee?",nilikimbia mpaka nikasahau ninapoishi.
Mkuu haya yapo na yanatokea, hawa viumbe sio wakuwaamini pia sio wema walitufukizisha peponi,ona sasa siku ya 3 mvua inanyesha nalala juu ya paa mana Panya-road wamerudishwa toka SA.

hii sasa sifaaa....ona sasa umevunja mbavu zangu aaaaaaaarg
 
hahahh pole kaka cku hiz unapoongelea bikra unatakiwa uwe specificmaana bikra ziko za aina nyingi...... inawezekana yake ilikuwa ya ndimu, limao au mdalasini
 
mkuu ulizama ndani au?
kama hukuzama inakuweje sasa iwe hivo...
Kama ulizama yawezekana ikawa kweli..
 
Omba mechi upige kama ni kweli utarealize damu maana wangu tulifanya kama mara 4 bado damu zilikuwa zinatoka kwa kupungua.
 
Anastahil kipigo kwa kukufanya ww bwe...e, effects za kutoka kwa bikra ungeziona kwenye dushe lako kwan lingekuwa na damu na hapo mlipokuwa pia zingekuwepo, kwa nn akwambie baada ya kufika home, its hard task kutoa hiyo kitu haitok kwa njia hiyo.
 
Kama kwenye "Romance" vidole vyako vilitembea ndani kwake umeitoa, ila kama ni hivyo ulisema nusu kaputi tu, hapana hujaitoa. Itakuwa ni hedhi labda.
 
Mmmh hakuna damu bt binti husikia maumivu makali tuuu unapoingia. Damu labda ya hedhi hiyoooo..
 
kila mwanamke ana bikra yake
anaweza akatoka damu tu bila hayo maumivu makali
wapo wanaopata maumivu makali damu hakuna
wapo wanaopata vyote maumivu na damu
 
Back
Top Bottom