kistwangara
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 656
- 94
jaman mbona watu wengne mnatoa non-sense mada?
inategemea huenda uonge wa binti unatikana na huyu kijana kuabudu bikira. ninashangaa sana baadhi ya wanaume kuthamini bikira na si tabia na mwenendo wa mtu.ki msingi kama ilivyo kwa mwanaume ... mwanamke kufanya sex ni hitaji la mwili. siwezi kulaumu mtu ambae alifanya hivyo kabla ya kuwa na mimi , alitimiza hitaji lake nami sikuwepo. so sioni kwanini nianze kuwinda na kuabudu bikirakakuzuga huyo.ili aonekane wewe ndio uliomtoa,wakati kuna mwengine kabla ya hapo alietoa.kwa nini mtu usiwe mkweli.kama mtu anakupenda bikira sio big deal
mchezo wa kutegeshewa upo sana ....kuna jamaa zangu walimu wanasema uko walipo haipiti miezi mitatu bila mfanyakazi kudakwa na denti na lengo la familia hizo ni kuchuma hela tu na huwa wanadai hela nyingiMkuu kwanza nikutoe wasiwasi kabisa kwamba ningefanya wakati yuko Primary ingekuwa sooo,hapo unaweza kukimbia hata geto,na hata wakati yuko sekondari ingelikuwa ni hatari,ila kidato cha sita hakuna kitu hlafu lazima uongeze na zako mkuu wakti mwingine unaweza tegeshewa ila ninachoamini kwa sababu yeye mwenyewe kasema hakuna noma,wale unaosikia wamekamatwa na denti huwa wanalazimisha mwisho wa siku wanawekewa mtego.
inategemea huenda uonge wa binti unatikana na huyu kijana kuabudu bikira. ninashangaa sana baadhi ya wanaume kuthamini bikira na si tabia na mwenendo wa mtu.ki msingi kama ilivyo kwa mwanaume ... mwanamke kufanya sex ni hitaji la mwili. siwezi kulaumu mtu ambae alifanya hivyo kabla ya kuwa na mimi , alitimiza hitaji lake nami sikuwepo. so sioni kwanini nianze kuwinda na kuabudu bikira
Mamii Ciello wala hakuna tatizo hivi ni vitu vya kawaida ana tangu enzi za mababu zetu na ndiyo maana unaona kila mwaka tunaongezeka idadi,tatizo ni muda tu ila kila kitu kina wakati wake,kwa hiyo wakati wao ukifika ni lazima wapewe dozi ni kawaida sana,ingawa nimepanga kuzaa watoto wawili pekee katika maisha yangu wa kike na wa kiume tosha kabisa.vipi wewe unao wangapi??!!
unaelewa unachoandika?... unadhani bikira uliyoitoa wewe huko yaweza thibitishwa na maneno ya watu hapa jamii forums? ungeliweka picha hapa naamini walio wengi wangekwambia kama kuna bikira bado au ilishatolewa.umeelewa kilichoandikwa?
nilijaribu kidole hakikupita.
unaelewa unachoandika?... unadhani bikira uliyoitoa wewe huko yaweza thibitishwa na maneno ya watu hapa jamii forums? ungeliweka picha hapa naamini walio wengi wangekwambia kama kuna bikira bado au ilishatolewa.
Bikra haitoki kizembe ivyo
Inahitaji ugali wa nguvu na moyo mgumu
Maana ata umuandAaje hofu itakayomtawala kwenye tendo lake kwa mara ya kwanza haliwez likatoshelezea ukeni kuwa tayari 100%
Soooo!! Mshauri mmalizie tunda mjue kama kuna masalia au vp ? Jifanye na we mlimbukeni
N.B vp ulivyopiga katelelo!! Hukumchafua kwelii??
khaaa! jaman yaani wewe kaka uko innocent sana ila sasa MODS please naomba nifunguke tu ili kumuokolea huyu kijana jahazi naumia kama vile ni mwanangu.
Pindima kwanza kabisa kitendo ulichofanya siyo kweli kwamba kimemtoa huyo dada bikra. pili wewe kuingiza kidole kwenye utupu wake na kugoma kuingia kina tafsiri hii, uke wa mwanamke hata kama utalainishwa kiasi gani kwa lubricant hauwez kuruhusu kitu kupenya kirahisi huwa kadiri mtu anavyokuwa stimulated ndivyo contraction of muscles za uke zinakuwa kubwa na hii ndio hufanya unapokuwa ndani ya uke kuskia mmbano ambao huleta mfyonzo. sijui kama umenielewa hapa. hivyo swala la wewe kushndwa kupitisha kidole laweza kuchangiwa na hali ya misuli ya uke kubana tu.
mfano mzuri mwanamke anapojisafisha akiingiza kidole mara ya kwanza, akija kujaribu kupitisha mara ya pili eneo lile hujifunga kabisa na hivyo kuzuia kidole kupita. sasa jaribu kumfanyia jaribio hilo utaona ukweli.
tuje kwenye kuumwa tumbo na kutoka damu, damu hiyo ina asilika wapi?? damu ya ubikra iki dumu sana sana ni masaa4 machache na damu hii haitoki nyingi sana ni kidogo kias kwamba hata akivaa pedi haitaj kubadilisha,. inapotokea damu kuwa nyingi kiasi cha kubadili pedi basi damu hiyo huwa imekutana na period ambayo imekuwa ama ilishafika muda wake ama imekuwa initiated na kitendo chenyewe hasa kwa mtu ambaye ni mwoga wa kile kitendo ama ni mgeni kabisa.
sasa nimalizie kwa kusema huyo bidada yawezekana kabisa akawa hajui bikira inatokaje na wewe pia huji ni kitu gani ama la kama dada ni mjanja sana inawezekana ikawa kinyume chake.
hadi sasa nishatotoa wanne, mwakani natarajia kuongeza wa 5!!!
Habari za weekend wana jamii? Nna tatizo naomba mnisaidie kwa mawazo, jana nilikua na mpenzi wangu ambaye bado ni bikra na nna uhakika kuwa bado bikra,sasa kilichotokea ni kwamba tulipokua pamoja jana tulifanya romance za kawaida mpaka tukafikia kuvua nguo zote, hatukufanya mapenzi ila nilipiga brash kwenye k yake kwa kutumia umbo** wangu, tatizo lililojitokeza ni kwamba alipofika kwao akaanza kulalamika maumivu na damu zinamtoka na anasema kuwa nimemtoa bikra yake,sasa wanajamii naomba mnisaidie ni kweli bikra yaweza toka kwa dizaini hiyo?msaada tafadhalini,
nipo rafiki. nakutakia mwaka mpya mwema sana rafiki.Kudadadeki,ningeshangaa mtalamu kama wewe usitokee mahali kama hapa,ahsante kwa kuelezea upande wa pili na kuionesha picha ilivyo,mi nilijaribu kufunguka kidogo ila wewe umemaliza kabisa.mambo yako gfsonwin wangu upo???!!
A u serious Ciello??!!
am more than serious!!!
nipo rafiki. nakutakia mwaka mpya mwema sana rafiki.
Dah!!!!!!!!!
Sishangai sana lakini nimestuka kidogo kwa sababu sikutegemea kama unaweza ukawa umewafikisha,kwa sababu the way unavyochangia nilikuwa naamini weye bado kabisa!!!!!!!,poa wangu lakini uwe mkweli usije ukawa unasema hivyo kumbe si kweli unajua tena wanaweza kupatika humuhumu mamii!!!!!!!
ni kweli tunampango wa kutengeneza timu hadi ifikapo 2015....wa huku wengi fekeroooo....wajua bado nautamani usichana ndo mana waona nachangia ka hao!!!