Je, ni kweli mgombea Urais CCM 2025 ni Dr. Bashiru Ally Kakurwa?

Hii hapa?Na ndivo huwa,CV kuu ni Kabila LA mhusika au Kanda,ration si sawa,kidini kikanda kikabila huwa.
Yap hapa ndipo alipokataa wahaya na wachaga maana ndo makabila yaliyokuwa yamepiga hatua miaka Ile kuliko makabila yote.
 
Lazima namsapot kwa msimamo wake na maono , lakin nchi itatawaliwa kwa mara ya kwanza na mpinzani(CUF) Kwa mgongo wa ccm
 
kwa maslahi ya nchi na wananchi, rais anaefata lazima azaliwe na akulie Dar es salaam, tumeshuhudia maraisi au viongozi wanaofanya kazi na maraisi ambao wanatoka nje ya darisalama wana ushamba,ukuja, ujinga ,udini, ukanda, ukisasi,ulimbukeni na unjaa unaopelekea kurudisha nyuma maendeleo ya nchi.
Wazee wa darisalam kwa hili tusaidiane, hii nchi tumeipigania kwa jasho na damu za mababu zetu wa darisalama.
 
Duuuuuhhh
 
Wanaamini kuwa masikini ndio uzalendo, ila wao wakiishi kifalme kibepari hali wananchi wakiishi kimasikini. Ujamaa ni unafiki.Kipank Kim ana ishi kifalme hali watu wake dhoofu hali,hata Nyerere, sokoine, kawawa awakuwahi kupanga foleni kununua bidhaa madukani,kufulia sababu za mipapai,kupigia mswaki majivu, kuogea sabuni za gwanji,kukosa sukari.Nadharia ya ujamaa imekaa kiujanja ujanja hivi.
Ulikuwa ukipanga foleni mwishoni unakuta bidhaa unayoihitaji imeisha.
 
Mwanadamu yeyeto ni mnyonyaji,sie tufanye kazi Kwa bidii Kwa kutumia fursa zilizopo tulizopewa Na MwenyeziMungu kisha eti tugawane sawa Na masikini wasiotaka kufanya kazi,huu si unyonyaji wa kuwanyonya matajiri? Kila mmoja ale Kwa urefu wa kamba yake,
Haya mawazo yako ni ya kigaidi, sio kila maskini ataki kufanya kazi, lazima tuwaangalie kwa upendo nao wapate gawio , unataka mapesa ujaze kwenye account huku wenzako wanakufa njaa haifai
 
Back
Top Bottom