Je, ni kweli mgombea Urais CCM 2025 ni Dr. Bashiru Ally Kakurwa?

Unanilazimisha ulichokiwaza wewe na mimi nikiwaze
Nimeuliza swali, swali haliwezi kuwa kulazimisha.

Inaonekana si tu huelewi, bali pia huelewi huelewi nini na wala hutaki kuelewa huelewi nini.

Sioni tutaendelezaje mjadala.
 
Unapokataa jibu , tafsiri yake wewe umekuja na jibu lako mfukoni, mtu wa namna hii ata umjibu vipi hawezi kukuelewa , kwa sababu ana majibu yake mfukoni
 
Haya mawazo yako ni ya kigaidi, sio kila maskini ataki kufanya kazi, lazima tuwaangalie kwa upendo nao wapate gawio , unataka mapesa ujaze kwenye account huku wenzako wanakufa njaa haifai
Thus ujamaa ubakie kwenye kugawanya huduma za jamii matajiri walipe kodi kubwa ili zitumike kuwasaidia masikini. Mfumo wa kibepari huwa unaweka mazingira sawa ya wote wenye nia ya kupata wapate Kwa bidii yao.
 
Wap hao wana itikadi za kitajiri?
Kaskazini,Kingaboy,Mbeya corridor. Kiongozi wa nchi yafaa awe jasusi wa kiuchumi yaani anukie Pesa ili wananchi wanukie Pesa ili waweze kulipa kodi Na magawio ya nguvu then serikali inakuwa Na Pesa ya kuleta maendeleo Na sio kuomba kuomba hovyo nje.Wafanye watu wako kuwa matajiri jenga schemes za umwagiliaji maeneo yote,fungua mipaka wauze watakapo,toa ruzuku Kwa wakulima,wafugaji,wale elimu ya ufundi bure watu wako,jenga miundombini vijiji vyote vipitike mwaka mzima, jenga masoko Na maghara ili kununua mazao ya wakulima,wafanye wafanyabiashara Na matajiri rafiki zako ili wakuonyeshe Pesa iko wapi,jenga demokrasia ,jenga diplomasia ya kimataifa ili uuzike vyema kimataifa, futa kodi komozi zisizo Na mpango kodi una isingle ina kuwa moja Na sio bidhaa moja aina za kodi mia.Haya yote yataka kiongozi aijuaye Pesa toka utotoni.
 
Mimi ninaweza kukubaliana na hili ukichukulia mtu km majaliwa aiimba tuna imani na mtu fulani. Bashir ni muislamu kama ilivyo kwa majaliwa na sasa ni zamu yao!
 
Kaskazini,Kingaboy,Mbeya corridor. Kiongozi wa nchi yafaa awe jasusi wa kiuchumi yaani anukie Pesa ili wananchi wanukie Pesa ili waweze kulipa kodi Na magawio ya nguvu then serikali inakuwa Na Pesa ya kuleta maendeleo Na sio kuomba kuomba hovyo nje.Wafanye watu wako kuwa matajiri jenga schemes za umwagiliaji maeneo yote,fungua mipaka wauze watakapo,toa ruzuku Kwa wakulima,wafugaji,wale elimu ya ufundi bure watu wako,jenga miundombini vijiji vyote vipitike mwaka mzima, jenga masoko Na maghara ili kununua mazao ya wakulima,wafanye wafanyabiashara Na matajiri rafiki zako ili wakuonyeshe Pesa iko wapi,jenga demokrasia ,jenga diplomasia ya kimataifa ili uuzike vyema kimataifa, futa kodi komozi zisizo Na mpango kodi una isingle ina kuwa moja Na sio bidhaa moja aina za kodi mia.Haya yote yataka kiongozi aijuaye Pesa toka utotoni.
Hiv lowassa si wa kaskazini? Kilichomfanya ajiuzulu ni nini?
 
Nikamwambia ana uhakika gani? Aksema watu wengi ndani ya chama hasa aliowaleta Rais Magufuli wana mitazamo eti kuwa wagombea wengine ni wanyonyaji na wamejaa tamaa ya Mali na hivyo katibu mkuu ni chaguo kwao kwani inaaminika ni MJAMAA zaidi ya Nyerere

Hata Mkaa Hapa aliaminika hivyo lakini ona aliyoyafanya baada ya pale
 
Nchi yetu isiwe sehemu ya watu kujifunzia kuongoza, tunataka dereva mzoefu wa njia, tufike Salama maisha mafupi tukibugi tu imekula kweetu
 
Thus ujamaa ubakie kwenye kugawanya huduma za jamii matajiri walipe kodi kubwa ili zitumike kuwasaidia masikini. Mfumo wa kibepari huwa unaweka mazingira sawa ya wote wenye nia ya kupata wapate Kwa bidii yao.
Matajiri watalipa kodi kubwa halafu bado wataendelea kunyanyasa wafanyakazi kuwalipa pesa ya mbuzi ili kufidia kodi zao, bado tatizo ni kubwa
 
Kaskazini,Kingaboy,Mbeya corridor. Kiongozi wa nchi yafaa awe jasusi wa kiuchumi yaani anukie Pesa ili wananchi wanukie Pesa ili waweze kulipa kodi Na magawio ya nguvu then serikali inakuwa Na Pesa ya kuleta maendeleo Na sio kuomba kuomba hovyo nje.Wafanye watu wako kuwa matajiri jenga schemes za umwagiliaji maeneo yote,fungua mipaka wauze watakapo,toa ruzuku Kwa wakulima,wafugaji,wale elimu ya ufundi bure watu wako,jenga miundombini vijiji vyote vipitike mwaka mzima, jenga masoko Na maghara ili kununua mazao ya wakulima,wafanye wafanyabiashara Na matajiri rafiki zako ili wakuonyeshe Pesa iko wapi,jenga demokrasia ,jenga diplomasia ya kimataifa ili uuzike vyema kimataifa, futa kodi komozi zisizo Na mpango kodi una isingle ina kuwa moja Na sio bidhaa moja aina za kodi mia.Haya yote yataka kiongozi aijuaye Pesa toka utotoni.
Kuyataja ni Rais ila utekelezaji sasa
 
Back
Top Bottom