instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,407
- 14,274
Yule ni muhaya wa kule bk vijijiniYaani tukubali kutawaliwa na wanyarwanda kwa awamu mbili mfululizo?
Yule ni muhaya wa kule bk vijijiniYaani tukubali kutawaliwa na wanyarwanda kwa awamu mbili mfululizo?
Ana asili ya rwanda, hawezi kukuonyesha kaburi la babu yakeYule ni muhaya wa kule bk vijijini
Hadithi yako inatufunza mini?Habari zenu wadau wa JF siasa.
Niende madani hapo juu.
Jana nilikaa na kufanya maongezi hapa na pale na kada mzoefu ndani ya CCM. Moja ya jambo la kushangaza aliloniambia ni kuwa Magufuli akimaliza muda wake 2025, hawa tunawadhania kuwa wagombea urais hawatagombea.
Nikamuuliza kulikoni? Akasema watajitokeza hao na wengine wengi na watavunja rekodi hata kufika 100 ila mgombea urais CCM 2025 ni Katibu Mkuu wa sasa Dr Bashiru Ally Kakurwa.
Nikamwambia ana uhakika gani? Aksema watu wengi ndani ya chama hasa aliowaleta Rais Magufuli wana mitazamo eti kuwa wagombea wengine ni wanyonyaji na wamejaa tamaa ya Mali na hivyo katibu mkuu ni chaguo kwao kwani inaaminika ni MJAMAA zaidi ya Nyerere.
Kutokana na kuonekana mjamaa anaaminika kuikomboa nchi.
Nikamuuliza mbona siasa za ujamaa za Mwalimu zimetuacha makapuku Bashiru naye si atatupeleka huko? Akadai siasa za Nyerere ni nzuri ila vita vya Addi Amin au vita vya Kagera 1978 hadi 1979 ndizo zilivuruga na kuharibu maendeleo ya uchumi uliojengwa kijamaa.
Baada ya hapo nikamuuliza kivipi? Akasema vile vita licha ya kugharimu roho za watu pia ziliigharimu Tanzania US dollars million 500 kipindi hicho.
Nilichoka nikaondoka zangu na siamini kama hili litatokea. Kwanza Siasa za nchi hii hazitabiriki na huenda 2025 Dr Bashiru atakuwa chuoni akifundisha na Katibu Mkuu ni Mwananzengo Fulani.
Itikadi ya kijamaa ni ya kimasikiniHatuwezi kukubali tena Nchi hii kuongozwa na watu wenye akili za kimaskini ( KIJAMAA)! Tumefanya kosa moja basi!
Mleta uzi,utakuwa mvivu,mzururaji na mzembe,unaongeleaje mambo ya 2025 ,umemaliza ya 2020?
Unauelewa mdogo kuhusu siasa. Jitahidi utafute uelewa zaidi kuhusu siasa.Ahaaaa Watanzania bwana badala ya kuwaza mambo muhimu kwa maisha yao na familia zao wao siasa siasa siasa tu.
Hauna cha kufanya utahuzunika maisha yataendeleaYaani tukubali kutawaliwa na wanyarwanda kwa awamu mbili mfululizo?
China imefanikiwa sanaUnaweza kutoa mfano wa sehemu yoyote duniani iliyofanikiwa kwa kufuata mfumo huu?
China hawafuati usoshalisti.China imefanikiwa sana
Ata mimi nina Asili ya South Africa , lakini ni Mngoni , mkuu kukosa asili hilo ni kosa kubwa kwakoAna asili ya rwanda, hawezi kukuonyesha kaburi la babu yake
Wanafata usoshalisti mzee hilo aliitaji mjadala mrefu labda uniambie sio kwa asilimia 100, mafanikio ni kuboresha hali za watu wako katika nyanja zoteChina hawafuati usoshalisti.
Na sielewi "kufanikiwa" unakupima vipi.
Muhaya atakuwaje Rais?
Si walishapigwa vita na Tangu Nyerere
Sina hakika hata kama maana ya usoshalisti unaelewa, unaelewa tofauti za usoshalisti na ukomunisti, na kwamba China hakuna hata chama cha usoshalisti.Wanafata usoshalisti mzee hilo aliitaji mjadala mrefu labda uniambie sio kwa asilimia 100, mafanikio ni kuboresha hali za watu wako katika nyanja zote
Kanda ya ziwa again no wana itikadi za umasikin,Huwezi to a njaa ukaweka njaa againHaijalishi awe kabila gani, almuhim awe Muislamu.
Viongozi waliokulia kwenye dhiki awafai huleta dhiki Kwa wananchi, copy Na pasteKilichotukwamisha mpaka sasa ni ufisadi na sera mbovu za ubinafsishaji na za uchumi chini ya chama kilichotawala mpaka sasa
Maaandamano yapo dunia nzima sio china tu , serikali ina jukumu la kufanya maamuzi kwa maslahi mapana , sio kila anaendamana lazima atimiziwe hitaji lake ata kama halina faida kwa ustawi wa nchi , huwezi Pinga maendeleo ya china eti kisa kuna kikundi cha watu kinaandama, Serikali ya china ipo wazi yeyote atakae fanya kosa sheria itoe mwanya kuwa anaweza shtakiwa ata Beijing , hiki wa Hong Kong hawakitaki , serikali imewapuuza kwa sababu hoja zao ni mufilisi, kuhusu, kuhusu usoshalisti nimekwambia Mchina anahuishi huuSina hakika hata kama maana ya usoshalisti unaelewa, unaelewa tofauti za usoshalisti na ukomunisti, na kwamba China hakuna hata chama cha usoshalisti.
Na "kuboresha hali za watu katika nyanja zote" is rather vague.
China watu hawana uhuru hata wa kujieleza tu. Leo hii watu wamevamia bunge Hong Kong wanapinga kuendeshwa msukule na serikali.
Sasa unapoandika China wana maendeleo kwa minajili ya "kuboresha hali za watu katika nyanja zote", hao wanaoandamana Hong Kong wanaandamana kwa sababu gani? Mchina hata kwenda kuishi Beijing nchini mwake mwenyewe anahitaji visa. Sasa hayo maendeleo gani?
Habari zenu wadau wa JF siasa.