Je, ni kweli mgombea Urais CCM 2025 ni Dr. Bashiru Ally Kakurwa?

Maaandamano yapo dunia nzima sio china tu , serikali ina jukumu la kufanya maamuzi kwa maslahi mapana , sio kila anaendamana lazima atimiziwe hitaji lake ata kama halina faida kwa ustawi wa nchi , huwezi Pinga maendeleo ya china eti kisa kuna kikundi cha watu kinaandama, Serikali ya china ipo wazi yeyote atakae fanya kosa sheria itoe mwanya kuwa anaweza shtakiwa ata Beijing , hiki wa Hong Kong hawakitaki , serikali imewapuuza kwa sababu hoja zao ni mufilisi, kuhusu, kuhusu usoshalisti nimekwambia Mchina anahuishi huu
Umeruka suala la usoshalisti na ukomunisti.

Hujui tofauti.
 
Ni kweli.

Zaidi, Nyerere alipinga ukabila.

Kuna hotuba nyingi alikemea ukabila.

Kuna moja alisema kabisa kwamba mtu hatakiwi kukataliwa urais hata kama ana sifa kwa sababu tu ni Mkara.

Nikataka kujua hao Wakara ni watu gani? Nikaambiwa ni kabila la kanda ya ziwa linalodharaulika sana.

Kwa hiyo Nyerere alikemea ukabila na alijenga umoja wa kitaifa hata kabla ya uhuru. Kwa kweli umoja wa kitaifa ulikuwa ni moja ya masharti ya Tanganyika kupewa uhuru. Nyerere kaacha hotuba na maandishi mengi yanayokemea ukabila.

Nyerere ana makosa yake, lakini hili la kupanda mbegu za ukabila sioni kama ni kosa alilofanya Nyerere. Ukweli ni kwamba Nyerere amefanya kazi kubwa sana kujenga umoja wa kitaifa. Kwenye hili nitamtetea sana tu. Wasiojua historia wasiipindishe kwa kukosa umakini kwao.

Watu wanaofuatilia wanajua hili.

Ona Wakenya wamelitaja.

Alitahadharisha lkn
 
Attachments

  • Screenshot_2019-05-24-19-15-19.png
    Screenshot_2019-05-24-19-15-19.png
    514.6 KB · Views: 13
Hakuna ushahidi wa maandishi, video au sauti kuwa Nyerere aliwahi kukataa baadhi ya makabila. Huu ni mkakati wa wenye chuki na jamii hizo kuwakatisha tamaa.
Hii hapa?Na ndivo huwa,CV kuu ni Kabila LA mhusika au Kanda,ration si sawa,kidini kikanda kikabila huwa.
 
Attachments

  • Screenshot_2019-05-24-19-15-19.png
    Screenshot_2019-05-24-19-15-19.png
    514.6 KB · Views: 11
Kada anadai Dr Bashiru ataiongoza nchi kwa scientific socialism yaani ujamaa wa kisayansi

Dunia imemove kwenye private sector zicompete,ujamaa ni ujamaa tu.Ni makosa makubwa sana nchi kuongozwa Na mawazo ya MTU mmoja.
 
Umeruka suala la usoshalisti na ukomunisti.

Hujui tofauti.
Wote hawa lengo lao ni kuweka usawa(equality) na kuondoa madaraja(classless) , hawa wanakwenda pamoja tofauti ipo ata mapacha wakufanana wanatofauti , na ndio maana wote wanapinga ubepari
 
Ujamaa haukufanikiwa popote. China, Russia, Cuba nk walishindwa. Mimi pia siupendi ujamaa maana ni kugawana umasikini badala ya Mali
Wanaamini kuwa masikini ndio uzalendo, ila wao wakiishi kifalme kibepari hali wananchi wakiishi kimasikini. Ujamaa ni unafiki.Kipank Kim ana ishi kifalme hali watu wake dhoofu hali,hata Nyerere, sokoine, kawawa awakuwahi kupanga foleni kununua bidhaa madukani,kufulia sababu za mipapai,kupigia mswaki majivu, kuogea sabuni za gwanji,kukosa sukari.Nadharia ya ujamaa imekaa kiujanja ujanja hivi.
 
Wote hawa lengo lao ni kuweka usawa(equality) na kuondoa madaraja(classless) , hawa wanakwenda pamoja tofauti ipo ata mapacha wakufanana wanatofauti , na ndio maana wote wanapinga ubepari
Sijaongelea lengo.

Hata Wakristo na Waislam wana kengo la kwenda mbinguni, lakini hilo galimaanishi Ukristo na Uislamu ni dini moja.

Kama huelewi kwamba usoshalisti na ukonunisti ni vitu tofauti, huelewi unazungumzia nini hapa.

Na kuhusu usawa, China ina matajiri wakubwa sana wachache, mabilionea, na masikini wengi sana.

Na tofauti kati ya masikini na matajiri inazidi. China inaenda kwenye soko huria zaidi.

Sasa kama nchi haijaweza kufikia lengo lake la usawa, utasemaje imefanikiwa?
 
Hii hapa?Na ndivo huwa,CV kuu ni Kabila LA mhusika au Kanda,ration si sawa,kidini kikanda kikabila huwa.
Unaweza kutoa source ya uhakika kuthibitisha Nyerere alisema haya na si wahuni tu wamempachikia?

Aliyasema wapi? Lini?

Siku hizi mtu yeyote anaweza kuandika maneno yoyote na kuweka picha ya Nyerere kuwa kasema.

Hilo halimaanishi Nyerere alisema hayo.

Tupe source.
 
Wote hawa lengo lao ni kuweka usawa(equality) na kuondoa madaraja(classless) , hawa wanakwenda pamoja tofauti ipo ata mapacha wakufanana wanatofauti , na ndio maana wote wanapinga ubepari
Usawa hauwezekani Kwa jamii ya wanadamu. Watu wawe huru wajilimbizie watakavo Kwa njia yeyeto ile halali au haramu kazi ya serikali ni kutoza kodi kubwa sana Kwa wenye Mali,kisha yenyewe ndo igawe Kwa usawa.Ujamaa ubakie kwenye ugawaji Na utoaji wa huduma tu.
 
Sijaongelea lengo.

Hata Wakristo na Waislam wana kengo la kwenda mbinguni, lakini hilo galimaanishi Ukristo na Uislamu ni dini moja.

Kama huelewi kwamba usoshalisti na ukonunisti ni vitu tofauti, huelewi unazungumzia nini hapa.

Na kuhusu usawa, China ina matajiri wakubwa sana wachache, mabilionea, na masikini wengi sana.

Na tofauti kati ya masikini na matajiri inazidi. China inaenda kwenye soko huria zaidi.

Sasa kama nchi haijaweza kufikia lengo lake la usawa, utasemaje imefanikiwa?

Masikini awaepukiki dunia nzima hata ugawe fedha sawa Kwa wote.Maana umasikini ni tabia,Na utajiri ni hulka pia.Na si kila MTU uwaza au uutaka utajiri ,Na utajiri una tafsiri tofauti kulingana Na itikadi za MTU.
 
Kwa hiyo usoshalisti ni biashara kichaa?
 
Bora USIHAMINI
Habari zenu wadau wa JF siasa.

Niende madani hapo juu.
Jana nilikaa na kufanya maongezi hapa na pale na kada mzoefu ndani ya CCM. Moja ya jambo la kushangaza aliloniambia ni kuwa Magufuli akimaliza muda wake 2025, hawa tunawadhania kuwa wagombea urais hawatagombea.

Nikamuuliza kulikoni? Akasema watajitokeza hao na wengine wengi na watavunja rekodi hata kufika 100 ila mgombea urais CCM 2025 ni Katibu Mkuu wa sasa Dr Bashiru Ally Kakurwa.

Nikamwambia ana uhakika gani? Aksema watu wengi ndani ya chama hasa aliowaleta Rais Magufuli wana mitazamo eti kuwa wagombea wengine ni wanyonyaji na wamejaa tamaa ya Mali na hivyo katibu mkuu ni chaguo kwao kwani inaaminika ni MJAMAA zaidi ya Nyerere.

Kutokana na kuonekana mjamaa anaaminika kuikomboa nchi.
Nikamuuliza mbona siasa za ujamaa za Mwalimu zimetuacha makapuku Bashiru naye si atatupeleka huko? Akadai siasa za Nyerere ni nzuri ila vita vya Addi Amin au vita vya Kagera 1978 hadi 1979 ndizo zilivuruga na kuharibu maendeleo ya uchumi uliojengwa kijamaa.

Baada ya hapo nikamuuliza kivipi? Akasema vile vita licha ya kugharimu roho za watu pia ziliigharimu Tanzania US dollars million 500 kipindi hicho.

Nilichoka nikaondoka zangu na siamini kama hili litatokea. Kwanza Siasa za nchi hii hazitabiriki na huenda 2025 Dr Bashiru atakuwa chuoni akifundisha na Katibu Mkuu ni Mwananzengo Fulani.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Sijaongelea lengo.

Hata Wakristo na Waislam wana kengo la kwenda mbinguni, lakini hilo galimaanishi Ukristo na Uislamu ni dini moja.

Kama huelewi kwamba usoshalisti na ukonunisti ni vitu tofauti, huelewi unazungumzia nini hapa.

Na kuhusu usawa, China ina matajiri wakubwa sana wachache, mabilionea, na masikini wengi sana.

Na tofauti kati ya masikini na matajiri inazidi. China inaenda kwenye soko huria zaidi.

Sasa kama nchi haijaweza kufikia lengo lake la usawa, utasemaje imefanikiwa?
Ni kweli dini tofauti sasa inakuaje Mungu wa waislamu anawaambia kama mna mashaka na jambo fulani basi wawaulize wakristo ?tafsiri yake ukristo unajitosheleza zaidi kuliko uislamu , nje ya ukristo na uislamu ni upotevu zaidi hivyo hivyo usoshalisti unajitosheleza zaidi kuliko ukomunisti , nje ya usoshalisti na ukomunisti ni upotevu zaidi , sijajua wewe mafanikio yako unayatafasiri vip , huko walikotoka na walipo sasa wachina wamefanikiwa kuliendea lengo , ata hizo unazosikia nchi tajiri lakini masikini wapo na wanataabika, kutoka walipotoka mpaka kufikia kuwa nchi ya pili duniani kwa uchumi mkubwa kama kwako sio miongoni mwa mafanikio hilo litakuwa tatizo lako hakuna wakukuondolea tatizo hilo, kuhusu Usoshalisti na ukomonisti hili liko wazi , usoshalisti una mawazo mawili makuu, 1.jamii ndio wamiliki wa mambo yote ya kiuzalishaji 2.SERIKALI ndio mmiliki na muendeshaji wa mambo ya uzalishaji , na hiki ndicho china inavyofanya , yaani ameamua kuchagua no 2 yaani Serikali inamiliki vitu vingi vya kiuzalishaji kuliko taaasisi au mtu yeyote, ukomunisti ni mtoto wa usosholisti , watu wa usawa katika jamii na hili litatokea tu siku moja
 
Usawa hauwezekani Kwa jamii ya wanadamu. Watu wawe huru wajilimbizie watakavo Kwa njia yeyeto ile halali au haramu kazi ya serikali ni kutoza kodi kubwa sana Kwa wenye Mali,kisha yenyewe ndo igawe Kwa usawa.Ujamaa ubakie kwenye ugawaji Na utoaji wa huduma tu.
acha watu waupambanie , hakuna kisichowezekana tatizo mnataka itokee kwa mara moja tu, hapana mambo ni taratibu changamoto ni nyingi ila tutafika
 
Haya ni mawazo ya mabeberu na wanyonyaji
Mwanadamu yeyeto ni mnyonyaji,sie tufanye kazi Kwa bidii Kwa kutumia fursa zilizopo tulizopewa Na MwenyeziMungu kisha eti tugawane sawa Na masikini wasiotaka kufanya kazi,huu si unyonyaji wa kuwanyonya matajiri? Kila mmoja ale Kwa urefu wa kamba yake,
 
Back
Top Bottom