Je, ni kweli mgombea Urais CCM 2025 ni Dr. Bashiru Ally Kakurwa?

nasikia ana wanafunzi wake anawasimamia dessertion za masters hawajagradute mpaka leo kisa hana muda wa kusaisha kazi zao na hataki kuwakabidhi kwa mtu mwingine hii inaonesha bado anapapenda udsm ili aweze kukimbilia huko mambo yakiharibika
Hii ni komoa Sasa. Kiongozi mbinafsi hadi kukabidhi wanafunzi.
 
nasikia ana wanafunzi wake anawasimamia dessertion za masters hawajagradute mpaka leo kisa hana muda wa kusaisha kazi zao na hataki kuwakabidhi kwa mtu mwingine hii inaonesha bado anapapenda udsm ili aweze kukimbilia huko mambo yakiharibika
Awatendee haki kwa kuwapa taaluma yao. Kumbe Kuna mengi tusiyoyajua?
 
Back
Top Bottom