Je, ni kweli Group O+ hatuwezi kupata UKIMWI?

samakiurembo

JF-Expert Member
Dec 8, 2021
445
684
Habari wakuu nipo kwenye tafiti kuhusu group o la damu je ni kweli group hili haliwez li kupata ukimwi?

Utafit wangu nawauliza madoctor kama sita sasa lakin wao wao wanasema hawajapata kesi ya group O HIV postive.

Je, kuna group o yoyote alieathirika humu au ndugu yako?

Dhumuni la utafit huu ni kutokana na hoja kua group o ni group la dam ambalo halipoke ant gen yoyote kutoka group lingine hata damu ya group lingine kwenye group o haitajiki kabisa na group o ni kund ambalo halishambuliw na virus isipokua bacteria na hivyo virus wakfika hapa wanakua hawana nafas kwa sababu hawatakiwi wanatoka kama waste material.
 
Habari wakuu nipo kwenye tafiti kuhusu group o la damu je ni kweli group hili haliwez li kupata ukimwi?

Utafit wangu nawauliza madoctor kama sita sasa lakin wao wao wanasema hawajapata kesi ya group O HIV postive.

Je, kuna group o yoyote alieathirika humu au ndugu yako?
Hao unaowaita madoctor wote ni viazi mbatata.
 
Mm sijawah kujua group langu la damu ila nilikaa wiki 1 Dom na wiki 1 arusha kila siku nilikuwa nalala na malaya situmii ndomu nafika dar nakutana na demu namega tu akapima hana huyo demu wangu anamazoea ya kupma lkn mm ubishi tu Nina kama miez 8 lkn yy akipima yupo fresh tu mm naogopa kupima Nyie nilipimaga mara moja tu tena sababu ya kazi
 
Habari wakuu nipo kwenye tafiti kuhusu group o la damu je ni kweli group hili haliwez li kupata ukimwi?

Utafit wangu nawauliza madoctor kama sita sasa lakin wao wao wanasema hawajapata kesi ya group O HIV postive.

Je, kuna group o yoyote alieathirika humu au ndugu yako?
Wewe group lako ni lipi mkuu?

Kama ungekuwa na O+ wala uaingehangaika na madaktari. Ungegonga tu wenye Ukimwi kisha kuleta mrejesho hapa ikiwa ni kweli ama la. Hiyo uliza uliza sio utafiti huo.
 
Back
Top Bottom