Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,742
- 3,319
Dah me mwenyewe nna vidonda tumbo nna group Oni kweli mkuu watu wa hili group wana magonjwa yao mengine kama vile vidonda vya tumbo nk ila sio ukimwi kwahiyo wewe endelea kula tunda za mabarmaid kimasihala
Vinanipeleka vibaya mno sijapata tiba
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app