samakiurembo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 445
- 685
Habari wakuu nipo kwenye tafiti kuhusu group o la damu je ni kweli group hili haliwez li kupata ukimwi?
Utafit wangu nawauliza madoctor kama sita sasa lakin wao wao wanasema hawajapata kesi ya group O HIV postive.
Je, kuna group o yoyote alieathirika humu au ndugu yako?
Dhumuni la utafit huu ni kutokana na hoja kua group o ni group la dam ambalo halipoke ant gen yoyote kutoka group lingine hata damu ya group lingine kwenye group o haitajiki kabisa na group o ni kund ambalo halishambuliw na virus isipokua bacteria na hivyo virus wakfika hapa wanakua hawana nafas kwa sababu hawatakiwi wanatoka kama waste material.