Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 5,600
- 9,559
Magroup ya damu hayahisiani kabisa na Kinga za mwili japo wadau wa mtaani huzusha kua baadh ya magroup ni rahis sana kupata maambukiz na baadhi hua ngum sana kupata maambukiz, kuanzia Leo FUTA kabisa Mentality Hio.
Group O ndio group lenye watu wengi duniani kuliko magroup mengi, na waathirika wengi wa ukimwi ni group O kwa takwimu za AGPAH n MDH Tanzania,
Kinga za mwili kwa magroup zote zipo sawa, japo kinacho fanya had watu wengi wanakua na mentally hio ni hawajui kua vwango vya damu na uzalishaji wa damu hutofautiana sana kat ya group moja na linginine,
Kwa group O wengi damu hua ni yakutosha kwa sababu erthropoiten huzalishwa kwa wingi sana endapo mtu Hana magonjwa ya mifupa na antagonist desease zitakazo zuia uzalishaji huo,so damu kwa mtu mwenye group O hua ana damu nyngi, hii husaidia hata mtu akipata maambukiz yote Yale hua mwili unaficha uhakisia had tatizo litakapo kua sugu , Na huu ndo utafauti TU wa group O, "
"kwa magroup mengne Wacha tuyaache kwa Leo pata Hilo SoMo"". Mr kenice