TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 8,859
- 23,119
Hata mtu wa kwanza kupata degree alipewa na mtu ambaye hakuwa na degree
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafikirisha hii.. aiseeHata mtu wa kwanza kupata degree alipewa na mtu ambaye hakuwa na degree
Sent using Jamii Forums mobile app
suala LA IQ Naona ni imani tu hakuna ktu kama hchi. Wanafunzi kutofautiana max class hawez measure chochote about someone's mental abilityNdio hapo utata unapokuja sasa. Era tuliyonayo imerelax sana. Tupo ktk comfort zone ambayo mwisho wake sio mzuri.
Mzungu na race kadhaa za dunia hii ndio pekee waliobaki wanaishi ktk reality kwa kias kikubwa. Wanashughulisha bongo zao kuzidi kugundua vitu vipya kila siku. They are producers.
Waafrika kwa asilimia kubwa tupo vifungoni. We are living just for surviving. Na hata mm na ww ambao tuna think out of the box tukisema tutoke out of this zone itahitajika nguvu ya ziada sabab tupo kifungoni.
IQ ni kweli tumetofautiana. Ndio mana hata darasani huwa hatupati maksi sawa wote.
Sasa kipimo kipi ndio bora zaid kweny kumeasure mental ability?suala LA IQ Naona ni imani tu hakuna ktu kama hchi. Wanafunzi kutofautiana max class hawez measure chochote about someone's mental ability
hakuna kipimo kunachoweza kutofautisha... ila pale inapokua abnormal sana ndo twajakuwatambua watu waliochanganyikiwa na kadhalika... perfomance darasa iko influenced na vtu vngi sana.Sasa kipimo kipi ndio bora zaid kweny kumeasure mental ability?
Kiukweli sometimes hili linafikirisha mno mkuu!! Sidhani kama nina fikra hata nusu theruthi ya da vinci...Dr Norman Vincent Peal outher wa kitabu kiitwacho The power of positive think anasema kuwa ikitokea binadamu akatumia akili yake kwa kufikia 50% angeweza kuujenga mji wa New York kwa siku 1.
Hii inaonyesha kwamba binadamu wengi bongo zetu ni new brand yaani hazijatumika kabisa. Watu wa aina ya Eistern, Newton, Kina Da Vinci ndio watu wanaoonekana kutumia akili nyingi sababu mambo waliyofanya yanaonekana. Na hii imewasaidia maana wao waliyaweka kwenye maandishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio story zenu wazee mnawadanganya watoto...Hii imenikumbusha kichekesho kimoja kama sio ukweli.
Kwamba kulikuwa na vichwa 3 vimewekwa chumba cha maonyesho kimoja cha mzungu kingine kutoka Asia na kingine kutoka Africa. Kichwa cha mzungu hakikuwa na ubongo kabisa kile cha Masia ubongo ulikuwa robo na kile cha Mwafrika ubongo ulikuwa kama alivyozaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app