Je, ni kweli binadamu tunatumia asilimia 10 ya uwezo wa ubongo, na nini kitatokea kama tutatumia asilimia 100 ya uwezo huo?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,375
2,000
is (2).jpg
SALUTE COMRADES
Miaka mingi kumekua na nadharia inayosema kua binaadamu tunatumia asilimia 10% tu ya ubongo wetu katika mambo yote tunayofanya, gunduzi zote za kiteknolojia na kisayansi, kufikiria na kufanya maamuzi kwenye vitu vigumu na mambo kadhalika ni asilimia 10% tu ndio metumika!wengine wanasema Albert Enstein alitumia 13% ya ubongo wake. Kama kwa maendeleo yote haya tumetumia asilimia kumi imagine tukiweza tumia 100% ya akili zetu

Muvi mbalimbali kama LUCY aliyocheza mwigizaji scarlet Johnson ilizidi kupigilia msumali nadharia hii kwa kuonyesha jinsi ambavyo huyo bnti Lucy alivyokula madawa ambayo yalimfanya kuweza kua na uwezo wa kutumia akili yake kwa asilimia 100% ambapo alianza kuweza kusafiri katika muda kwa akili (Mind Time Travelling), aliweza kukontroo magari kwa akili,aliweza kutumia kioo cha gari kama computer, aliweza kujifunza kichina ndani ya sekundi na mengine meengiii. Pia muvi mbalimbali kama Limitless ya Bradley Cooper, Define your life, flight of the navigator na kadharika zimeelezea nadhalia hii ya 10% of Brain.

Inasemekana kua nadharia hii ilisambazwa na mwandishi wa habari aitwae Lowell Thomas kwa kutumia kitabu chake kiichoitwa How to win friends and influence peoples ambapo alimnukuu vibaya mwanasaikolojia William James ambapo aliwahi kusema “average person specifically develops only 10% percent of his/her latent ability” ambapo kiuhalisia James alikua amezungumzia “our latent mental energy” lakini pia inaonekana kua nadharia hii pia ilichagizwa pia kuenea na mtalamu wa ubongo (Neurosurgeon) Wilder Penfield ambapo aligundua silent cotex mnamo mwaka 1930’s ambapo alisema kua silent cotex haina kazi kwenye ubongo mpaka ishituliwe na na umeme lakini kiuhalisia hiyo sehemu siku hizi imegundulika kua inafanya kazi.

Wanasayansi wengi wanasema kua nadharia hii ni uongo! Bnaadamu wote tunatumi 100% ya ubongo wetu, vifaa vya kisasa kama brain scanning vinaonyesha ubongo wetu unafanya kazimuda wote kwa kupitia viungo vyote hata tukiwa tumepumzika zipo tafiti nyingi zimefanywa zinaonyesha kua binaadamu tunatumia 100% ya ubongo wetu.

Kwenu GreatThinker je mna maoni gani juu ya hili? Ni kweli tunatumia 10% kwa mnavyodhani na kama tunatumia 10% ya uwezo wa ubongo wetu nini kitatokea kama tutaweza kutumia 100% ya uwezo wa ubongo wetu??

Tchao..

~Da’Vinci..
 
Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
1,283
2,000
View attachment 1018243

Duuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,359
2,000
Watu tunasema kuwa upo covered na Artificial Intelligence ( AI) halafu tunakataaa....Hapo ndo unapaswa uelewe kuwa something abnormal operating our mind ....

Unavyoshangaaa na wengine tunashangaaa hivo hivo lakini nani analeta technolojia ikiwa binadamu wote tunashangaaa...?? so somebody is controlling our mind...kataaa but that's is the reality....our intelligence has nothing to solve paranormal events....
Bro hivi nini maana ya A.I na hiyo A.I inakaa sehemu gani!?.. Ina maana hatuna free will!?..
Nielekeze taratiibu natokea simiyu!.
 
lifecoded

JF-Expert Member
May 9, 2018
1,381
2,000
Bro hivi nini maana ya A.I na hiyo A.I inakaa sehemu gani!?.. Ina maana hatuna free will!?..
Nielekeze taratiibu natokea simiyu!.
Artificial Intelligence ni maarifa elekezi kwa mwanadamu.....ni ujuzi ambao mwanadamu huacha kutumia free will na kuitegemea yenyewe kama mwongozo wa kufikiri na kumpa majawabu sahihi....ni mwongozo ambao ubongo wa mwanadamu huitumia ili kurahisisha jambo katika kufikiri....

Ni maarifa elekezeji juu ya nini akili ya mwanadamu inavyofanya kazi katika nyanja zoye za ufahamu...

Ni maarifa elekezi juu ya nini kinafuata baada ya time space collapse....

Time space ni mfumo ambao huweka ulinganifu wa ujuzi katika ufahamu wa mwanadamu....

Time space ni muunganiko wa sehemu tupu na muonekana wa kity katika dimension tatu, na tunaitumia katika kupima mwendo wa jambo katika ufahamu wa mwandamu...

Mwanadamu huwaza jambo kwa kutumia time space tool...

Ili jambo litendeke ,kipimo sahihi ni time space( muda katika utupu pamoja na kufafsiri katika urefu,upana na kimo)

Ili utambue kuwa kile unachokiona pale pembeni ni gari basi ufahamu lazima utoke kwenye ubongo na kipimo cha ufahamu ni time space iliyopo...ikiwa kitu utashindwa kukifahamu basi time space yako itakuwa imecollapse na ndo mana utakuwa unajiuliza kile ni kitu gani...ila kama time space itajiweka katika 3D haraka ndo utaweza kukijua kwamba hicho ni kitu gani...tofauti na hapo hutaweza kujua na hapo ndo tunasema ufahamu wako umekuja...so ufahamu wako upo katika time space( space time) continuum ....

Sasa nini kazi ya Artificial Intelligence katika kuleta ufahamu tofauti juu ya jambo unaliliona...??Ni kwamba ili uweze kukijua kitu au kulielewa jambo ni lazima ubongo wako ulitafsiri katika 3 dimension range ,tofauti na hapo hutaweza...At least one component in 3D should be known by your brain juu ya kitu flani ndo utaweza pata ufahamu...kwa hiyo ufahamu wetu unakuja baada ya kile kitu kufanyiwa interpretation katika 3D na kuendelea...

Artifial Intelligence ni uelekezi mdadala wa kutambua 3D ya vitu ambavyo macho yako pamoja na milango yako ya fahamu ambayo hupeleka taarifa kwenye ubongo.

..So Milango yako ya fahamu haitakuwa inatumia nguvu tena kupeleka taarifa kwenye ubongo wako hivyo Artificial Intelligence itakuwa inakurahiisishia,yani badala ya jicho lako lipeleke taarifa ,na kisha ubongo kutumia sekunde kadhaa kufanya utafsiri katika 3D inakuwa inadelay kidogo na hapo ndipo Artificial intelligence inamsaidia bwana ubongo kutafsiri huo muonekano na kutoa jibu haraka zaidi...kwa hiyo unajikuta Neuronal firing rate katika cognitive center ya ubongo inakuwa inapungua kadri siku zinazozid kwenda kwani ile speed ya kuprocess interpretaion ya kitu katika 3D inakuwa inachelewa....ni kama mtu kuzoea jambo flani kufanyiwa na mwenzie kwa hiyo akili inakuwa domant zaidi...

Kwa hiyo Maarifa elekezi na ujuzi wa kufanya utambuzi wa jambo ,sauti,mwonekano,hisia katika mfumo wa 3D ili kupata interpretation sahihi...bila taarifa kusomwa katika 3D hutaweza kupata ufahamu juu yake....ni lazima taarifa zitumwe kwenye ubongo wako katika mfumo wa 3D ndo ubongo wako utatafsiri kuwa kile ni kitu flani ..

Ndo mana kama kitu hujakiona vizuri utakuwa unashindwa kukijua mpaka pale mtu anakuwa anakigeuza geuza katika mfumo wa urefu ,upana na kimo ( 3D) ndo utaweza kupata uelewa juu ya kile kitu.

Hutaweza kupata uelewa au ufahamu kama ubongo wako utashindwa kutoa tafsiri katika 3D....

So AI ni utambuzi elekezi ambao umewekwa kwenye vifaaa ili uweze kufanya tafsiri ya vitu kaviona katika 3D kwa haraka zaidi kuliko ubongo wako...

Ni njia mbadala ambayo yeyenyewe huona na kuhisi mazingira uliopo kisha kuyasoma katika 3D kwa haraka zaidi huku ubongo wako ukiendelea kupokea taarifa yako kwenye milango yako ya fahamu ila tayari jibu linakuwa limetolewa na ule mfumo elekezi mwingine( AI).

So machine ndo zimebeba ufahamu elekezi kwa kiwango kikubwa sana...

Unajikuta ubongo wako unawaza kuwa nitafanyaje hapa ili niweze kutatua hili tatizo, manake ubongo wako unatafuta solution katika 3D lakini mashine tayari inakuwa ishasoma mazingira kisha kukwambia kuwa hili jambo linasoviwa katika 3D hii hapa na option zake ni hizi hapa..

Ndivyo ubongo wetu unavozidi kusease na kuitegemea akili mbadala elekezi juu ya jambo flani hatimae neurone zinazeeka mapema kwani zinatakiwa kuwa active muda wote...

Ndo manaa tunasema kuwa, kwa mtu ambaye kazoea kutumia akili zake muda mwingi ,neurone za ubongo wake zinakuwa overactive sana na kufanya tafsiri katika 3D ya jambo inafanyika kwa haraka zaidi kisha ufahamu unasomwa kwenye cognition center ya ubongo kwa haraka zaidi..kadri ubongo unavyozidi kuwa lazy ndipo ufahamu unazidi kuwa mbali juu ya jambo ambalo milango yako ya fahamu itakuwa inapeleka kufanyiwa uchunguzi kwenye ubongo...

Mashine zimebeba ujuzi elekezi katika kusoma vitu katika 3D kwa haraka zaidi huku gape la time space likiwa linazidi kuwa dogo zaidi...

Ukiwa kwenye time space kubwa ,3D hupungua nayo,, kwa hiyo time space ina affect ufahamu kwa haraka zaidi na Illusion tunawekewa kwenye time space na kama hutaweza kutofautisha which is real katika time space basi hutaweza kusoma 3D ambayo ni sahihi katika mazingira ya kawaida....

So illusion is within time space and not other wise...

Sent using Nokia 8 Plus
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
10,980
2,000
Hapa nataka kujifunza kitu. Kabla sijaenda mbali katika hili,naomba nijibiwe maswali haya.

1. Akili ni nini ?
2. Akili ina kaa wapi ?
3. Je akili pekee inatosha kutumika kupata maarifa ?

Nikijibiwa maswali haya nitaendelea hapa nilipo ishia.
akili ni ule uwezo wa ubongo kuweza kufanya kazi yani kutafakari,kumbukumbu n.k huo uwezo ndio akili kwa namna nyengine ni zile kazi za ubongo.
Akili inapatikana kwenye ubongo na ni kitu cha kufikirika sio unaweza kukishika ila utaweza kushika matokeo yake hapa namaanisha mtu kama kafanya ubunifu fulani ama katengeneza sanamu hilo lilikuwa ni wazo akalibadisha nakulileta kuwa kitu hivyo kinashikika ama kuonekana n.k hivyo ndivyo akili inavyoonekana.
Hilo latatu kama sijalielewa vizuri jaribu kulielezea kidogo
 
Kiukweli jamaa hua ni mbishi tu in nature ndio maana sikutaka kujibu maswali yake...ukizingatia na usiku usingiziii.
Subiri maswali yake sasa.
Ila Ahsante kwa kunijibia

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
lifecoded

JF-Expert Member
May 9, 2018
1,381
2,000
View attachment 1020474

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Lucy ni bonge la movie aise...ina ujumbe mzito ndani...

Pale mwishoni yule dada anapata conciousness 100% anabadilika na kuwa pure energy that is everywhere....

Ila anabadilika anakuwa kama ka flash kadogo...means maelezo yote jinsi alivyokuwa from 10% to 100% yamo ndani ya kale kaflash ambako bwana Morgan Freeman anakachukua kwa ajili ya kupata maelezo zaidi how we can turn into.

So what was the message bahind the tin flash ....?

Ni kwamba everything is informations...information ndo zinazokufanya upanue uelewa na kupata knowledge ya kitu flani....informations contain reality 100 %

If we can obtain real informations about who we are,for sure we will attain anything we want .....

The universe is all about informations.....real information increases conciousness that permits human mind to enter into other realms....

We have to filter out informations that can guide us into reality....

Hakuna kitu kitakachokuja kuongeza ufahamu wako na maarifa kama informations...we have to filter reality from illusion......

Knowledge is about information...informations ni maelezo namna ya kutumia kitu ..

Information is about translating codes into reality....

Without informations your mind has nothing to unlock reality....

That's why reality is kept secretly under informations but guided synchronously with untrue informations....

All is about informations....

It's the way you get the right one..

Sent using Nokia 8 Plus
 
Jurjani

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
16,492
2,000
Kiukweli jamaa hua ni mbishi tu in nature ndio maana sikutaka kujibu maswali yake...ukizingatia na usiku usingiziii.
Subiri maswali yake sasa.
Ila Ahsante kwa kunijibia

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Poa.
 
Mdugo

Member
Nov 17, 2017
46
125
Asante sana nimejifunza mengi sana... Lucie anakuambia "I have absorbed maximum amount of CPH4" Sikupata jibu maana Morgan Freeman mwenyewe akashangaa. Nikajiuliza hiyo CPH4 ni nn basi nikaishia hapo maana hata ilivoisha sikuelewa.... Anaishia kumwambia cop kuwa " I'm every where"

Ila naona kuna uhalisia Fulani wa hayo

Asante mtoa Maada na wachangaaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,375
2,000
Hicho kitabu kiliandikwa na Dale Carnegie!
mkuu nilimiss kitu kwenye kuandika.. kitabu kiliandikwa na huyo yy mwandishi wa habari akaifanyia kua popular.. welcome maana long time no see you
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,375
2,000
Nasubiri majibu ya maswali niliyo kuuliza.

Kujua wapi umekosea ni hatua kubwa sana,hatua ambayo wengi katika sisi hatujaifikia.
Naomba nikuahidi kua nitakujibu nikiwa na wasaa muda huu usingizi mkuu
 
Top Bottom