Je, ni kweli binadamu tunatumia asilimia 10 ya uwezo wa ubongo, na nini kitatokea kama tutatumia asilimia 100 ya uwezo huo?

Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
19,644
Likes
43,620
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
19,644 43,620 280
is-2-jpg.1018243

SALUTE COMRADES
Miaka mingi kumekua na nadharia inayosema kua binaadamu tunatumia asilimia 10% tu ya ubongo wetu katika mambo yote tunayofanya, gunduzi zote za kiteknolojia na kisayansi, kufikiria na kufanya maamuzi kwenye vitu vigumu na mambo kadhalika ni asilimia 10% tu ndio metumika!wengine wanasema Albert Enstein alitumia 13% ya ubongo wake. Kama kwa maendeleo yote haya tumetumia asilimia kumi imagine tukiweza tumia 100% ya akili zetu

Muvi mbalimbali kama LUCY aliyocheza mwigizaji scarlet Johnson ilizidi kupigilia msumali nadharia hii kwa kuonyesha jinsi ambavyo huyo bnti Lucy alivyokula madawa ambayo yalimfanya kuweza kua na uwezo wa kutumia akili yake kwa asilimia 100% ambapo alianza kuweza kusafiri katika muda kwa akili (Mind Time Travelling), aliweza kukontroo magari kwa akili,aliweza kutumia kioo cha gari kama computer, aliweza kujifunza kichina ndani ya sekundi na mengine meengiii. Pia muvi mbalimbali kama Limitless ya Bradley Cooper, Define your life, flight of the navigator na kadharika zimeelezea nadhalia hii ya 10% of Brain.

Inasemekana kua nadharia hii ilisambazwa na mwandishi wa habari aitwae Lowell Thomas kwa kutumia kitabu chake kiichoitwa How to win friends and influence peoples ambapo alimnukuu vibaya mwanasaikolojia William James ambapo aliwahi kusema “average person specifically develops only 10% percent of his/her latent ability” ambapo kiuhalisia James alikua amezungumzia “our latent mental energy” lakini pia inaonekana kua nadharia hii pia ilichagizwa pia kuenea na mtalamu wa ubongo (Neurosurgeon) Wilder Penfield ambapo aligundua silent cotex mnamo mwaka 1930’s ambapo alisema kua silent cotex haina kazi kwenye ubongo mpaka ishituliwe na na umeme lakini kiuhalisia hiyo sehemu siku hizi imegundulika kua inafanya kazi.

Wanasayansi wengi wanasema kua nadharia hii ni uongo! Bnaadamu wote tunatumi 100% ya ubongo wetu, vifaa vya kisasa kama brain scanning vinaonyesha ubongo wetu unafanya kazimuda wote kwa kupitia viungo vyote hata tukiwa tumepumzika zipo tafiti nyingi zimefanywa zinaonyesha kua binaadamu tunatumia 100% ya ubongo wetu.

Kwenu GreatThinker je mna maoni gani juu ya hili? Ni kweli tunatumia 10% kwa mnavyodhani na kama tunatumia 10% ya uwezo wa ubongo wetu nini kitatokea kama tutaweza kutumia 100% ya uwezo wa ubongo wetu??

Tchao..

~Da’Vinci..
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
19,644
Likes
43,620
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
19,644 43,620 280
Imesemwa hivi kwa muda mrefu, ila sio kweli kwamba tunatumia 10% tu ya ubongo wetu.
Mkuu wengi tumeambiwa hivi. Kiukwel ija impact mbaya kwa mtoto hasa mie imeniathiri mno!! Kama uluwahi pitia somo Child Psychology utakua unelewa

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
19,644
Likes
43,620
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
19,644 43,620 280
Nimekukoti vibaya mkuu nilimaanisjha huyo aliyekua anaitwa hana akili na wazazi wake

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
4,824
Likes
3,657
Points
280
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
4,824 3,657 280
Hii imenikumbusha kichekesho kimoja kama sio ukweli.

Kwamba kulikuwa na vichwa 3 vimewekwa chumba cha maonyesho kimoja cha mzungu kingine kutoka Asia na kingine kutoka Africa. Kichwa cha mzungu hakikuwa na ubongo kabisa kile cha Masia ubongo ulikuwa robo na kile cha Mwafrika ubongo ulikuwa kama alivyozaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanadai kuwa bongo zilikuwa zinauzwa. Ukiangalia kwa macho zinafanana kila kitu ila bei ndio tofauti. Ubongo wa mswahili ulikuwa ghali sana tofauti na wa mzungu. Mnunuzi alipotaka kujua vigezo gani vimetumika kwa bei ya ubongo wa mzungu kuwa rahisi alijibiwa kuwa ule ni used wakati wa mswahili ni brand new.

Mteja mwenyewe alikuwa mswahili aliondoka bila kuaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,408
Likes
7,722
Points
280
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,408 7,722 280
Ndio story zenu wazee mnawadanganya watoto...
Eti Mungu wakati anagawa akili mwafrika alichagua ngoma wazungu wajachagua akili ya Maendeleo eti ndio maana tunadumisha ngoma za asili na mila kuliko kudumisha mambo ya Maendeleo

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Old is gold

Ngoja nichunguze nimetumia % ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,408
Likes
7,722
Points
280
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,408 7,722 280
Wanadai kuwa bongo zilikuwa zinauzwa. Ukiangalia kwa macho zinafanana kila kitu ila bei ndio tofauti. Ubongo wa mswahili ulikuwa ghali sana tofauti na wa mzungu. Mnunuzi alipotaka kujua vigezo gani vimetumika kwa bei ya ubongo wa mzungu kuwa rahisi alijibiwa kuwa ule ni used wakati wa mswahili ni brand new.

Mteja mwenyewe alikuwa mswahili aliondoka bila kuaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kama kuna kaukweli vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dashdown

Dashdown

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
287
Likes
233
Points
60
Dashdown

Dashdown

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
287 233 60
Hii yaweza kuwa kweli maaana uwezo wa akili zetu hutegemea na mazingira uliyomo ukiangalia mazingira ya mwafrika sio ya kumfanya atumie ubongo wake kwa kiasi kikubwa kutokana na kuridika na teknolojia ya mzungu lakini mzungu yeye anatumia uwezo mkubwa wa ubongo wake kuendelea kugundua vitu ambavyo vitaendelea kumdumaza mwafrika
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,478
Likes
5,297
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,478 5,297 280
View attachment 1018243
SALUTE COMRADES
Miaka mingi kumekua na nadharia inayosema kua binaadamu tunatumia asilimia 10% tu ya ubongo wetu katika mambo yote tunayofanya, gunduzi zote za kiteknolojia na kisayansi, kufikiria na kufanya maamuzi kwenye vitu vigumu na mambo kadhalika ni asilimia 10% tu ndio metumika!wengine wanasema Albert Enstein alitumia 13% ya ubongo wake. Kama kwa maendeleo yote haya tumetumia asilimia kumi imagine tukiweza tumia 100% ya akili zetu

Muvi mbalimbali kama LUCY aliyocheza mwigizaji scarlet Johnson ilizidi kupigilia msumali nadharia hii kwa kuonyesha jinsi ambavyo huyo bnti Lucy alivyokula madawa ambayo yalimfanya kuweza kua na uwezo wa kutumia akili yake kwa asilimia 100% ambapo alianza kuweza kusafiri katika muda kwa akili (Mind Time Travelling), aliweza kukontroo magari kwa akili,aliweza kutumia kioo cha gari kama computer, aliweza kujifunza kichina ndani ya sekundi na mengine meengiii. Pia muvi mbalimbali kama Limitless ya Bradley Cooper, Define your life, flight of the navigator na kadharika zimeelezea nadhalia hii ya 10% of Brain.

Inasemekana kua nadharia hii ilisambazwa na mwandishi wa habari aitwae Lowell Thomas kwa kutumia kitabu chake kiichoitwa How to win friends and influence peoples ambapo alimnukuu vibaya mwanasaikolojia William James ambapo aliwahi kusema “average person specifically develops only 10% percent of his/her latent ability” ambapo kiuhalisia James alikua amezungumzia “our latent mental energy” lakini pia inaonekana kua nadharia hii pia ilichagizwa pia kuenea na mtalamu wa ubongo (Neurosurgeon) Wilder Penfield ambapo aligundua silent cotex mnamo mwaka 1930’s ambapo alisema kua silent cotex haina kazi kwenye ubongo mpaka ishituliwe na na umeme lakini kiuhalisia hiyo sehemu siku hizi imegundulika kua inafanya kazi.

Wanasayansi wengi wanasema kua nadharia hii ni uongo! Bnaadamu wote tunatumi 100% ya ubongo wetu, vifaa vya kisasa kama brain scanning vinaonyesha ubongo wetu unafanya kazimuda wote kwa kupitia viungo vyote hata tukiwa tumepumzika zipo tafiti nyingi zimefanywa zinaonyesha kua binaadamu tunatumia 100% ya ubongo wetu.

Kwenu GreatThinker je mna maoni gani juu ya hili? Ni kweli tunatumia 10% kwa mnavyodhani na kama tunatumia 10% ya uwezo wa ubongo wetu nini kitatokea kama tutaweza kutumia 100% ya uwezo wa ubongo wetu??

Tchao..

~Da’Vinci..
Hapa nataka kujifunza kitu. Kabla sijaenda mbali katika hili,naomba nijibiwe maswali haya.

1. Akili ni nini ?
2. Akili ina kaa wapi ?
3. Je akili pekee inatosha kutumika kupata maarifa ?

Nikijibiwa maswali haya nitaendelea hapa nilipo ishia.
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
19,644
Likes
43,620
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
19,644 43,620 280
Hapa nataka kujifunza kitu. Kabla sijaenda mbali katika hili,naomba nijibiwe maswali haya.

1. Akili ni nini ?
2. Akili ina kaa wapi ?
3. Je akili pekee inatosha kutumika kupata maarifa ?

Nikijibiwa maswali haya nitaendelea hapa nilipo ishia.
Duuh mkuu sifahamu hata mm

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,478
Likes
5,297
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,478 5,297 280
Duuh mkuu sifahamu hata mm

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Naendelea kwanza kusoma maoni ya wadau,kisha nitatia neno.

Kwanza kabisa napinga madai ya hao walio sema ya kuwa mwanadamu anatumia 10% ya akili yake.
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,478
Likes
5,297
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,478 5,297 280
Mada hii nimekua inspired kuiandika kutokana na swali aliloniuliza mkuu Alisina akisema kwenye huu uzi JF Hard Talk "Da'Vinc" - JamiiForums akisema Is it possible to be clever than Leonardo da vinci?

Nipende kulijibu swali hili hapa hapa kwenye hii mada maana kiasi Fulani yanaendana!

Mkuu Alisina kiukweli it’s possible kua clever zaidi ya mwanasayansi Leonardo da vinci, kivipi? Kwanza kabisa binaadamu wote tumewekewa ubongo sawa, nikimaanisha kua kilakitu nilichonacho kwenye ubongo wangu basi nawewe unacho na mwanasayansi Leonardo da vinci alikua nacho. Sasa kwanini inaonekana da vinci alikua na akili kuuubwa kuliko wengine? Mkuu alisina kinachotutofautisha ni jinsi ubongo wetu tunavyoutumia katika kufikiria, pia vipaumbele vya matumizi ya ubongo wetu. Lakin kuuubwa zaidi tulilotofautiana na mwanasayansi da vinci ni kujaliwa karama/vipaji vingii katika uwezo wa hali ya juu, na hapo ndipo alipotupiga bao da vinci.(aliitumia akili yake vizuri pia alijaliwa karama nyiingi) leo hii mimi nawewe tunaweza kufuata nyendo za da vinci tukamfikia na kumpita mbali kabisa mfano Arristotle alimuona Plato ni mtu mwenye uwezo wa hali ya juu na kweli plato alikua na akili kuubwa sana ila mwanafunzi wake arristotle aliweka commitment hadi akamshinda mwalimu wake plato uwezo.

Mkuu alisina baadhi ya waandishi wamejaribu kuandika hint mbalimbali ambazo wanadhani kama mt akizifuata anaweza kua nafikra angalau kama za Da’Vinci, mmoja wapo ni Michael Gelb kaandika kitabu kinachoitwa Think like Leonardo Da’vinci

Lakini pia Da’vinci mwenyewe alijua siku moja watu watatamani wawe kama yeye alivyokua akifikiria hivyo basi aliacha kanuni zake saba zinazofahamika kama The Seven Da Vincian Plinciples ambazo alikua anazifuata ili kupanua uwezo wake wa kufikiria.. hizi hapa chini..

Curiosity: An insatiably curious approach to life and an unrelenting quest for continuous learning.

Demonstration: A strong commitment to test your knowledge through hands-on experience, persisting through struggles and failures and a willingness to learn from mistakes.

Sensation: A never ending refinement of all of our senses, (taste, touch, smell, hearing and vision), especially sight as a way to experience life at a deeper level.

Smoke: Becoming open to all possibilities. This refers to a willingness to embrace ambiguity, paradox and uncertainty. This is a deeply vulnerable place but it also opens and expands our minds beyond the limitations we place upon ourselves.

Art and Science: This is whole brain thinking that develops a balance between logic and imagination, science and art. This is a balance between the right sided, creative brain and the left sided, logical brain.

The Body: The development of fitness, health, grace and poise. Balancing the brain and the body and enhancing the bodies characteristics to allow it to grasp more skills. This included developing a level of ambidexterity.

Connection: Seeing and appreciating the underwoven interconnectedness of all things and phenomena. We call this today, “systems thinking.
Hivi chief leo hii,mtu akaja kukuuliza swali hili "Nitajie sifa za mtu mwenye akili ?" Utamjibuje ?
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
19,644
Likes
43,620
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
19,644 43,620 280
Hivi chief leo hii,mtu akaja kukuuliza swali hili "Nitajie sifa za mtu mwenye akili ?" Utamjibuje ?
Kila mtu ana ubongo..sio kila mtu ana akili japo mwenye akili ana ubongo pia

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,478
Likes
5,297
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,478 5,297 280
Kila mtu ana ubongo..sio kila mtu ana akili japo mwenye akili ana ubongo pia

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Uko sahihi kwa kauli yako ila hujataja sifa za mtu mwenye akili. Umeongelea jambo kwa ujumla kama vile nikisema "Kila mtume ni nabii lakini si kila nabii ni mtume". Huu ndio ukweli.

Usahihi wa kauli yako unawatoa wale wote ambao ni wendawazimu.

Swali langu linataka kujua kwamba nitamjuaje mtu mwenye akili ?
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,478
Likes
5,297
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,478 5,297 280
Inafikirisha hii.. aisee
Kauli ya mdau ina maanisha hivi "Ilianza kwanza elimu kisha zikaja shahada kwa makubaliano ya wale ambae hawakusoma kwa kutunukiwa shahada". Elimu ina maajabu yake.
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,194
Likes
2,763
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,194 2,763 280
Ndio nini hiko mkuu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
CPH4 Is a chemical substance ambayo huactivate the silent cotex( pre frontal cortex) ambayo huwa ipo katika low threshold level mpaka kufikia high level ya activation...

Kwenye movie ya Lucy imeportray kama chemical element ambayo huwa inatolewa na mama mjamzito pindi mimba inapofikia week 4 mpaka 6 ...

Kazi ya CPH4 ni kuactivate brain ya mtoto (hasa pre frontal cortex) ili tayari ubongo wa mtoto uanze kufanya kazi....

Ukisoma vizuri embryology ( ukuuaji wa mtoto akiwa tumboni) utagundua kuwa DNA ya mtoto ( Zygote) inakuwa bado haijawa activated ili kuanza kufanya kazi na kitu kinachofanya kazi ya kuiruhusu cell ya mtoto ( Zygote) ili ianze kugawanyika( cellular division together with cellular differentiation into different function) huwa ni genes kadhaa toka kwenye DNA ya huyo zygote,lakini cell ikigawanyika mara 64 tinakuwa na idadi kubwa ya cell ambazo zinahitaji mfumo elekezi wenyewe kwa wenyewe ili uendelee kuzalisha organs kadhaa...lakini mfumo wa hizo organs kufanya kazi unahitaji aina nyingine ya mfumo elekezi toka kwa mtoto tu na sio mama tena...

Ubongo ndo unatakiwa kubeba jukumu pekee la kuendeleza kazi ya kuruhusu mifumo mbalimbali kwenye mwili wa mtoto ianze kufanya kazi, make kazi ya mwili wa mama ishaisha ambayo ilikuwa ni kuruhusu huo Muunganiko wa Mbegu ya baba na mama ( sperm + ovum = zygote) na zygote ndo tayari ashapatikana..

Kwa hiyo zygote huyo anatakiwa aendelee kugawanyika tena mara 64 zaidi ili tuweze kupata cell nyingi ambazo zitagawanyika zaidi ili tupate organs nyingi kama ubongo ,figo,Ini,kongosho ,pua ,miguu mikono n.k....... lakini ni nani anatakiwa kuendeleza comand ya kipi kiendelee na kipi kifanyike ili mwili wa mtoto uendelee kukua....!!!.??...Ni ubongo wa pre frontal cortex.

Ubongo ndo organ maalumu kwa ajili ya kuendeleza jukumu la kuwagawia kazi cell mbali mbali ili ziendelee kugawanyika na kufanya kiumbe aje kuwa na sifa ya kuwa na cell nyingi( Multicellular) ambapo hizo cell zitakuja kukua na kuwa viungo mbali mbali...

Swali sasa .........!!!

NANI ANAPASWA AMPE UHAI AU AMPE UWEZO WA KUAMKA BWANA UBONGO WA MTOTO ILI AANZE KUTOA COMAND HIYO??....

Si mwingine bali ni mwili ule ule wa mama Ambao hutoa kichocheo aina ya CPH4...Hii ni chemical compound ambayo huwa ina uwezo wa kuconvert kiwango flani cha reaction ambayo itaifanya Zinc ions iende kwenye ubongo wa mtoto hasa eneo la Pre frontal cortex kisha kuliactivate kwa kuanza kuruhusu INTER NEURONAL NETWORK FUNCTION kati ya brain na mwili wote ( cell zote) wa mtoto kisha mfumo mpya ambao unakuwa unaitegemea akili ( ubongo) wa mtoto katika kuendeleza kazi zote na pale ndipo mtoto anapata conciouness na kuanza kudevelop zile five senses ambazo zitakuwa zinampa taarifa juu ya mabadiliko ya nje ya mwili wake kisha kumfanya ajikinge na hali yoyote ambayo itakuwa subjected kwake....

So CPH4 ni chemical like hormone substance ambayo hufanya activation ya pre frontal cortex kwa kiwango kinachokadiliwa kuwa asilimia 10 tu....so hiyo asilimia 10 ya activation ya pre frontal cortex( silent cortex) ni kwa sababu ya kiwango hicho kidogo cha CPH4 inayokuwa imetolewa na mama mjamzito anapokuwa na umri wa week 4 mpaka 6 wa mimba yake kisha inastop ...kwa hiyo kama ingeendelea kutolewa frequently wanasema mtoto anadevelop psychic powers akiwa tumboni na anaweza fikia above threshold level kisha kuchange into energy ambapo mimba inaweza yeyuka gafla...ndo mana tunasema kuwa kama mwanadamu aki activate pre frontal cortex mpaka 100% anakuwa sio katika physical form bali ana atain shapeless physical morphology...(anakuwa pure Energy ).

Kwa hiyo akili ya mama huwa inalitambua hilo kuwa nina hitaji nitoe mtoto ambaye ni Physically katika morphology ili awe na shape, hivyo lazima niregulate kiwango cha CPH4 kitakachoenda kuamsha pre frontal cortex ya mtoto hivyo kumfanya mtoto akue katika mfanano wa kuonekana na kushikika...

So mtoto anapozaliwa akiwa na 10% only ya mental function ni kwa sababu ya kiwango cha CPH4 ,Ila ka mama alitoa kiwango kikubwa cha CPH4 ndo hapo anaweza akazaa mtoto mwenye 13% activated pre frontal cortex brain au 15% ...na hao ndo magenius kama kina Tesla na Kina Da vinci au kina Newton....na wengine....so Intelligence difference inakuja kwetu ambapo kila mtu ana kiwango tofauto cha Intelligence kwa sababu mama zetu wanazidiana kutoa kiwango cha CPH4 katika uleaji wa mimba zao...kadri ulivyomwandalia mazingira mama akiwa prior 4 weeks of Gestation age ndo anakuja kutoa kiwango kikubwa cha CPH4 hence anakuwa ametoa genius wa familia...

Wenzetu wanalitambua hilo ndo mana they can produce any kind of intelligent person they want...ni ku time namma ya kumwandalia mazingira mama ili muda wa kutoa hizo CPH4 ukifika basi mwili wake utoe chemical za kutosha ....Can we increase the brain specifically pre frontal cortex activation beyond 10% while a kid is outside his or her mother's Uterus....???

Thats another Chalange........hopeful yes....absolutelly no....perhapes we can.....Under what ways......???

Niishie hapo......Sent using Nokia 8 Plus
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,478
Likes
5,297
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,478 5,297 280
Is a chemical substance ambayo huactivate the silent cotex( pre frontal cortex) ambayo huwa ipo katika low threshold level mpaka kufikia high level ya activation...

Kwenye movie ya Lucy imeportray kama chemical element ambayo huwa inatolewa na mama mjamzito pindi mimba inapofikia week 4 mpaka 6 ...

Kazi ya CPH4 ni kuactivate brain ya mtoto (hasa pre frontal cortex) ili tayari ubongo wa mtoto uanze kufanya kazi....

Ukisoma vizuri embryology ( ukuuaji wa mtoto akiwa tumboni) utagundua kuwa DNA ya mtoto ( Zygote) inakuwa bado haijawa activated ili kuanza kufanya kazi na kitu kinachofanya kazi ya kuiruhusu cell ya mtoto ( Zygote) ili ianze kugawanyika( cellular division together with cellular differentiation into different function) huwa ni Ubongo, na Ubongo ndo unatakiwa kubeba jukumu pekee la kuendeleza kazi ya kuruhusu mifumo mbalimbali kwenye mwili wa mtoto ianze kufanya kazi make kazi ya mwili wa mama ishaisha ambayo ilikuwa ni kuruhusu huo Muunganiko wa Mbegu ya baba na mama ( sperm + ovum = zygote) na zygote ndo tayari ashapatikana..

Kwa hiyo zygote huyo anatakiwa aendelee kugawanyika tena mara 64 zaidi ili tuweze kupata cell nyingi ambazo zitagawanyika zaidi ili tupate organs nyingi kama ubongo ,figo,Ini,kongosho ,pua ,miguu mikono n.k....... lakini ni nani anatakiwa kuendeleza comand ya kipi kiendelee na kipi kifanyike ili mwili wa mtoto uendelee kukua....!!!.??...Ni ubongo wa pre frontal cortex.

Ubongo ndo organ maalumu kwa ajili ya kuendeleza jukumu la kuwagawia kazi cell mbali mbali ili ziendelee kugawanyika na kufanya kiumbe aje kuwa na sifa ya kuwa na cell nyingi( Multicellular) ambapo hizo cell zitakuja kukua na kuwa viungo mbali mbali...

Swali sasa .........!!!

NANI ANAPASWA AMPE UHAI AU AMPE UWEZO WA KUAMKA BWANA UBONGO WA MTOTO ILI AANZE KUTOA COMAND HIYO??....

Si mwingine bali ni mwili ule ule wa mama Ambao hutoa kichocheo aina ya CPH4...Hii ni chemical compound ambayo huwa ina uwezo wa kuconvert kiwango flani cha reaction ambayo itaifanya Zinc ions iende kwenye ubongo wa mtoto hasa eneo la Pre frontal cortex kisha kuliactivate kwa kuanza kuruhusu INTER NEURONAL NETWORK FUNCTION kati ya brain na mwili wote ( cell zote) wa mtoto kisha mfumo mpya ambayo unakuwa unaitegemea akili ( ubongo) wa mtoto katika kuendeleza kazi zote na mpale ndipo mtoto anapata conciouness na kuanza kudevelop zile five senses ambazo zitakuwa zinampa taarifa juu ya mabadiliko ya nje ya mwili wake kisho kumfanya ajikinge na hali yoyote ambayo itakuwa subjected kwake....

So CPH4 ni chemical like hormone substance ambayo hufanya activation ya pre frontal cortex kwa kiwango kinachokadiliwa kuwa asilimia 10 tu....so hiyo asilimia 10 ya activation ya pre frontal cortex( silent cortex) ni kwa sababu ya kiwango hicho kidogo cha CPH4 inayokuwa imetolewa na mama mjamzito anapokuwa na umri wa week 4 mpaka 6 wa mimba yake kisha inastop ...kwa hiyo kama ingeendelea kutolewa frequently wanasema mtoto anadevelop psychic powers akiwa tumboni na anaweza fikia above threshold level kisha kuchange into energy ambapo mimba inaweza yeyuka gafla...ndo mana tunasema kuwa kama mwanadamu aki activate pre frontal cortex mpaka 100% anakuwa sio katika physical form bali ana atain shapeless physical morphology...(anakuwa pure Energy ).

Kwa hiyo akili ya mama huwa inalitambua hilo kuwa nina hitaji nitoe mtoto ambaye ni Physically katika morphology ili awe na shape, hivyo lazima niregulate kiwango cha CPH4 kitakachoenda kuamsha pre frontal cortex ya mtoto hivyo kumfanya mtoto akue katika mfanano wa kuonekana na kushikika...

So mtoto anapozaliwa akiwa na 10% only ya mental function ni kwa sababu ya kiwango cha CPH4 ,Ila ka mama alitoa kiwango kikubwa cha CPH4 ndo hapo anaweza akazaa mtoto mwenye 13% activated pre frontal cortex brain au 15% ...na hao ndo magenius kama kina Tesla na Kina Da vinci au kina Newton....na wengine....so Intelligence difference inakuja kwetu ambapo kila mtu ana kiwango tofauto cha Intelligence kwa sababu mama zetu wanazidiana kutoa kiwango cha CPH4 katika uleaji wa mimba zao...kadri ulivyomwandalia mazingira mama akiwa prior 4 weeks of Gestation age ndo anakuja kutoa kiwango kikubwa cha CPH4 hence anakuwa ametoa genius wa familia...

Wenzetu wanalitambua hilo ndo mana they can produce any kind of intelligent person they want...ni ku time namma ya kumwandalia mazingira mama ili muda wa kutoa hizo CPH4 ukifika basi mwili wake utoe chemical za kutosha ....Can we increase the brain specifically pre frontal cortex activation beyond 10% while a kid is outside his or her mothee uterus....???

Thats another Chalange........hopeful yes....absolutelly no....perhapes we can.....Under what ways......???

Niishie hapo......Sent using Nokia 8 Plus
Hizo hesabu za kutambua 10%,13% wanazipataje yaani wanarejea wapi kupata hizo asilimia.

Je pia wanajuaje kama hayo wanayo yasema ni sahihi ?

Kuna swali niliuliza huko juu,hivi unamtambuaje kama mtu huyu ana akili na huyu hana,yaani ni zipi sifa za mtu mwenye akili ?
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,194
Likes
2,763
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,194 2,763 280
Hizo hesabu za kutambua 10%,13% wanazipataje yaani wanarejea wapi kupata hizo asilimia.

Je pia wanajuaje kama hayo wanayo yasema ni sahihi ?

Kuna swali niliuliza huko juu,hivi unamtambuaje kama mtu huyu ana akili na huyu hana,yaani ni zipi sifa za mtu mwenye akili ?
Kama huwezi elewa kama hiyo ipo basi hutakubaliana na hilo na hapa utabisha mpaka mwisho.....endelea watakujibu wengine...

Kama leo hii tunaweza pima hadi kiwango cha bacteria ulionao juu ya ugonjwa flani kwenye damu mpaka kufika milioni ndani ya dk 1 iweje ushangae kwanini inawezekana kupima kiwango cha pre frontal cortex activation...!!!kama tunapima kiwango cha cell zako mwilini ambazo ni zaidi ya mamilioni unashindwa kupima brain hyperactivity...??EEG (electroencephalography) ipo itatoa majibu tu kuwa ni eneo lipi lipo bize na kwa kiwango gani...Anza kulalamika kwanza inawezekanaje kupima kiwango cha cell zako mwilini kila unapoenda maabara....!!??

mashine zipo zinapima kila kitu mbona huulizi huko maabara kuwa jamani eee inawezekanaje nimepimwa nimekutwa na wadudu miilioni..??? kwanini majibu usiyakatae ila ukija huku unakuja kulalamika....??

Mashine imepimaje....?

?? anza kukataa kwanza hilo kisha ndo uje ukatae na hili kwa evidence.
Watu tunasema kuwa upo covered na Artificial Intelligence ( AI) halafu tunakataaa....Hapo ndo unapaswa uelewe kuwa something abnormal operating our mind ....

Unavyoshangaaa na wengine tunashangaaa hivo hivo lakini nani analeta technolojia ikiwa binadamu wote tunashangaaa...?? so somebody is controlling our mind...kataaa but that's is the reality....our intelligence has nothing to solve paranormal events....

Lazima tukubali....

Sent using Nokia 8 Plus
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
19,644
Likes
43,620
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
19,644 43,620 280
CPH4 Is a chemical substance ambayo huactivate the silent cotex( pre frontal cortex) ambayo huwa ipo katika low threshold level mpaka kufikia high level ya activation...

Kwenye movie ya Lucy imeportray kama chemical element ambayo huwa inatolewa na mama mjamzito pindi mimba inapofikia week 4 mpaka 6 ...

Kazi ya CPH4 ni kuactivate brain ya mtoto (hasa pre frontal cortex) ili tayari ubongo wa mtoto uanze kufanya kazi....

Ukisoma vizuri embryology ( ukuuaji wa mtoto akiwa tumboni) utagundua kuwa DNA ya mtoto ( Zygote) inakuwa bado haijawa activated ili kuanza kufanya kazi na kitu kinachofanya kazi ya kuiruhusu cell ya mtoto ( Zygote) ili ianze kugawanyika( cellular division together with cellular differentiation into different function) huwa ni genes kadhaa toka kwenye DNA ya huyo zygote,lakini cell ikigawanyika mara 64 tinakuwa na idadi kubwa ya cell ambazo zinahitaji mfumo elekezi wenyewe kwa wenyewe ili uendelee kuzalisha organs kadhaa...lakini mfumo wa hizo organs kufanya kazi unahitaji aina nyingine ya mfumo elekezi toka kwa mtoto tu na sip mama tena...

Ubongo ndo unatakiwa kubeba jukumu pekee la kuendeleza kazi ya kuruhusu mifumo mbalimbali kwenye mwili wa mtoto ianze kufanya kazi, make kazi ya mwili wa mama ishaisha ambayo ilikuwa ni kuruhusu huo Muunganiko wa Mbegu ya baba na mama ( sperm + ovum = zygote) na zygote ndo tayari ashapatikana..

Kwa hiyo zygote huyo anatakiwa aendelee kugawanyika tena mara 64 zaidi ili tuweze kupata cell nyingi ambazo zitagawanyika zaidi ili tupate organs nyingi kama ubongo ,figo,Ini,kongosho ,pua ,miguu mikono n.k....... lakini ni nani anatakiwa kuendeleza comand ya kipi kiendelee na kipi kifanyike ili mwili wa mtoto uendelee kukua....!!!.??...Ni ubongo wa pre frontal cortex.

Ubongo ndo organ maalumu kwa ajili ya kuendeleza jukumu la kuwagawia kazi cell mbali mbali ili ziendelee kugawanyika na kufanya kiumbe aje kuwa na sifa ya kuwa na cell nyingi( Multicellular) ambapo hizo cell zitakuja kukua na kuwa viungo mbali mbali...

Swali sasa .........!!!

NANI ANAPASWA AMPE UHAI AU AMPE UWEZO WA KUAMKA BWANA UBONGO WA MTOTO ILI AANZE KUTOA COMAND HIYO??....

Si mwingine bali ni mwili ule ule wa mama Ambao hutoa kichocheo aina ya CPH4...Hii ni chemical compound ambayo huwa ina uwezo wa kuconvert kiwango flani cha reaction ambayo itaifanya Zinc ions iende kwenye ubongo wa mtoto hasa eneo la Pre frontal cortex kisha kuliactivate kwa kuanza kuruhusu INTER NEURONAL NETWORK FUNCTION kati ya brain na mwili wote ( cell zote) wa mtoto kisha mfumo mpya ambayo unakuwa unaitegemea akili ( ubongo) wa mtoto katika kuendeleza kazi zote na mpale ndipo mtoto anapata conciouness na kuanza kudevelop zile five senses ambazo zitakuwa zinampa taarifa juu ya mabadiliko ya nje ya mwili wake kisho kumfanya ajikinge na hali yoyote ambayo itakuwa subjected kwake....

So CPH4 ni chemical like hormone substance ambayo hufanya activation ya pre frontal cortex kwa kiwango kinachokadiliwa kuwa asilimia 10 tu....so hiyo asilimia 10 ya activation ya pre frontal cortex( silent cortex) ni kwa sababu ya kiwango hicho kidogo cha CPH4 inayokuwa imetolewa na mama mjamzito anapokuwa na umri wa week 4 mpaka 6 wa mimba yake kisha inastop ...kwa hiyo kama ingeendelea kutolewa frequently wanasema mtoto anadevelop psychic powers akiwa tumboni na anaweza fikia above threshold level kisha kuchange into energy ambapo mimba inaweza yeyuka gafla...ndo mana tunasema kuwa kama mwanadamu aki activate pre frontal cortex mpaka 100% anakuwa sio katika physical form bali ana atain shapeless physical morphology...(anakuwa pure Energy ).

Kwa hiyo akili ya mama huwa inalitambua hilo kuwa nina hitaji nitoe mtoto ambaye ni Physically katika morphology ili awe na shape, hivyo lazima niregulate kiwango cha CPH4 kitakachoenda kuamsha pre frontal cortex ya mtoto hivyo kumfanya mtoto akue katika mfanano wa kuonekana na kushikika...

So mtoto anapozaliwa akiwa na 10% only ya mental function ni kwa sababu ya kiwango cha CPH4 ,Ila ka mama alitoa kiwango kikubwa cha CPH4 ndo hapo anaweza akazaa mtoto mwenye 13% activated pre frontal cortex brain au 15% ...na hao ndo magenius kama kina Tesla na Kina Da vinci au kina Newton....na wengine....so Intelligence difference inakuja kwetu ambapo kila mtu ana kiwango tofauto cha Intelligence kwa sababu mama zetu wanazidiana kutoa kiwango cha CPH4 katika uleaji wa mimba zao...kadri ulivyomwandalia mazingira mama akiwa prior 4 weeks of Gestation age ndo anakuja kutoa kiwango kikubwa cha CPH4 hence anakuwa ametoa genius wa familia...

Wenzetu wanalitambua hilo ndo mana they can produce any kind of intelligent person they want...ni ku time namma ya kumwandalia mazingira mama ili muda wa kutoa hizo CPH4 ukifika basi mwili wake utoe chemical za kutosha ....Can we increase the brain specifically pre frontal cortex activation beyond 10% while a kid is outside his or her mothee uterus....???

Thats another Chalange........hopeful yes....absolutelly no....perhapes we can.....Under what ways......???

Niishie hapo......Sent using Nokia 8 Plus
This is Beyond Explanation
Namm huko kwenye masuala ya biology niko mtupuuuu!!
Ahsante sana mkuu lakini
Labda Wick na Malcom Lumumba waje

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Forum statistics

Threads 1,262,459
Members 485,588
Posts 30,122,935