Je, ni kweli binadamu tunatumia asilimia 10 ya uwezo wa ubongo, na nini kitatokea kama tutatumia asilimia 100 ya uwezo huo?

Maisha tunayoishi kwa sasa ni man-made, hayana ubunifu wetu wenyewe. Akili zetu zimekuwa dormant zinategemea already made discoveries.

Wazungu pia ni wajanja sana, walituletea hii life mode ambayo inatufanya tusijishughulishe na gunduzi zetu bali tutegemee zao tuu.

Hii nadharia za 10% usage of brain sidhan km ni sahihi kwa sababu haiko specific ni ktk situation zipi mtu anakuwa katumia % kadhaa. Pia binadamu tumezaliwa na IQ tofauti tofauti kwa io wenye IQ kubwa lazima wawazidi wenye ndogo.
Kwani Man-Made sio ubunifu wa mwanadamu?...Ulikua unataka ubunifu upi?
 
Back
Top Bottom