Je, ni kweli binadamu tunatumia asilimia 10 ya uwezo wa ubongo, na nini kitatokea kama tutatumia asilimia 100 ya uwezo huo?

Nafikiri si kweli kwamba maisha tunayoishi ni dormant na kwamba ubunifu ndo umeisia hapo.....ugunduzi uliokwisha fanyika ni kianzio cha gunduzi nyingi zitakazoendelea kugunduliwa..na zinazoendelea kugunduliwa......jaribu kufikiria miaka 50 nyuma hali ilivyokua na mambo yalivyobadirika ndani ya huo muda
....ugunduzi hauna mwisho..na hapa ndo dhans kwamba binadamu tunatumia kiasi kidogo cha akili zetu....nafikiri miaka mia mbili mbele haya mambo yaliyopo sasa hivi yatakua yanaonekana primitive...
Kitu cha research gap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza lini kuwa mvivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uvivu ni nature ya mwili wa binaadamu... Hakuna mwili unaopenda karaha..kila mwili unapenda ukae umestarehe muda wote so ww mwenye mwili usipokontroo mwili basii u a lost!!
So kuandika unajua kunachosha hehe.. ila ukiniukiza ww sasa ivi nakujibu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Tuko pamoja. Ukipata wasaa utanijibu.

Nipo ....

What’s the invisible that’s creat what’s the visible.Kipimo cha akili ni matokea ambayo ni physically.Kipimo cha akili ni matokeo tunayoyaona baada ya kuleta effects fluni katika mazingira.
Akili ni ule uwezo wa kutambua/kuchambua/kutafusri taarifa kwa usahihi na wakati sahihi ili ziweze kuleta impact katika mazingira alisia


iPhone 7plus
 
Hapa kuna vitu viwili tunavichanganya. Ubongo kufanya kazi na kuutumia ubongo kufikiri.

Ubongo unafanya kazi 100% kinyume cha hapo hitilafu itajitokeza kwa mhusika.

Hizo asilimia nafikiri zipo hapo kwenye matumizi ya ubongo kwenye kufikiria.
Tatizo hilo hilo moja linalofanana linaweza kuwapata watu tofauti kila mmoja akaja na utatuzi tofauti kabisa.

Nafikiri msisitizo uwe ni namna ya kuboresha kuutumia ubongo au kufikiria ipasavyo. Ndio maana Ford alisema kufikiria ni kazi ngumu sana na wengi hawapendi kuifanya au kujihusisha nayo.
 
Labda baadhi hamjaelewa uzi unazungumzia 10% ya ubongo katika nyanja gani. Au mimi ndo nitakuwa sijaelewa.

My take ni kwamba katika ubongo kuna part mbili kuu ambazo zinafanya kazi. Moja ni ile ambayo inajitawala yenyewe kwa maana ya kusimamia body systems ambazo huwezi kuzicontrol yan matendo yasiyo ya hiari. Part ya pili ambayo kwa mtazamo wangu ndo haswa inayozungumziwa ni ile inayohusisha matendo ya hiyari kama kujifunza, kusoma, kutunza kumbukumbu na kufanya mambo kwa ajili ya maendeleo binafsi na jamii.

Kwa mtazamo wangu 10% ya matumizi ya ubongo inayozungumziwa ni hii ya ubunifu na maendeleo. Kiuhalisia inaweza kuwa kweli kwa maana ya maendeleo ya kisayansi kuwa huenda hatujavuka hiyo 10% ya kutumia bongo zetu. Kuna mambo mengi yanajificha kwenye movie ya Lucy na pia movie nyingine zinazoonesha watu wenye uwezo wa juu sana wa akili. Sometime tunaweza kudhani ni movie tu kumbe kuna vitu vya kuzingatia na kujifunza.
 
Simple - short and clear ---
Nafikiri wewe unafaa kuwafundisha watanzania kwa sababu hawako tayari kusoma maelezo mengi.
 
Hatuna haja ya kusema wazungu wametuletea teknolojia yao ili watu undermine maana hio kitu iko dunia nzima mpaka kwao
 
Haha....naomba nikusahihishe kwa uelewa wangu...Kila sehemu ya ubongo ina kazi yake..na kuna mambo ambayo ni ya asili ambayo yapo ambayo wewe huna namna ya kuyacontrol mfano kupumua, kusinzia etc..
Mtoa mada anaongelea sehemu ya ubongo ambayo kazi yake ni kufikiri,kusolve matatizo, kuchanganua taarifa za nje na kuzitolea majibu etc....hii ndo akili...hivyo anaongelea jinsi gani hii sehemu inatumika na kuzalisha matunda...au matokeo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihisho kwa mtoa mada. Aliyeandika HOW TO WIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLE ni Dale Carnegie. Ndiye pia aliyeandika HOW TO STOP WORRYING AND START LIVING. Great books indeed
Upo sahihi mkuu.
Nadhani mleta mada alipitiwa kidogo. Ni rahisi kuchanganya waandishi kama ukiwa msomaji wa vitabu au vitu vingi sana kwa muda mfupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…