JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,937
Nafikiri si kweli kwamba maisha tunayoishi ni dormant na kwamba ubunifu ndo umeisia hapo.....ugunduzi uliokwisha fanyika ni kianzio cha gunduzi nyingi zitakazoendelea kugunduliwa..na zinazoendelea kugunduliwa......jaribu kufikiria miaka 50 nyuma hali ilivyokua na mambo yalivyobadirika ndani ya huo mudaMaisha tunayoishi kwa sasa ni man-made, hayana ubunifu wetu wenyewe. Akili zetu zimekuwa dormant zinategemea already made discoveries.
Wazungu pia ni wajanja sana, walituletea hii life mode ambayo inatufanya tusijishughulishe na gunduzi zetu bali tutegemee zao tuu.
Hii nadharia za 10% usage of brain sidhan km ni sahihi kwa sababu haiko specific ni ktk situation zipi mtu anakuwa katumia % kadhaa. Pia binadamu tumezaliwa na IQ tofauti tofauti kwa io wenye IQ kubwa lazima wawazidi wenye ndogo.
Bado umelala toka tarehe hiyoNaomba nikuahidi kua nitakujibu nikiwa na wasaa muda huu usingizi mkuu
Umeanza lini kuwa mvivuHahaaaaa..naona uvivu kumjibu etii
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Uvivu ni nature ya mwili wa binaadamu... Hakuna mwili unaopenda karaha..kila mwili unapenda ukae umestarehe muda wote so ww mwenye mwili usipokontroo mwili basii u a lost!!
Tuko pamoja. Ukipata wasaa utanijibu.
Nipo ....
Simple - short and clear ---Maisha tunayoishi kwa sasa ni man-made, hayana ubunifu wetu wenyewe. Akili zetu zimekuwa dormant zinategemea already made discoveries.
Wazungu pia ni wajanja sana, walituletea hii life mode ambayo inatufanya tusijishughulishe na gunduzi zetu bali tutegemee zao tuu.
Hii nadharia za 10% usage of brain sidhan km ni sahihi kwa sababu haiko specific ni ktk situation zipi mtu anakuwa katumia % kadhaa. Pia binadamu tumezaliwa na IQ tofauti tofauti kwa io wenye IQ kubwa lazima wawazidi wenye ndogo.
Uko sawa - njaa huwa inafanya akili kujifunga.
Kwanini mkuuwabongo karibu wote tunatumia 0.0001% ya bongo zetu kama unabisha niulize kwa nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna haja ya kusema wazungu wametuletea teknolojia yao ili watu undermine maana hio kitu iko dunia nzima mpaka kwaoMaisha tunayoishi kwa sasa ni man-made, hayana ubunifu wetu wenyewe. Akili zetu zimekuwa dormant zinategemea already made discoveries.
Wazungu pia ni wajanja sana, walituletea hii life mode ambayo inatufanya tusijishughulishe na gunduzi zetu bali tutegemee zao tuu.
Hii nadharia za 10% usage of brain sidhan km ni sahihi kwa sababu haiko specific ni ktk situation zipi mtu anakuwa katumia % kadhaa. Pia binadamu tumezaliwa na IQ tofauti tofauti kwa io wenye IQ kubwa lazima wawazidi wenye ndogo.
Haha....naomba nikusahihishe kwa uelewa wangu...Kila sehemu ya ubongo ina kazi yake..na kuna mambo ambayo ni ya asili ambayo yapo ambayo wewe huna namna ya kuyacontrol mfano kupumua, kusinzia etc..Hio sio kweli.
Binadamu tunatumia 100% ya ubongo wetu.
The moment utakapotumia hata 90% inamaanisha umekufa. Kwa sababu kila part ya brain iko specialized kufanya kazi flani ndio maana mtu anakuwa hai kwahio brain yote inapiga kwazi wa ukamilifu wake..
Lets say asilimia 10 za brain ziache kufanya kazi kama ndani ya hizo 10% kuna center inayohusikika na upumuaji basi mtu ataacha kupumua na kufa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu.Sahihisho kwa mtoa mada. Aliyeandika HOW TO WIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLE ni Dale Carnegie. Ndiye pia aliyeandika HOW TO STOP WORRYING AND START LIVING. Great books indeed