Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 693
- 1,682
Hii pia tuwasubiri wajuzi zaidi.Mkuu Juakali jr , inasemekana kuwa hizo car alarms ukiweka sumaku juu ya boneti, alarm kimyaa!! Hili lina ukweli?
Ila kwa nadharia sioni ukweli wake maana alarm system sio lazima iwekwe kwenye bonet, inaweza ukainstall chini ya kiti cha nyuma na waya zake zikaenda sehemu husika.
Ila kuna wajamaa kariakoo niliona wanafungua bonet ya gari lenye alarm kwa kutumia waya, wanaupitisha chini kwenye bamper la mbele. kuna sehemu kwenye lock huo waya ukifika wakivuta bonet linafunguka.
Then wanatoa battery then ndo unakua mwisho wa alarm maana inatumia umeme kutoka kwenye battery