Je Ni Avatar Gani unayoipenda JF?

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,277
5,511
Habari za asubuhi Wadau?
Leo Nimeona Tujadili Kuhusu Avatar,Ukiacha Avatar Yako mwenyewe uliyoiweka ni Avatar ipi nyingine unaipenda,Na sababu gani Kama kuna sababu,manake Avatar nyingine unaweza kuipenda hata kama huna sababu,mimi binafsi nilikua naipenda sana Avatar Ya Nguli ile ya zamani inamuonyesha Sharobaro mmoja hv Kavaa macheni,pete na Jersey ya Chicago Bulls......Je wewe unapenda Ipi? Nawasilisha wadau...
 
speaker
hmethod
kigogo
mtorii
re fr masanilo

kwangu mimi nazipenda sana tuu
 
Me zote tu ninazokutana nazo, ila kuna moja tu ilinikera kipindi fulani, sijui kama mwenyewe aliibadili....
 
Avatar ya Katavi naizimikia sana, kila nikiiona inanifanya nitabasamu kweli kweli. inanifanya nihisi kuwa hata alichopost kitanifanya ni-smile
 
jamani namtafuta Ndorobo: mara ya mwisho nilisikia anapatikana Same ya Kilimanjaro. Sijui imekuwaje hadi simpati tena kwenye mawasiliano. Ajuaye namna na mahali pa kumpata anijuze tafadhali.

Ni mrefu kidogo, mwembamba sana haswa kwenye mikono, anaongea taratibu ingawa si mpole, mkorofi wa kisiasa na anapenda Kilimo. Rafiki wake wa karibu alionekana zanzibarhivi Punde!

Nisaidieni katika hili: zawadi nono itatolewa!
 
Niko mobile, sizioni Avatar, last tym nilipenda ya Roboti Invizibo na ya Nyani Ngabu, eh? Na moja hivi imeandikwa araundi blaksi, neva rilaksi.
 
jamani namtafuta Ndorobo: mara ya mwisho nilisikia anapatikana Same ya Kilimanjaro. Sijui imekuwaje hadi simpati tena kwenye mawasiliano. Ajuaye namna na mahali pa kumpata anijuze tafadhali.

Ni mrefu kidogo, mwembamba sana haswa kwenye mikono, anaongea taratibu ingawa si mpole, mkorofi wa kisiasa na anapenda Kilimo. Rafiki wake wa karibu alionekana zanzibarhivi Punde!

Nisaidieni katika hili: zawadi nono itatolewa!
Hii kwenye jokes ndio mahali pake...
 
Habari za asubuhi Wadau?
Leo Nimeona Tujadili Kuhusu Avatar,Ukiacha Avatar Yako mwenyewe uliyoiweka ni Avatar ipi nyingine unaipenda,Na sababu gani Kama kuna sababu,manake Avatar nyingine unaweza kuipenda hata kama huna sababu,mimi binafsi nilikua naipenda sana Avatar Ya Nguli ile ya zamani inamuonyesha Sharobaro mmoja hv Kavaa macheni,pete na Jersey ya Chicago Bulls......Je wewe unapenda Ipi? Nawasilisha wadau...

ushacheki yangu?
 
Back
Top Bottom