Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 3,965
- 2,455
Je, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.
Naomba hekima zenu juu ya hili.
Fungu la Mungu au fungu la mchungaji? Hawa hawa manabii wetu wa siku hizi uwapelekee fedha halafu useme umepeleka kwa Mungu? Hawa hawa kina Gwajima na Mzee wa Upako au kina Mwamposa? Kina 'nabii'' Malisa?Fungu la kumi ni fungu la Mungu, peleka madhabahuni unapoabudia.
Kitabu cha Yoeli Mungu anasema mnaniibia kwa kutotoa zaka, leteni zaka kamili ghalani Ili kiwepo chakula nyumbani mwangu.
Misaada kwa yatima hiyo ni sadaka.
Mkuu hiyo ela pelekea watu wenye uhitaji, japo fungu la kumi linapaswa kwenda kanisani.Je, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.
Hili ndilo linaloniumiza kichwa.Fungu la Mungu au fungu la mchungaji? Hawa hawa manabii wetu wa siku hizi uwapelekee fedha halafu useme umepeleka kwa Mungu? Hawa hawa kina Gwajima na Mzee wa Upako au kina Mwamposa? Kina 'nabii'' Malisa?
Fungu la Mungu au fungu la mchungaji? Hawa hawa manabii wetu wa siku hizi uwapelekee fedha halafu useme umepeleka kwa Mungu? Hawa hawa kina Gwajima na Mzee wa Upako au kina Mwamposa? Kina 'nabii'' Malisa?
Maandiko yanasema hivyo nakubali. Swali: wana wa walawi wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Makuhani wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Waangalizi wa hekalu wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Hawa wa sasa mbona wanapewa urithi wa ardhi na ''wanatafuna'' kondoo huku wakijirekodi na simu?Kama huwelewi maandiko omba uelekezwe,fungu la 10 lilitolewa maalumu kwa wana walawi waliokua ni makuhani na waangalizi wa hekalu,ambao hata katika urithi wa ardhi hawakupewa,hivyo ili waishi na kuendelea kuhudumia hekalu fungu la 10 lilipelekwa hekaluni
Leteni zaka kamili Ili kiwemo chakula katika nyumba yangu....zaka ni ya Mungu peleka madhabahuni....wahitaj utawasaidia Kwa pesa tofaut na zakaJe, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.
Je, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.
Tatizo Kuna watumishi wengi sana wa uongo ambao wanapotosha kweli...ila madhabahu za kweli zipo mfano Lutheran churchFungu la Mungu au fungu la mchungaji? Hawa hawa manabii wetu wa siku hizi uwapelekee fedha halafu useme umepeleka kwa Mungu? Hawa hawa kina Gwajima na Mzee wa Upako au kina Mwamposa? Kina 'nabii'' Malisa?
wana walawi kina papá fransisi shoga
Peleka kwenye madhabahu ya kweliHili ndilo linaloniumiza kichwa.
Leteni zaka kamili Ili kiwemo chakula katika nyumba yangu....zaka ni ya Mungu peleka madhabahuni....wahitaj utawasaidia Kwa pesa tofaut na zaka
Na ndomana Mungu anasema leteni zaka kamili Ili kiwemo chakula katika nyumba yanguKama huwelewi maandiko omba uelekezwe,fungu la 10 lilitolewa maalumu kwa wana walawi waliokua ni makuhani na waangalizi wa hekalu,ambao hata katika urithi wa ardhi hawakupewa,hivyo ili waishi na kuendelea kuhudumia hekalu fungu la 10 lilipelekwa hekaluni
fungulakumi liende kwawasio jiweza.wewe unataka liende wapi?
Kuna ngano na maguguMaandiko yanasema hivyo nakubali. Swali: wana wa walawi wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Makuhani wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Waangalizi wa hekalu wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Hawa wa sasa mbona wanapewa urithi wa ardhi na ''wanatafuna'' kondoo huku wakijirekodi na simu?n
Na ndomana Mungu anasema leteni zaka kamili Ili kiwemo chakula katika nyumba yangu
Kuwatunza watumishi wa Mungumadhabahu yakweli wanalitumiaje?