fungu la kumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi fungu la kumi kununulia divai/ kileo kama Biblia ilivyoagiza?

    Katika Sheria ya Musa kwenye Biblia (Kumbukumbu la Torati 14:26), Waisraeli waliambiwa kutumia fedha za fungu lao la kumi kununua chochote kilichotamaniwa na roho zao, kutia ndani ng'ombe, kondoo, divai, au kileo, ili wakule na kufurahi mbele za Bwana Kumbukumbu la Torati 14:22 [22]Usiache...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fungu lako la Kumi unapeleka wapi?

    Leo nikiwa napita kwenye mitandoa, nikakutana na mtumishi mmoja ambaye yeye alielezea anavyofanya juu ya Sadaka yake ya Fungu la Kumi Yule dada alisema fedha yake ya fungu la kumi anaweka bank na pale anapopata msukumo kutoa fungu la kumi anatoa, akataja maeneo kadhaa ambayo yeye binafsi anatoa...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa makanisa ya TAG, FPCT, EAGT NK waambua ni kwanini fungu la kumi limekuwa kikwazo kwa sisi walokole wa Leo

    BWANA YESU ASIFIWE...Haleluya... Shalom.., Naomba kwanza nitambulike kuwa sipingi fungu la KUMI ila naweka wazi kitu MHIMU Ili tusiebdelee jinsi ilivyo kwa wengi wetu. Fungu la kumi limeonekana KIKWAZO KWA WALOKOLE WA LEO kwa sababu; 1.Limefanywa kuwa njia ya kujipatia utajiri kwa viongozi wetu...
  4. nipo online

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya fungu la 10 ni kiboko ya madeni, mikosi, Laana, kukataliwa

    Wakuu kwa wale wanaolalamika kua michongo yao haifunguki, madeni, mikosi ukata, dawa yao ni hii, watoe sehem ya 10 ya mapato yao hakika hawatajutia maishani kwao daima. Hata kama huendi katika nyumba ya ibada agiza sehem u. Ni dawa pekee ya kumaliza changamoto zao za kiuchumi na kijamiii.
  5. M

    JamiiForums Tanzania agano la kale ndio lina sheria ya fungu la kumi leo hii makanisa yanalidai, ila pia limekataza kitimoto,bikira tu ndie aolewe, why makanisa hayafati?

    habari wadau. naombeni mnijibu kwa nini leo hii wachungaji kanisani wanafata mistari ya biblia ya agano la kale kukusanya sadaka za fungu la kumi kwa waumini wao, na wanasisitiza ni sheria ya Mungu usipotoa ujue unamuibia mungu. ila sheria zingine za agano la kale wachungaji na makanisa...
  6. nipo online

    JamiiForums Tanzania Hivi pesa ya mkopo unapaswa kuitolea fungu la kumi?

    samahan naomba ufafanuzi hapa asanteni. mods naomba mnirekebishe title iwe kuitolea fungu la kumi au
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimetengwa kanisani baada ya kuomba account namba ya Yesu ama Mungu nimuwekee Zaka zake, fungu la kumi. Wanalazimisha wao ndio wampokelee Mungu hela

    Kanisani walikuwa wanasisitiza sana kila muumini lazima atoe fungu la kumi, maana ni la Mungu, binafsi nikawa tayari kumtolea mungu hela zake hizo za fungu la kumi ila kwa kumpatia Mungu mwenyewe ili kuepusha watu wa kati kumlia Mungu hela zake. hivyo nikaomba account namba ya Mungu ama namba...
  8. Tman900

    JamiiForums Tanzania Fungu la Kumi/ Zaka na Sadaka, Michango ya Kanisani

    Wakristo Hususani, makanisani, Kumekua na Lundo la ukusanyaji Fedha, kwa kila Aina Ili tu wapate, Pesa. Ukitazama Michango na Mfumo mwingi unaotumiwa na makanisa sio kusali Tena Bali ni ukusanyaji wa pesa. Wahubiri na Viongozi Wanakazia sana kusoma vifungu vya kutoa/ Sadaka mda wote kuliko hata...
  9. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Biblia inasema Fungu la kumi apewe mlawi, Je hapa Tanzania kuna walawi? Je wachungaji ndio walawi ?

    Wakristo wenzangu naombeni majibu. Fungu la kumi ni sheria ya Musa katika agano la kale. kwenye agano la kale Hesabu 18:21 imeandika Fungu la kumi lilitolewa kwa kabila lililokosa ardhi linaitwa kabila la Walawi kwa ajili ya kazi yao katika hema la kukutania. Leo tunaambiwa tupo kwenye agano...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Biblia inasema fungu la kumi litolewe mara moja tu kwa mwaka, hawa wanaodai fungu la kumi kila wiki ni wezi. Fungu la 10 waweza kulinywea hata pombe

    Kumbukumbu la Torati 14:22 [22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year. Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26 [22]Usiache kutoa zaka ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wahubiri mnaohubiri fungu la kumi nilishawaambia na torati yote ya Musa muifuate!

    Nimekaa mahali hapa kuna redio ya kanisa moja la Arusha inanguruma. Kama kawaida ya hawa wahubiri mada kuu ni utoaji. Nilishasema habari za fungu la kumi si mafundisho ya kikristo. Hata hao wayahudi waliopewa agizo hilo wana mfumo tofauti kabisa wa utoaji tofauti na haya mafundisho ya matapeli...
  12. nipo online

    JamiiForums Tanzania Je, kutofanikiwa kimaisha ni dalili ya Laana? Watu wa fungu la kumi wanasemaje katika hili?

    Huenda mwenzangu hapo ulipo unapitia misoto, yani dili zako hazitiki kwa wakati na hata zikatiki zinakutana na changamoto lukuki kias kwamba hata pesa uliyoipata inafikia madeni, magonjwa, ajali nk. Wenywe vipawa vya masuala ya imani yaani rohoni waje hapa kutufumbua macho. Asanteni.
  13. nipo online

    JamiiForums Tanzania Imani za kishirikina haziwezi fua dafu ukiwa unatoa fungu la kumi, Je hivi ni kwanini?

    Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
  14. kesho kutwa

    JamiiForums Tanzania Kutoa fungu la kumi unamtolea Mungu sio mwanadam. Toa ukutane na Mungu

    Nimekuja ona watu wengi humu ndani wanadhani kama kutoa zaka unamtolea mwanadam jambo ambalo linawakwamisha kwa kuhisi wanamnufaisha mchungaji ama kiongozi wa kanisani ama dhehebu fulani.
  15. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje fungu la kumi wangepewa wakunga na wauguzi kuliko kupelekea pastor

    Hi? Mnaonaje fungu la kumi au sadaka wangepewa wauguzi wa afya na vyuo vyote vinavyotoa mafunzo hayo sababu wanachokifanya katikati maisha ya mwanadamu kinaonekana sababu unaweza zidiwa na magonjwa ukapelekwa hospital na ukatengamaa kama siku zako za kufa hazijafika bado kuliko kuwapa hawa...
  16. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania MREJESHO: Niliomba ushauri juu ya sehemu sahihi ya kutoa fungu la kumi

    Baada ya kuomba ushauri hapa jukwaani, watu walichangia kwa hekima, kuna waliosisitiza nikatoe mahala ninapoabudu pia kuna walionishauri nikatoe kwa watu wenye uhitaji. Pia kunawaliosema nikatoe ninapoabudu halafu pia nikatoe kwa wahitaji. WOTE MLIOCHANGIA, NAWASHUKURU SANA. Mm na mke wangu...
  17. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Je, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani? Naomba hekima zenu juu ya hili.
  18. KANYEGELO

    JamiiForums Tanzania Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

    Wakuu habarini Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X) Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !! Nami...
Back
Top Bottom