Wewe unayesoma hapa acha wizi, toa zaka!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Nyie watu hamjambo (in Magufuli's voice).

Hivi nikikuuliza fungu lako la kumi la huo mshahara wako wa Milioni 5, Tsh. 600,000/-, etc unatoa wapi fungu la kumi, utashindwa kunijibu. Utashindwa kutokana na uchoyo na ulaku wako.

Unataka miliooni 5 yote uitumbue peke yako. Unasahau kuwa kuna Mungu. Unatoa wapi fungu la kumi?

Kwa wahitaji, wajane, yatima na walemavu, si sehemu sahihi ya wewe kutoa fungu la kumi. Sehemu sahihi ni kanisani peke yake, au msikitini.

Ukitoa fungu la kumi huko ambako sipo, umepoteza na unakuwa mwizi kwa kumuibia Mungu.

Fungu la kumi unatakiwa ulitoe kwa moyo, pia ni amri ya milele, acheni visingizio vya kijinga.

Fungu la kumi ni LAZIMA, narudia tena kusisitiza hili. Sometimes kuna mmoja alitoa mpaka milioni 6 kwa mwezi. Nikasema woooow its so nice.

Simaanishi kwamba fungu la kumi linaliwa na Mchungaji pekee, no, bali linatumia kuwahudumia watumishi wanaohudumu madhabahuni kwa namna moja au nyingine.

Jamani msiwe wezi. Mbona kwa mganga wa kienyeji akikuambia upeleke ng'ombe, hubishi? Tena unanunua mpaka dume la Tsh. 900,000/- unalipeleka. Why uone nongwa kutoa kanisani? Wewe kijana ni mwizi. Unamuibia Mungu.

Zaka ni LAZIMA! Ni kwa faida yako mwenyewe pia. Acha wizi, alaah!
 
Sio kweli. Unadanganya...

Unaenda kutoa fungu la 10 Kwa Mtu anajiita Mchungaji ana magunia kadhaa ya DHAMBI kama wewe...

Tofautisha na agano la kale Kuhani alikuwa anafungwa kamba kwamba kama ana DHAMBI anakufa na kumtoa utamvuta Kwa kamba...

Ikiwa unataka Sadaka ama fungu lako la kumi likuletee majibu ya papi Kwa papo, basi tafuta wale watu wenye shida kweli ikiwa mgonjwa, yatima, ama mlemavu, ALAFU UJE UNIAMBIE NIMEKUDANGANYA.

HAWA WATU WAMEWEKA ULAFI WA PESA MBELE NDO MAANA HATA KARAMA HAKUNA MAKANISANI, HAKUNA UAMSHO.

Mtu kaweka kwenye diary yake kuwa Hadi muda flani awe amejenga nyumba ya mamilioni fulani Sasa anapambana kukutisha utoe akamilishe mambo yake.

Mtu kama huyo anamtumikia Mungu?

Labda Mtume Paulo ama Mtume Petro warudi hapa wayaseme hayo nitawaelewa...
 
Kwenye mila na desturi nilizokulia sijawahi kusikia kitu kinaitwa fungu la kumi, yani unampelekea mungu sehemu ya mapato yako?? Kwa nini asikate juu kwa juu.
Unampelekea pastor fungu la kumi jioni unakutana nae kidimbwi akiwa na mwanakondoo aliyenona
Mkuu, whatever case, bado unapaswa kutimiza amri.
 
Nyie watu hamjambo (in Magufuli's voice).

Hivi nikikuuliza fungu lako la kumi la huo mshahara wako wa Milioni 5, Tsh. 600,000/-, etc unatoa wapi fungu la kumi, utashindwa kunijibu. Utashindwa kutokana na uchoyo na ulaku wako.

Unataka miliooni 5 yote uitumbue peke yako. Unasahau kuwa kuna Mungu. Unatoa wapi fungu la kumi?

Kwa wahitaji, wajane, yatima na walemavu, si sehemu sahihi ya wewe kutoa fungu la kumi. Sehemu sahihi ni kanisani peke yake, au msikitini.

Ukitoa fungu la kumi huko ambako sipo, umepoteza na unakuwa mwizi kwa kumuibia Mungu.

Fungu la kumi unatakiwa ulitoe kwa moyo, pia ni amri ya milele, acheni visingizio vya kijinga.

Fungu la kumi ni LAZIMA, narudia tena kusisitiza hili. Sometimes kuna mmoja alitoa mpaka milioni 6 kwa mwezi. Nikasema woooow its so nice.

Simaanishi kwamba fungu la kumi linaliwa na Mchungaji pekee, no, bali linatumia kuwahudumia watumishi wanaohudumu madhabahuni kwa namna moja au nyingine.

Jamani msiwe wezi. Mbona kwa mganga wa kienyeji akikuambia upeleke ng'ombe, hubishi? Tena unanunua mpaka dume la Tsh. 900,000/- unalipeleka. Why uone nongwa kutoa kanisani? Wewe kijana ni mwizi. Unamuibia Mungu.

Zaka ni LAZIMA! Ni kwa faida yako mwenyewe pia. Acha wizi, alaah!
Nawapa masikini moja kwa moja sio hao nnaowapa wakanunulia ma v8 na kujengea vimada
 
Sio kweli. Unadanganya...

Unaenda kutoa fungu la 10 Kwa Mtu anajiita Mchungaji ana magunia kadhaa ya DHAMBI kama wewe...

Sasa kuna mtu mkamilifu? Kama Yesu alikataa kuitwa mwema, wewe ni nani? Kutotoa fungu la kumi kanisani kwa kuwa Mchungaji naye ana dhambi, ni hoja isiyo sahihi (muflisi).

Tofautisha na agano la kale Kuhani alikuwa anafungwa kamba kwamba kama ana DHAMBI anakufa na kumtoa utamvuta Kwa kamba...

Umechanganya! Kuhani alikuwa anafungwa kamba pale alipokuwa anaingia Patakatifu pa Patakatifu tu, kila mara moja kwa mwaka kwa ajili ya kujisafisha na upatanisho wa Waisraeli. Dhabihu na zaka zilitolewa nje ya hema ya hekalu.

Mind you, amri ya zaka ni ya milele, hakuna sehemu kwenye Biblia ilipobatilishwa. Kasome Malaki sura ya mwisho.

Ikiwa unataka Sadaka ama fungu lako la kumi likuletee majibu ya papi Kwa papo, basi tafuta wale watu wenye shida kweli ikiwa mgonjwa, yatima, ama mlemavu, ALAFU UJE UNIAMBIE NIMEKUDANGANYA..

Zingatia hili: sehemu sahihi ya kutoa fungu la kumi, zaka ni hekaluni peke yake. Wa kukabidhiwa ni Mchungaji/kuhani anayehudumu kwa muda huo.
Ukipeleka kwa wahitaji, hiyo si zaka bali inakuwa sadaka ya kawaida.

HAWA WATU WAMEWEKA ULAFI WA PESA MBELE NDO MAANA HATA KARAMA HAKUNA MAKANISANI, HAKUNA UAMSHO.

Mtu kaweka kwenye diary yake kuwa Hadi muda flani awe amejenga nyumba ya mamilioni fulani Sasa anapambana kukutisha utoe akamilishe mambo yake.

Mtu kama huyo anamtumikia Mungu?

Labda Mtume Paulo ama Mtume Petro warudi hapa wayaseme hayo nitawaelewa...

Hayo yapo na yanatokea, hatukatai, ila suala la zaka halibadiliki.
 
Nyie watu hamjambo (in Magufuli's voice).

Hivi nikikuuliza fungu lako la kumi la huo mshahara wako wa Milioni 5, Tsh. 600,000/-, etc unatoa wapi fungu la kumi, utashindwa kunijibu. Utashindwa kutokana na uchoyo na ulaku wako.

Unataka miliooni 5 yote uitumbue peke yako. Unasahau kuwa kuna Mungu. Unatoa wapi fungu la kumi?

Kwa wahitaji, wajane, yatima na walemavu, si sehemu sahihi ya wewe kutoa fungu la kumi. Sehemu sahihi ni kanisani peke yake, au msikitini.

Ukitoa fungu la kumi huko ambako sipo, umepoteza na unakuwa mwizi kwa kumuibia Mungu.

Fungu la kumi unatakiwa ulitoe kwa moyo, pia ni amri ya milele, acheni visingizio vya kijinga.

Fungu la kumi ni LAZIMA, narudia tena kusisitiza hili. Sometimes kuna mmoja alitoa mpaka milioni 6 kwa mwezi. Nikasema woooow its so nice.

Simaanishi kwamba fungu la kumi linaliwa na Mchungaji pekee, no, bali linatumia kuwahudumia watumishi wanaohudumu madhabahuni kwa namna moja au nyingine.

Jamani msiwe wezi. Mbona kwa mganga wa kienyeji akikuambia upeleke ng'ombe, hubishi? Tena unanunua mpaka dume la Tsh. 900,000/- unalipeleka. Why uone nongwa kutoa kanisani? Wewe kijana ni mwizi. Unamuibia Mungu.

Zaka ni LAZIMA! Ni kwa faida yako mwenyewe pia. Acha wizi, alaah!
Unampa Nani hlo fungu
 
Huna akili,yaani zaka wasipewe masikini,ipelekwe kwa matapeli kina kuhani musa 'na kina mmwanposa,

Halafu waislam Dini yao zaka imehamriwa wawape masikini usiwafananishe 'na wagalatia
 
Back
Top Bottom