kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,628
- 1,786
Moja kwa moja MUNGU anakwenda kumkemea yeye (ibilisi) alaye afya zetu, biashara zetu ndoa zetu nk.
Malaki 3:11.
Inasema;... Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi.]
Ibilisi anakula. Kanuni inasema kuwa, Kama humtolei Bwana fungu la kumi, basi unamtolea Yule alaye. Chukua hatua anza Leo usisubiri kesho peleka kanisani unapoamini na sio kwa wajane ama maskini la hasha! kule peleka sadaka za kawaida. Na pengine huenda ikawa nyingi kuliko hata zaka.