Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

Habari wana jf.......samahan nimekuja tena kwenu mnipe mawazo tafadhalin et nahitaji nimpeleke mzazi mwenzangu ustawi wa jamii kutokana na amenizalisha na hataki kulea mtoto na isitoshe mtoto bado mdogo...anaejua taratibu naomba msaada .............nipo arusha
Unataka sh ngp kwa mwezi!?
Kwan iyo ndo ilikua dhamira ya ww kujishikiza mimba!
Mama Diamond angemstaki mzazi mwenzake, sa ivi angekua anakula pepo!?
 
Mie sioni kesi hapo, unyenyekevu kidogo unaweza kukusaidia maisha yako yote. Na wanawake wengi wanashindwa hapo. Usisindane nae. Jifanye ww ni mdhaifu na unamtegemea yeye tu. Safari bado ndefu saana. Ebu nipe namba yake na yako PM
Kama ameweza kushauriwa had na mama ake mzaz ila hajaelewa chochote czan kama anaweza kickiliza mtu
 
beautiful princess una umri gan mdogo wangu? yaan mzaz mwenzako hakupi matumizi lakini bado unafikiria kumshtak na muish pamoja? kweli !!!!!!!yaan huyo atakuendesha km serikali ya awamu ya 5 !
mwanamume akikuacha shukuru Mungu huwez jua huko mbelen angefanya yapi makubwa zaid! we lea mwanao au kamshtak!masuala ya kuishi naye YAFUTE! atakuja kukuletea wanawake alale nao maana inaonekana unalazimisha mapenzi naye
True,everything for reason haitakiwi kulazimisha bali inatakiwa kukubaliana na kilichotokea then kusonga mbele.
 
Kama ameweza kushauriwa had na mama ake mzaz ila hajaelewa chochote czan kama anaweza kickiliza mtu
Bas acha kusingizia watu hiyo mimba unajua ulikoitoa. Kama mama amemshauri na hakuskia bas ingekua ni busara mama mkwe wako atake-responsibility instead. Kama nae katoa ushauri wa kujikosha akakuacha hivohivo eti jamaa kakataa bas ujue ameshaambiwa kwamba mtoto huyo hawahusu. Tumia akili. Siku njemba ikiitwa ustawi ndo utaskia majibu yake kama hauamini. Kitaid kukumbuka vizuri aliyekupa mimba.
 
Kama mtu ukijishusha na kufata sheria mateso gani yanazidi? Kutokuishi pamoja sio uhasama muwe maadui. Kumbuka tofauti na haki za kisheria kuna huduma nyongeza za kibanadamu, malipo ya kisheria pekee hayatoshi kukusaidia kila jambo la mtoto.
inategemea kuna wengne hata ujishushe vp bado hali n ile ile,but upande wangu me nmemuachia Mola simshtaki popote nimemshtakia Mola tu
 
True,everything for reason haitakiwi kulazimisha bali inatakiwa kukubaliana na kilichotokea then kusonga mbele.
yes !unaanguka unajipukuta unaendelea na safari yako !ni bora kutengeneza maisha yako na mwanao kuliko kukimbizana na mianaume! hongereni kuwa single mom !i can see kwa dadangu nahis mie nisingeweza jaman !huwa nakuwa emotional kweli kweli jaman !yaan mtoto kuwa na wazaz bado tu unahis shida iweje uwe alone !usiku mzima una mtoto mwenyewe kukuche kuchwe mara udaiwe ada,malezi!dah hongeren mno !

ninamheshimu sana mwanamke aliye single parent ! Mungu awape nguvu ! salute

beautiful princess rudi kwa wazaz kajinyenyekeze urud tena shule usome !NA USOME KWA NIA 1!
 
Bas acha kusingizia watu hiyo mimba unajua ulikoitoa. Kama mama amemshauri na hakuskia bas ingekua ni busara mama mkwe wako atake-responsibility instead. Kama nae katoa ushauri wa kujikosha akakuacha hivohivo eti jamaa kakataa bas ujue ameshaambiwa kwamba mtoto huyo hawahusu. Tumia akili. Siku njemba ikiitwa ustawi ndo utaskia majibu yake kama hauamini. Kitaid kukumbuka vizuri aliyekupa mimba.
Ani sema hujaelewa vizur ila mama ake yupo pamoja na mimi na istoshe mama ake anahitaji niishi na mtot ake ila mwanae ndo hivo tena hatak anadai anampenda ambae yupo nae kwa sasa na upande wang anasema ibakie kama tulizaa tu
 
Back
Top Bottom