beautiful princess
Member
- Jan 15, 2018
- 79
- 97
- Thread starter
- #41
0786887374Nipe contact zako kwa PM; ntakusaidia. NB: Naishi hapa Arusha.
0786887374Nipe contact zako kwa PM; ntakusaidia. NB: Naishi hapa Arusha.
Kama ni hivyo Fata sheria awajibike kumlea mtoto wake, ila msiishi kama maadui hata kama hamtakuwa pamoja.Asante kwa ushauri mzur ila yeye ndio amenikosea
Aiseee nimejishusha had naonekana ni tatzo kwakeUnaweza ila tegemea utaashinda kisheria na sio kihalisia. Ungejishusha ingekusaidia ila kwa midomo yenu ilivyo imekula kwako.
Ye amepata mwanamke na ndio tatzo kubwaKwani mmeachana ? Na sababu ya kuachana ni nini ?
Asante.....ila kwan naweza kumshitak alafu tukaishi pamoja?Kama ni hivyo Fata sheria awajibike kumlea mtoto wake, ila msiishi kama maadui hata kama hamtakuwa pamoja.
Mtoto ana umri gani?Ye amepata mwanamke na ndio tatzo kubwa
sometime ukijishusha mateso yanazdUnaweza ila tegemea utaashinda kisheria na sio kihalisia. Ungejishusha ingekusaidia ila kwa midomo yenu ilivyo imekula kwako.
Anafanya kazi na doctor.....kwaiyo naenda nakad ya mtot ustawi?kama anafanya kazi nenda tawi lolote lile la ustawi wa jamii na kadi ya mtoto !unachelewa hata kuja huku ! mshitak na useme huna kazi! msiwalee kiwepesi hvyo hao wanaume
Anafanya kazi na doctor.....kwaiyo naenda nakad ya mtot ustawi?
Mbona povu , unafua ama,,,kama anafanya kazi nenda tawi lolote lile la ustawi wa jamii na kadi ya mtoto !unachelewa hata kuja huku ! mshitak na useme huna kazi! msiwalee kiwepesi hvyo hao wanaume
Unataka uforce kuish nae??cz hyo n choice yake huwez mshtak et ukazane kuish nae zaid n matunzo tu kw mtto hpo hayo mengne ataamua mwenyewAsante.....ila kwan naweza kumshitak alafu tukaishi pamoja?
Miezi6Mtoto ana umri gani?
yakiitwa mapovu hili nalo povuMbona povu , unafua ama,,,
Basi utakuwa una spika weweyakiitwa mapovu hili nalo povu
Mdogo sana ana umri gan?Siwez kumuacha mtot maana bado ni mdogo sana
Asante mpendwandio nenda na mtoto pia atamuandikia barua ya wito !
Umesha peleka jambo hili kwa wazee wa familia au wazazi wake wako?Miezi6
megaBasi utakuwa una spika wewe