Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

Habari wana jf.......samahan nimekuja tena kwenu mnipe mawazo tafadhalin et nahitaji nimpeleke mzazi mwenzangu ustawi wa jamii kutokana na amenizalisha na hataki kulea mtoto na isitoshe mtoto bado mdogo...anaejua taratibu naomba msaada .............nipo arusha

Wakati umesimama nae barabarani anakutongoza, ukakubaliana kwenda ' Kubanduliwa / Kulalwa ' nae, ulipoingia Gesti kama siyo Loji, ulipochojoa / uliposalula Chupi lako, uliposikilizia Mkuyenge wake ' ukitaradadi / ukikatiza ' Kona zote za Mbunye yako na alipowashusha Wazungu wake ( Mbegu zake ) na Mimba hatimaye kushika na ukajifungua huyo Mtoto ulitushirikisha?

Usituchoshe na tusichoshane bali pambana tu na hali yako tafadhali.
 
umekosea jukwaa....
ebu tueleze kwa kina, inakuwaje mzazi mwenzio hakuhudumii ? ipo shidA hapo, tunahitaji maelezo ya upande wa pili ili story iwe balanced, pole sana ndio hivo umeshakuwa single mom, mkiwa kwa malavidavi hamji kusema mkitendwa mnakuja.
Aiseeee,
 
Wakati umesimama nae barabarani anakutongoza, ukakubaliana kwenda ' Kubanduliwa / Kulalwa ' nae, ulipoingia Gesti kama siyo Loji, ulipochojoa / uliposalula Chupi lako, uliposikilizia Mkuyenge wake ' ukitaradadi / ukikatiza ' Kona zote za Mbunye yako na alipowashusha Wazungu wake ( Mbegu zake ) na Mimba hatimaye kushika na ukajifungua huyo Mtoto ulitushirikisha?

Usituchoshe na tusichoshane bali pambana tu na hali yako tafadhali.
Sio poaa bhana,mtu ameomba ushaur kama hukuwa na ushaur bora ungepta kulko ulichokiandka
 
Yan yuko na mwanamke mwingine tayar na ictoshe toka nimekua nae kimahusiano had nikapata mimba hakuwah kunambia kama anamwanamke now nimemfuta huku ndo najua kama ana mwanamke mwingine na mie hanitaki tena
sio tatzo lako peke ako n weng imetukuta hii include me but nalea mwenyew tu na cna mpango wa kushtak popote
 
Kwa ushaur wang mpotezee huyo bwana,tafta cha kufanya kama huna then lea mwanao mi naamin mtto n wa mama,na mtto akikua atakuja kuamua mwnyew ila kw sasa usimpe mtto lea mwenyew Mungu akileta mtto analeta na sahan yake na wala usimuone huyo mtto kama mzgo mtreat well huku ukijibidisha na kuomba Mungu akujalie usishindwe,kulea kiumbe chake na utaona ukuu wake God is able
Asante kwa ushauri
 
Kuzaa kabla ya ndoa au kujuana vema ni matatizo sana. Wakati mwingine wanawake huwa ni chanzo cha migogoro hii, mwisho mateso mnapata wenyewe na mtoto anabaki ni wababa na mama.

Fungua mashitaka endapo una uhakika yeye ndio mkosaji kwako ila sio kumkomoa sababu umemzalia mtoto.
 
Asante kwa ushauri mzur ila yeye ndio amenikosea
 
Habari wana jf.......samahan nimekuja tena kwenu mnipe mawazo tafadhalin et nahitaji nimpeleke mzazi mwenzangu ustawi wa jamii kutokana na amenizalisha na hataki kulea mtoto na isitoshe mtoto bado mdogo...anaejua taratibu naomba msaada .............nipo arusha

Nipe contact zako kwa PM; ntakusaidia. NB: Naishi hapa Arusha.
 
kumzalisha mwanamke then unamtelekezea mtoto si sawa kabisa ILA sina cha kushauri sababu sijui braza yupo katika hali gani... huenda mzee baba ana hustle usiku na mchana ila tuu mambo hayamkalii sawa.
Yan yuko vizur kabsa maana ni doctor
 
Sio poaa bhana,mtu ameomba ushaur kama hukuwa na ushaur bora ungepta kulko ulichokiandka

Ukiomba msaada lazima ujue kuna Kukubaliwa au Kukataliwa. Halafu siku zote usilazimishe unapouliza swali basi upewe jibu ambalo unalitaka Wewe halafu mwisho tambua ya kwamba humu ' Jamvini ' kuna Watu ni blessed katika kufanya Critical Thinking hivyo huwa haturuhusu ' Vitu ' vya ' Kipuuzi ' vipite tu hivi hivi bila kuhoji na kuvitengenezea mitizamo tofauti.

Na wala sijajutia swali langu au post yangu niliyomuandikia na namtaka kama anaweza nae ' Mhusika ' anijibu ili niendelee tena kumuuliza maswali mengine ' Kuntu ' kabisa juu ya hiyo ' Hoja ' yake kwani nahisi naweza nikawa msaada mkubwa mno Kwake kumbadili ' Kifikra ' kuliko nyie Wanafiki ambao mnajifanya kumtetea au kumuonea huruma.

Ukweli uko pale pale kwamba 95% ya Dada zetu hupenda mno Kukurupukia Mahusiano bila kuyachanganua na kumsoma Mhusika ila yanapowakumba tu ya kuwakumba ndiyo wanakimbilia humu Mitandaoni ' Kulialia ' na Kujutia. Na ukija Kuchunguza Kiundani kabisa unaweza kukuta huyo Dada labda alimpenda huyo Mwanaume kwasababu tu ya ' Mtonyo / Pesa ' na pengine hali ya Kimaisha ilipobadilika tu huyu Dada akabadilika na kuanza Kumdharau huyo Mpenzi wake na Yeye pia sasa akaamua ' kama noma na iwe noma ' akaachana nae na kusitisha huduma Kwake.

Siku nyingine jitahidi sana uwe unafikiri nje ya ' boksi ' Mkuu. Nikutakie tu kila la kheri!
 
Back
Top Bottom